rais wa nigeria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Rais wa Nigeria Bola Tinubu anaelekea Makkah kwa ajili ya kuliombea taifa lipate Amani,umoja na Maendeleo

    Rais wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu, anatarajiwa kuondoka Abuja leo Alhamisi kuelekea Makkah nchini Saudi Arabia ili kufanya ibada ya Umrah na kuomba dua kwa ajili ya amani, umoja, utulivu na maendeleo ya nchi yake. Taarifa iliyotolewa na Mshauri Maalum wa Rais kuhusu Habari na Mkakati, Bayo...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Nigeria, Bola Tinubu: Bei ya mafuta inaumiza sana, tushukuru Mungu tuna nafuu kuliko wenzetu Kenya na nchi zingine Afrika

    Wakuu, Naona sasa ni mwendo wa kumuonea mnyonge, yaani viongozi wa Afrika sasa wameona hii ndo njia ya kujitetea kwa wananchi wao kwa kushindwa kuwajibika kwenye hili janga la mafuta Juzi tu Kizimkazi alitoka kulinganisha Tanzania na bei ya mafuta Marekani na Ulaya hadi akapenyezewa --------...
  3. JamiiForums Tanzania Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, ametangaza hali ya dharura kufuatia utekaji uliokithiri

    Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, ametangaza hali ya dharura ya usalama nchini kote kufuatia msururu wa mauaji na utekaji wa watu. Rais Bola Tinubu, katika taarifa iliyotolewa kutoka Ikulu na kuchapishwa kupitia mtandao wa kijamii wa X (zamani Twitter) siku ya Jumatano, ameagiza idara ya polisi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Nigeria afanya Mabadiliko makubwa uongozi wa Jeshi Kufuatia tetesi za Mapinduzi

    Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, amefanya mabadiliko makubwa katika uongozi wa jeshi huku nchi hiyo ya Afrika Magharibi ikiendelea kukabiliana na ongezeko la vurugu kaskazini na changamoto nyingi za kiusalama. Hatua hiyo imekuja siku chache baada ya serikali kukanusha tetesi za jaribio la mapinduzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…