Katika tukio la kihistoria, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru Rais wa Yanga, Injinia Hersi Saidi, kuachia ngazi kutokana na ukiukwaji wa katiba ya klabu. Je, mahakama ina mamlaka ya kutoa uamuzi kama huu?
Mahakama zina wajibu mkubwa wa kuhakikisha kwamba sheria na taratibu zinafuatwa...