Msafara wa Rais wa Liberia umesimama kwa muda baada ya kutokea purukushani wakati anaingia getini JNICC. Sintofahamu hiyo imetokea au imeletwa na wanausalama wa Tz walipokuwa wanamzuia kuingia ndani yule mpambe wa Rais anayebeba kibegi. Imebidi matangazo yakatwe kwa muda
Rais Joseph Boakai ametangaza atapunguza mshahara wake kwa Asilimia 40 huku Ofisi yake ikieleza ni sehemu ya kuonesha Utawala Unaowajibika
Hivi karibuni Wananchi wengi wamelalamikia kupanda kwa gharama ya maisha Nchini hapo ambapo Kituo cha BBC kimedai takriban Mtu mmoja kati ya Watano anaishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.