Duma Boko ameapishwa rasmi kama Rais wa Botswana leo, Ijumaa Novemba 8, baada ya chama cha Botswana Democratic Party (BDP) kupoteza mamlaka yake katika uchaguzi uliofanyika Oktoba.
Baada ya kutawala kwa miaka 58, BDP ilishindwa na muungano wa upinzani wa Boko, Umbrella for Democratic Change...