Binafsi, naamini Rais Samia alipochukua madaraka, alikuwa na dhamira ya kweli ya kuleta mabadiliko ya mifumo ya kiutawala, yaani kutengeneza nchi ambayo watu wake wataongozwa kwa haki, kwa kuzingatia misingi ya demokrasia, uhuru wa maoni, na kisha kujenga uchumi wenye misingi ya haki. Hii ndiyo...