Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una mambo ya SEBULENI na ya CHUMBANI.
Mojawapo ya mambo ya chumbani ni kwamba Rais wa JMT hawezi akatokea Visiwani moja kwa moja. Na kamwe haitokaa itokee Rais wa SMZ akatokea Bara.
Rais Mwinyi na Samia walipata ngekewa za kuwa Marais wa JMT wakati tu wa...
Tatizo Tanzania na mara nyingi Afrika kwa ujumla, tumezoea kufanya mambo kwa mazoea au kwa matarajio kwamba kama leo tumekula basi hata kesho tutakula tu. Ndio maana wengi wetu mambo ya kuandika wosia hatutaki. Hatutaki kufikiri mambo mbele kiasi hicho, au kudhani tukifa leo au kesho kutakuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.