Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), Patrice Motsepe, ametetea uadilifu na Uhuru wa Taasisi hiyo kufuatia wito wa Serikali ya Senegal kutaka uchunguzi wa kimataifa juu ya tuhuma za rushwa.
Akizungumza kupitia video iliyochapishwa kwenye tovuti ya CAF, Motsepe amefafanua kuwa kulikuwa...