rais wa tff

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Rais wa TFF, Wallace Karia akosoa kelele na propaganda zinazochafua Soka la Tanzania, "leta ushahidi TFF, nje na hapo sivutiwi"

    Wakuu Nani kalikoroga huko, Rais hapendezwi kabisa! == Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, leo Disemba 7,2024, katika mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwamba yeyote anayeona udhamini wa ligi kuu una dosari, apeleke ushahidi TFF. Alikosoa kelele na...
  2. lufungulo k

    RAIS WA TFF , FREE BUGGATTI NA WENZAKE.

    Ikikupendeza na utapendeza na wengine, mchezo wa soka ni FURAHA na kuwa FAIR. TUMESHUHUDIA nchi ikiwa katika sherehe za uhuru Mh Rais hutoa misamaha kwa WAFUNGWA. Hawa wanakuwa wamefanya makosa na wanapata Misamaha . Kama Taifa la soka Tanzania timu zetu SIMBA NA YANGA kwa mara ya kwanza toka...
  3. GENTAMYCINE

    Hivi nisiyemwelewa Rais wa TFF Wallace Karia ni Mimi tu pekee au?

    Timu ya Taifa ipo na imeshachaguliwa ila kwa sasa tumeificha ikiendelea na Mazoezi dhidi ya Niger Jumapili ijayo na hatutakitaja kwa sasa" amesema Rais wa TFF Wallace Karia. Chanzo: Sports Headquarters EFM leo Mwenyezi Mungu anisamehe na Members hapa JamiiForums mnisamehe ila kwa Kauli za Rais...
  4. Suley2019

    SI KWELI Wallace Karia Rais wa TFF asema si vyema Yanga kwenda na ndege ya Rais baada ya kupoteza mchezo

    Salaam ndugu zangu, Nimekutana na video fupi ikionesha Rais wa TFF Wallace Karia akisema kwamba itakuwa si vizuri kwa Yanga kwenda na ndege ya Rais baada ya kupoteza mchezo. Je, kuna ukweli wowote wa juu ya hili? Tusaidieni kumhoji Picha1: Sehemu ya Tweet inayomlaumu Rais Karia kwa kauli...
  5. M

    Wallace Karia anaiendesha TFF kihuni, adhabu za vifungo na faini za kibabe zinawaumiza wanamichezo. Karia hafai kwa ustawi wa soka letu

    Hivi karibuni sakata la kufungiwa kwa Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Sande Manara "Bugati" limeshika kasi katika tasnia ya michezo nchini, lakini mtiriko wa matukio ya kuichafua tasnia ya soka kutoka kwa Shirikisho la Soka Nchini (TFF) na Rais wake, Wallace Karia umeongezeka kwa kasi. Hebu...
  6. GENTAMYCINE

    Angetile Osia (Katibu Mkuu wa TFF uliyetumbuliwa) na Rais wa TFF Karia tumekuchoka na Chuki

    Angetile Osiah (Katibu Mkuu wa TFF Uliyetumbuliwa) umekuwa na tabia za Kipuuzi na Kishamba mno hasa za kupenda Kujitokeza kutolea Ufafanuzi wa Hukumu na Sheria za TFF na Kamati za Maadili hasa pale ikiwa inaihusu Klabu ya Yanga. Angetile Osiah (Katibu Mkuu wa TFF Uliyetumbuliwa) kama kweli una...
  7. M

    GSM acheni kuwatumia Wasemaji na Wazee wa Yanga SC Kuwachafua Waziri Mkuu Majaliwa na Rais wa TFF Karia kwa Maslahi yenu ya Kibiashara

    Nimependa nilipoona TFF imetoa ONYO juu ya Upuuzi huu wa Wasemaji na Wazee wa Yanga SC ila nashangaa na nasikitika mpaka leo Wizara husika ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na BMT wakiwa Kimya kitu ambacho ni Hatari na kinaweza kuibua Hisia Mbaya juu yao. Baada ya GSM kuona Mkakati wao Kufeli...
Back
Top Bottom