Ndugu zangu Watanzania,
Rais wa Armenia ameonyesha kufurahia sana na kutabasamu pale alipopata bahati ya kuonana na Rais wa umoja wa Mabunge Duniani Mheshimiwa Daktari Tulia Ackson Mwansasu aliyekuwa Armenia kuongoza vikao vizito sana.
Ikumbukwe ya Kuwa ni miezi michache tu Dkt Tulia aliweza...