rais samia tanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Pre GE2025 Tanga: Rais Samia agawa mitungi ya gesi (LPG) na kuzungumza na wananchi wa Muheza

    Tanga: Rais Samia akigawa mitungi ya gesi (LPG) na kuzungumza na wananchi wa Muheza, Tanga Februari 27, 2025. https://www.youtube.com/live/f7YdbNKOKTs?si=3P4VZ7EdvyNewX9Q Ester Barua ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Magila iliyopo Muheza mkoani Tanga akiwa kwenye kiti cha Rais Samia...
  2. Ojuolegbha

    Ziara ya Rais Samia Tanga, Makubwa yamefanyika Tanga inajivunia kujengwa kwa Shule ya Sekondari ya wasichana ya Mkoa iliyopo katika eneo la Mabalanga

    Ziara ya Rais Samia Tanga, Makubwa yamefanyika Tanga inajivunia kujengwa kwa Shule ya Sekondari ya wasichana ya Mkoa iliyopo katika eneo la Mabalanga wilayani Kilindi Ni shule maalam ya bweni ya mchepuo kwa sayansi, yenye jumla ya madarasa 12, mabweni nane, jengo la utawala, maabara tatu...
  3. Roving Journalist

    Rais Samia afungua Shule ya wasichana Tanga, apendekeza iitwe Beatrice Shellukindo

    Rais Samia akifungua shule ya wasichana Tanga Februari 25, 2025. https://www.youtube.com/live/J2zo4vUF2HA?si=CYaVU5CnldQZy8kG Rais Samia amependekeza Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Kilindi iitwe jina la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilindi kupitia CCM Beatrice Shellukindo aliyefariki...
  4. Roving Journalist

    Rais Samia: Majengo 122 yamejengwa nchini kuboresha huduma kwa Wananchi!

    Ziara ya Rais Samia Lushoto - Tanga Februari 24, 2025 https://www.youtube.com/live/LNpz7Pc79wE?si=yn9bJoLvJnntvhA- "Nimekuja kuangalia matumizi ya fedha mbalimbai zinazoletwa kuondoa shida za wananchi, nimekuja kuangalia kama kweli zimeondoa shida za wananchi, nami sitaki nilaumu nataka niseme...
  5. Roving Journalist

    Pre GE2025 Rais Samia ashiriki kwenye uzinduzi wa hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni mkoani Tanga

    Ziara ya Kikazi ya Rais Samia Mkoani Tanga Februari 23, 2025 https://www.youtube.com/live/A5Kayo33810?si=SkcoQaTDduuUWupm Akiwa kwenye ziara hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alifanya ufunguzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni, iliyopo...
  6. Cute Wife

    Pre GE2025 Tanga kumpokea Rais Samia kwa mbio za magari

    Wakuu, Wasanii/wanamichezo na vijana wanazidi kuaibisha wakiongozwa na huyu kijana aliyepata nafasi ya kuhakikisha sekta ya sanaa, michezo na utamaduni inasimama vizuri na wasanii wananufaika na kazi zao. Kila siku ni uchawa left and right! Msanii akiumwa kidogo tu anaanza kutembeza bakuli...
Back
Top Bottom