Bunge la Iran limepitisha sheria Kali kuhuzu mavazi ya wanawake. Ikiwemo vazi la hijab. Kwa Sasa sheria hiyo inawataka wanawake wavae hijab inayofunika kichwa kuzima na sio upande wa kichwa na kuonesha nywele.
Pia sheria hiyo imepiga marufuku mavazi ya suruali au nguo za kubana kwa wanawake...