Mkamu wa pili wa rais wa Zanzibar Hemed Seleiman Abdulla amewahima wananchi mbalimbali kuhakikisha wanafanya mazoezi kila mara.
Hemed Ameyasema hayo katika Uzinduzi wa matembezi ya upimaji wa afya pamoja na ugawaji wa miwani bure Yalioanza kiembe samaki na Kumalizikia katika viwanja vya maisara...
Radio One Sterio mnapotusomea habari za rais wa Zanzibar haziwezi kuwa ni habari za kitaifa, hizo ni habari za taifa la Zanzibar lenye serikali yake na katiba yake.
Siku hizi kumezuka mtindo wa kuifanya serikali ya Zanzibar kuwa ni ya muungano! Na huu mtindo unafanywa na viongozi wa serikali ya...
Siku ya leo Januari 8, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefungua Skuli ya Sekondari Misufini, Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025 wakati wa shamrashamra za kuelekea miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Katika hotuba yake Rais Samia aligusia...
https://www.youtube.com/live/SNFqdxgQ_R4
Mwenyekiti Taifa wa ACT Wazalendo, Ndg. Othman Masoud Othman ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ametangaza rasmi kuwania Urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo.
Hongera Rais Mwinyi unastahili tuzo hii ya Uongozi Unaoacha Alama.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Zanzibar.
Chuo Kikuu cha Zanzibar kimemtunuku Shahada hiyo ikiwa ni kutambua na kuthamini...
Tatizo Tanzania na mara nyingi Afrika kwa ujumla, tumezoea kufanya mambo kwa mazoea au kwa matarajio kwamba kama leo tumekula basi hata kesho tutakula tu. Ndio maana wengi wetu mambo ya kuandika wosia hatutaki. Hatutaki kufikiri mambo mbele kiasi hicho, au kudhani tukifa leo au kesho kutakuwa ni...
Akitambua uwepo wa viongozi na waalikwa katika Mkutano wa wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara, Rais Samia kaanza kwa kutambua uwepo wa Makamu wa Rais kisha Rais wa Zanzibar na baada ya hapo ndio akamataja Waziri Mkuu wa Tanzania, Bwana Kassimu Majaliwa na kisha akaendelea kutaja wageni wengine...
Jana, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alikutana na Baraza la Mawaziri na kushirikiana nao katika mazungumzo ya kitaifa. Kilichowashangaza wengi ni uwepo wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Hussein Mwinyi, katika kikao hiki. Je, kwanini Rais wa Zanzibar alikuwepo katika...
Leo tarehe 11, July 2024. Umealikwa kuwa mgeni Rasmi katika maadhimisho ya siku ya kupambana na rushwa Afrika.
Hongera Dr. Hussein Mwinyi, kwa nia yako thabiti ya kuzuia na kupambana na rushwa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla, licha ya wasaidizi wako wachache wanaokuangusha.
lengo la barua hii...
Ikitokea ukahabatika ukibahatika ukawa Rais wa visiwani Zanzibar
Je, utasimamia nchi kizalendo au utafanya kupiga deal uwe bilionea tu
Au ukiacha kuwa Rais Zanzibar
Ukibahatika kwenda somalia ukaingia kwenye mfumo wa siasa ukibahatika kuwa waziri
Je, utakuwa mzalendo?
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (#CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amesema hoja ya kuongeza muda wa Urais kwa Rais wa #Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi kutoka Miaka Mitano hadi Saba, haipo.
Akihojiwa na Clouds FM, Makalla amesema “Hilo jambo halipo, halijafika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.