Tumefika hapo tulipofika kwa kuwatumia wachezaji wetu wa ndani akina Shemtembo, kwanini kocha alibadili gear angani akaacha kuwatumia? Wachezaji wa nje wana miguu ya pesa, wanawaza timu zao zinazowapa fedha.
Wachezaji wa ndani wanajituma sana ili waende kucheza nje, lakini wale wa nje...
Rais wa Brazil Lula Da Silva ametishia kuyafungia makampuni yanayojihusisha na michezo ya kubahatisha kupitia michezo mbalimbali mitandaoni ili kuondoa janga la uraibu lililowakumba raia wake!
Hela ya chakula mtu anasukia mkeka!
Brazil mulls ban on sports betting
Brazilian President Lula da...
Rais wa zamani Luiz Inacio #Lula da Silva ameshinda kiti cha Urais Kwa asilimia 50.9 ya Kura zote, dhidi ya Mpinzani wake Jair Bolsonaro.
Rais Lula alishindwa kugombea katika Uchaguzi uliopita wa Urais mwaka wa 2018 kutokana na kuwa gerezani kwa Siku 580 kabla ya hukumu yake kubatilishwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.