rais wa kenya

Gonzi Samuel Rai is a Kenyan politician and a former member of Kenyan parliament from Kinango Constituency in Kwale County. He was first elected to the parliament in 1992 on the ticket of Kenya African National Union (KANU), and 2002 and 2007 on the ticket of Forum for the Restoration of Democracy–People (FORD-People) and won the election on the ticket of The National Alliance (TNA) in the 2013 parliamentary election. His legislative interest focuses on defence, security and public accounts.

View More On Wikipedia.org
  1. Mindyou

    Kanisa lililopewa Milioni 100 na Rais Ruto laandamwa vikali na wanasheria

    Wakuu, Siku kadhaa baada ya Rais William Ruto kutoa mchango wa shilingi milioni 20 kwa kanisa moja jijini Nairobi na kuahidi milioni 100, hisia kali zimeibuka nchini Kenya. Hivi sasa, Wakenya wanne wakilitaka kanisa hilo kuwasilisha kwa Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) shilingi...
  2. U

    Mke wa Rais wa Kenya bi Rachel Ruto akutana na kufanya mazungumzo na mke wa Naibu wa Rais Dkt. Joyce Kithure

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: First Lady Rachel Ruto held a meeting with Dr. Joyce Kithure, spouse of the DP which focused on promoting sustainable school feeding in Kenya through food production on school grounds
  3. ChoiceVariable

    Video: Msafara wa Rais Ruto akiwa Kenya

    My Take: Wale wa Katiba Mpya wanaitwa huku watupe majibu.
  4. G

    Diamond Platnumz na Nandy Wazoa Bilioni 3 huko Mombasa kwenye harusi ya Zakir, Mwana wa Bilionea Imran Kholsa. Rais wa Kenya Miongoni mwa Wageni

    Super bilionea toka Mombasa, Imran Kholsa, ameendelea kuthibitisha kuwa pesa kwake si tatizo, akigeuza harusi ya mtoto wake kuwa tukio la mwaka Ni baada ya kutenga kiasi cha dola 1,350,000 (sawa na shilingi za Kitanzania bilioni 3) kwajili ya Diamond Platnumz na Nandy kutoa burudani kwenye...
  5. Mindyou

    Rais wa Kenya William achaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    Rais William Ruto amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), akichukua nafasi ya Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir. Tangazo hilo lilitolewa Jumamosi, Novemba 30, kufuatia uchaguzi uliofanywa na Wakuu wa Nchi kutoka nchi saba wanachama, zikiwemo Kenya, Uganda...
  6. Suley2019

    Maaskofu wa Katoliki wakataa mchango wa Shilingi milioni 5.6 kutoka kwa Ruto kwa kanisa la Soweto

    Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limekataa michango yote iliyotolewa na Rais William Ruto na Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki la Soweto Jumapili. Katika taarifa yao, Maaskofu walieleza wasiwasi juu ya kutumia majukwaa ya kanisa kwa faida za...
  7. JanguKamaJangu

    Bunge lapitisha jina la Prof. Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais wa Kenya

    Bunge la Kenya limepiga kura ya kuridhia Prof. Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais ambapo kwa kura 236 huku kukiwa hakuna iliyoharibika. Baada ya hatua hiyo, kinachofuata ni Prof. Kindiki kuapishwa na kuwa rasmi Naibu Rais wa Rais William Ruto. Atakapoapishwa atachukua nafasi ya Rigathi Gachagua...
  8. M

    Ndungai ulipaswa kuwa kama Gachagua, Naibu Rais wa Kenya , unaondolewa kibishi sio kuwahi kujiuzulu baada ya kupigwa mkwara kidogo

    Ndugai pamoja na kuwa mwamba kwa wapinzani ulishindwa kudinda kama Gachagua ,hata kama ataondolewa kwa masanet kupiga kura lakini ameonyaesha ukomavu kama mwanasiasa Ndugai uliogopa nini mzee wangu ? Mbona haukuonyesha ubabe hata kidogo jinsi ulivyokuwa unawaonyesha wapinzani ?, ili wasumbuke...
  9. JanguKamaJangu

    Gachagua akana kudai Ksh.8B ili akubali kuachia nafasi ya Naibu Rais wa Kenya

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amekana tuhuma dhidi yake ikiwemo kudaiwa kumtaka Rais #WilliamRuto kumpa Ksh. Bilioni 8 (Tsh. Bilioni 168) ili akubali kuachia nafasi hiyo kutokana na wawili hao kutokuwa na uhusiano mzuri. Amesema hayo wakati alipohojiwa na kituo cha Redio, amesema “Sina tamaa ya...
  10. Tlaatlaah

    Naibu Rais wa Kenya ana machaguo matatu tu ili abaki kwenye medani za siasa nchini humo

    Chaguo la kwanza, Ni ama ajiuzulu nafasi yake kwa hiyari yake mwenyewe, kuepuka fedheha ya kubaduliwa na bunge kutoka kwenye wadhifa wa naibu Rais kutokana na tuhuma za kukiuka katiba zinazomkabili. Chaguo la pili, Awe tu muungwana, ajishushe chini kiungwana na aombe radhi kwa Rais boss wake...
  11. Tlaatlaah

    Falsafa na mbinu ya Uongozi anayoitumia Rais William Ruto itamuwezesha kushinda muhula wa pili Uongozini kirahisi sana 2027

    Kukubali kuondoa muswada wa sheria ya fedha wa mwaka 2024/2025, uliolalamikiwa na kuibua maandamano ya Gen Z, kuvunjwa kwa baraza la Mawaziri na kuwafuta kazi Mawaziri wote waandamizi Serikalini, kusitisha nyongeza ya mishahara kwa Watumishi wa Umma na kupunguza safari za nje, posho, marupurupu...
  12. Nyani Ngabu

    William Rutto kumbe naye ni wa ovyo ovyo tu

    Inaripotiwa kuwa nyumba ya mwanae na Uhuru Kenyatta imevamiwa na watu wa usalama huko Karen! Majuzi iliripotiwa kuwa serikali imemuondolea walinzi mama yake na Uhuru ambaye ni mke wa Rais wa kwanza wa Kenya, Jomo Kenyatta. Sikudhani Ruto angefanya mambo kama haya. Nilidhani ni mstaarabu. Kumbe...
Back
Top Bottom