rais samia phd

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PhD za heshima ni mitego kwa viongozi wa Afrika, ni mambo ya asimilation policy

    Wazungu, Waarabu, na Viongozi wa Asia hawapendi Phd za heshima? Mbona hawapewi? wana makosa gani? wanakwama wapi? Ukifuatilia hizi Phd za Heshima utagundua zinatolewa kwa viongozi wa Africa tena ni sio wote bali ni wale wanao wafurahisha Wazungu kwa kiwango kikubwa sana. Asia ina viongozi...
  2. VoA: Tanzania imepokea mkopo kutoka kwa Korea Kusini na kutoa sehemu ya bahari na madini

    Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo. Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya kuchimba madini muhimu katika nchi za Afrika. Korea Kusini imeandaa kongamano na viongozi 30 wa nchi za...
  3. Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa, Korea, Juni 3, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha Korea (KAU) leo tarehe 03 Juni, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=3MuZRVjIipc === Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…