Ndugu zangu Watanzania,
Kwa mapokezi makubwa, mazito na ya heshima aliyoyapata na kupewa Rais Samia alipokanyaga ardhi ya Mkoa wa Songwe kwa hakika nawashauri CHADEMA wasijaribu wala kusubutu kusimamisha Mgombea Urais uchaguzi ujao maana wakijaribu na kupuuzia ushauri huu watakwenda kuvuna aibu...