Kwa kile anachofanya huko Goma kwa kutumia M23 Kagame anapaswa kupongezwa sana. Nchi nyingi zimemshindwa. Zimeshindwa kumdhibiti. Huyu jamaa ni kigezo cha kupima tunapotaka chagua Rais.
Unamwona anapoongea anapotembea ana akili. Unaona tu ana kitu. Tunapaswa kuzingatia hili tunapoenda chagua...