rais wa jamhuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mganguzi

    Emanuel nchimbi likitokea lolote anaweza kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.je tumempima anaweza kufaa kuwa rais wa nchi?

    Kwa mujibu wa katiba yetu ,rais aliyepo madarakani ikitokea kapata dharula ya ugonjwa ambao hawezi Tena kuhudumu kama rais wa nchi ama kupatwa na umauti basi makamu ndiye atarithi nafasi yake ,swali ni je huyu nchimbi anaweza kuvaa viatu vya rais ? Tunaweza kujikuta kwa mara ya kwanza tunapata...
  2. Ojuolegbha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 3

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 11 Machi, 2025.
  3. Ojuolegbha

    RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Dodoma.
  4. Roving Journalist

    Pre GE2025 Tanga: Rais Samia agawa mitungi ya gesi (LPG) na kuzungumza na wananchi wa Muheza

    Tanga: Rais Samia akigawa mitungi ya gesi (LPG) na kuzungumza na wananchi wa Muheza, Tanga Februari 27, 2025. https://www.youtube.com/live/f7YdbNKOKTs?si=3P4VZ7EdvyNewX9Q Ester Barua ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Magila iliyopo Muheza mkoani Tanga akiwa kwenye kiti cha Rais Samia...
  5. Ojuolegbha

    Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mkomazi. Mradi huo unatarajiwa kuwanufaisha Wananchi zaidi ya 20,000 Wilayani Korogwe. Mradi huo...
  6. Ojuolegbha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Chuo cha Ualimu Korogwe mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.
  7. Ojuolegbha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran ya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa muda mfupi kabla ya kuanza ziara yake ya kikazi mkoani Tanga, tarehe 23 Februari, 2025.
  8. Roving Journalist

    Rais Samia: Afrika lazima inufaike na thamani ya Kahawa yake – Tunapata 0.5% tu ya Dola Bilioni 500!

    Rais Samia akifungua Mkutano wa 3 wa Nchi Zinazozalisha Kahawa Afrika Februari 22, 2025 Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/g5djiMf20HY?si=9JV2vTK9WBrKcyKu Wageni kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika wakishiriki Mkutano wa Tatu wa Nchi Zinazozalisha Kahawa Barani...
  9. Meneja Wa Makampuni

    Barua ya Wazi kwa Rais Samia: Umuhimu wa kuanzisha na kuendeleza viwanda vya ARV nchini

    OFISI YA RAIS, JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DR. SAMIA SULUHU HASSAN, YAH: UMUHIMU WA KUANZISHA NA KUENDELEZA VIWANDA VYA KUZALISHA DAWA ZA KUPUNGUZA MAKALI YA VIRUSI VYA UKIMWI (ARVs) NCHINI Mheshimiwa Rais, Kwa heshima na taadhima za...
  10. Wagumu Tunadumu

    Je inawezekana mtu ambae aliwahi kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania kwenda kugombea urais huko zanzibar?

    kWa raia wa zanzibar ambae ashawahi kuwa rais huko visiwani inawezekana kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania hilo tulishaliona. Sasa kwa hilo nililouliza naomba majibu,wataalamu wa mambo
  11. N

    Barua ya wazi kutoka kwa Suleiman Said Bungara (Bwege) kwenda kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan

    Barua ya wazi Kutoka Kwa Suleiman Said Bungara ( Bwege) Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini kwenda kwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan
  12. Ojuolegbha

    Jarida la Forbes: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametajwa kama moja ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi Duniani na jar

    Jarida la Forbes Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametajwa kama moja ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi Duniani na jarida la Forbes. Ushawishi wake katika masuala ya Diplomasia na kuwa kinara wa Nishati safi Duniani ni baadhi ya sababu, namna anavyoendesha nchi...
  13. Ojuolegbha

    Mkutano wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi hiyo kwa njia ya mtandao katika Ikulu ndogo ya Tunguu, Zanzibar tarehe 11 Desemba, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC-Organ) Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Utatu wa Wakuu wa Nchi na...
  14. Magical power

    Rais Samia Suluhu amewapongeza Tabora United kwa ushindi wa goli 3-1 walioupata leo Novemba 7, 2024 dhidi' ya Yanga

    HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewapongeza Tabora United kwa ushindi wa goli 3-1 walioupata leo Novemba 7, 2024 dhidi ya Yanga SC. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rais Samia amendika hivi: “Pongezi kwa Tabora United kwa ushindi wenu dhidi ya...
  15. Ojuolegbha

    Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kabla ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi kabla ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika katika uwanja wa Majimaji Songea mkoani Ruvuma tarehe 23 Septemba, 2024.
  16. Ojuolegbha

    Hodi Hodi Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia

    Hodi Hodi Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia Tarehe 23-28 Septemba, 2024.
  17. Meneja Wa Makampuni

    Barua ya Wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

    Barua ya Wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mheshimiwa Rais, Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, napenda kuchukua fursa hii kukuandikia barua hii ya wazi. Kwanza kabisa, naomba nikupongeze kwa uongozi wako wa hekima na maono, ambao umeendelea kuleta...
  18. U

    Rais Samia akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika pamoja na wajukuu zake Ikulu Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan akisherehekea Siku ya Mtoto wa Afrika akiwa pamoja na wajukuu, Ikulu jijini Dar es Salaam. Siku hii huadhimishwa Juni 16 ya kila mwaka. Katika kuadhimisha siku hii, Rais Samia amesisitiza umuhimu wa Serikali, familia na jamii...
  19. Replica

    RC Chalamila: Ukiona una miaka 40 na huna hela, usimlaumu Rais wa Jamhuri

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, bwana Chalamila akiwa Ikulu leo amesema ukijiona una miaka 40 au zaidi na huna hela usimlaumu Rais kwani unakuwa umezaliwa wakati wa Mwalimu na katikati vimepita vipindi vingi vya uongozi, akidai kwanini alaumiwe mtu mwenye miaka mitatu kwenye uongozi. Chalamila amesema...
  20. U

    Mohamed Mokhbar ateuliwa kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran

    Who is Mohammad Mokhber, Iran's interim president? By Reuters May 20, 202412:19 PM GMT+3Updated an hour ago Here are some key facts about Mohammad Mokhber, 68, Iran's first vice president who became interim president following the death of Ebrahim Raisi in a helicopter crash. As interim...
Back
Top Bottom