Ni wakati ambao kuna mambo makubwa yanatokea. Sijui kwa nini viongozi wa Dunia wakaamua kuwaweka Watanzania in the centre of this.
Mkutano ujao utafanyika Uzbekistan. Maybe it is the only place which is going to be peaceful mambo yanavyokwenda hivi sasa.
Sijui tunaipima vipi kazi ya Spika...