Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameituhumu nchi ya Urusi kutumia mitandao ya kijamii kuchafua jina la Ufaransa barani Afrika.
Rais Macron alisema maneno hayo tarehe 6 Januari 2025 wakati akiwahutubia wanadiplomasia wa Ufaransa wanaohudumu nje ya nchi hiyo.
Akiongelea swala la kupungua...
Mods tafadhalini msiunge huu uzi,
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amemkosoa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuhusu wito wake wa kuiwekea Israel vikwazo vya kuuziwa silaha (Arms Embargo).
Bajeti ya ulinzi ya Israel ni Dola Bilioni 30 (Shilingi Trilioni 82)
Marekani huisaidia Dola...
Haya maneno yaliyowahi kutamkwa na Sarkozy, rais wa Ufaransa kabla ya Macron. Aliyasema katika hotuba yake alipotembelea Africa kwa mara ya kwanza katika chuo kikuu cha Dakar, Senegal mwaka 2007
Maneno yenyewe yaliyolalamikiwa kuwa ni ya kibaguzi sana ni haya,
"The tragedy of Africa is that...
…Valéry Giscard d’Estaing alikuwa ni Rais wa Ufaransa kuanzia mwaka 1974 hadi 1981.
Jean-Bedel Bokassa alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) mwaka 1966 hadi 1979.
Ndani ya miaka 13 ya utawala wake, alibadili mfumo wa utawala nchini mwake CAR na kuwa utawala wa Kifalme… Baadae...
" Congo DR iache kila mara Kulaumu Kuvamiwa na Rwanda, tumechoka na kabla ya Kuwashutumu Majirani zao Wajiimarishe hasa Kiusalama na Kuimarisha kama Taifa kwa Umoja na Kuwaunganisha Wakongo wote* amesema Rais wa Ufaransa Manuel Macron alipokuwa Ziarani nchini Congo DR.
Chanzo Taarifa: Amka na...
Mashirika ya Kiraia yameandamana nje ya Ubalozi wa Ufaransa, kupinga ziara ya Rais Emmanuel Macron ambayo imepangwa kufanyika baadaye wiki hii
Waandamanaji wanaishutumu Ufaransa kwa kuegemea upande wa Rwanda, ambayo imekuwa ikihusishwa na kuunga mkono kundi la waasi la M23 wanaoshambulia Raia...
"Lazima tufikirie juu ya muundo wa usalama, ambao tutaishi kesho. Ninazungumzia, haswa, maneno ya Rais wa Urusi Vladimir Putin kwamba NATO inakaribia mipaka ya Urusi na kupeleka silaha ambazo zinaweza kutishia usalama wa Urusi," alisema.
Rais wa Ufaransa Emmanuel
Muundo wa usalama wa baadaye...
Ulishawahi kusikia japo kwa uchache kuhusu Emanuel Macron Rais wa sasa wa ufaransa? Je ushawahi kusikia kuhusu mke wake?
Ni hivi Rais Emanuel Macron wa ufaransa ana miaka 43 ndio rais kijana kuliko maraisi wote waliowahi kuiongoza ufaransa
Emmanuel Macron alianza kumpenda mwalimu wake wa...
Mahakama imemhukumu aliyempiga kofi Rais Emmanuel Macron usoni siku kadhaa zilizopita kifungo cha miezi minne. Mwendesha Mashtaka amesema alichofanya Damien Tarel (28) hakikubaliki na kilikuwa kitendo cha makusudi cha ghasia.
Rais Macron (43) alisema hakuamua kuchukua hatua za kisheria na...
Tukio la kushambuliwa kwa makofi Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron linatupeleka mbele na kulazimika kujifunza mambo machache anuawi katika uwanda wa Ujasusi ulimwenguni. Nimeliangalia katika pande nyingi na sasa ninaweza kulichambua kwa sehemu fulani ili kusherehesha na kufunza walinda viongozi...
Watu wawili wametiwa mbaroni wakihusishwa na tukio la kumpiga kofi Rais wa Ufaransa, Emmanuel macron alipokuwa katika ziara rasmi Kusini mwa Taifa hilo.
Katika video inayosambaa mitandaoni, mtu huyo anaonekana kumchapa Rais Macron kabla ya kudhibitiwa na maafisa usalama, wakifanikiwa kumwondoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.