Binafsi, naamini Rais Samia alipochukua madaraka, alikuwa na dhamira ya kweli ya kuleta mabadiliko ya mifumo ya kiutawala, yaani kutengeneza nchi ambayo watu wake wataongozwa kwa haki, kwa kuzingatia misingi ya demokrasia, uhuru wa maoni, na kisha kujenga uchumi wenye misingi ya haki. Hii ndiyo...
Generali Brice Oligui Nguema Jenerali huyo anatarajiwa kuapishwa leo, Septemba 14, 2023 ataapishwa kuwa Rais wa Mpito akichukua madaraka kwa muda usiojulikana baada ya kupindua Utawala wa Familia ya Bongo uliodumu kwa miaka 55 nchini humo
Jenerali Brice Oligui Nguema, aliongoza Maapinduzi ya...
Haya kumekucha Gabon, Brice ambae ndo alikuwa mkuu wa ulinzi wa Rais ndo kawa Rais.
Kwa uchunguzi wangu ,huyu Nguema ni binamu wa Ali Bongo. Na Ali Bongo alimpa kazi maalum ya kumuandaa mtoto wa kwanza wa Ali Bongo anaeitwa Valentin ili aje kuwa Rais.
Naona Brice kaamua, no way kwanini aandae...
Aliyekuwa Waziri Mkuu, Ranil Wickremesinghe ameapishwa kuwa Rais wa mpito wa Sri Lanka hadi Bunge litakapomchagua mrithi wa Gotabaya Rajapaksa, aliyeikimbia Nchi hiyo na kisha kujiuzulu kufuatia maandamano ya umma.
Maandamano hayo yalitokana na mallamiko kuhusu hali duni ya kimaisha Nchini...
Kanali Mamady Doumbouya ambaye wiki iliyopita aliapishwa kuwa Rais wa Mpito amemteua Mohamed Beavogui kuwa Waziri Mkuu. Mtumishi huyo wa zamani wa Umma atasimamia mabadiliko ya Utawala wa Kiraia.
Imeripotiwa, Beavogui (68) ana uhusiano na Diallo Tellia ambaye ni Mwanadiplomasia wa zamani wa...
Licha ya kitendo chake cha kufanya Mapinduzi ya Kijeshi mara mbili ndani ya miezi tisa kukosolewa, Kanali Assimi Goita amekula kiapo kuwa Rais wa Mpito wa #Mali akiahidi Uchaguzi Mkuu utafanyika Februari 2022 kama ilivyopangwa.
Kutokana na hali ya kisiasa inayoendelea, Ufaransa ambayo ni...
Siku tatu baada ya kuwashikilia, Jeshi Nchini Mali limewaachia Rais wa Mpito, Bah Ndaw na Waziri Mkuu, Moctar Ouane huku likiwavua wadhifa walionao. Viongozi hao walishikiliwa muda mchache baada ya mabadiliko kufanywa Serikalini.
Mzozo wa Kisiasa unalikumba Taifa hilo miezi tisa baada ya Jeshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.