rais wa zanzibar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je, kwanini Rais wa Zanzibar alikuwepo katika Kikao cha Baraza la Mawaziri? Fahamu uhalali wake Kikatiba

    Jana, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alikutana na Baraza la Mawaziri na kushirikiana nao katika mazungumzo ya kitaifa. Kilichowashangaza wengi ni uwepo wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Hussein Mwinyi, katika kikao hiki. Je, kwanini Rais wa Zanzibar alikuwepo katika...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Barua ya wazi kwa Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi

    Leo tarehe 11, July 2024. Umealikwa kuwa mgeni Rasmi katika maadhimisho ya siku ya kupambana na rushwa Afrika. Hongera Dr. Hussein Mwinyi, kwa nia yako thabiti ya kuzuia na kupambana na rushwa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla, licha ya wasaidizi wako wachache wanaokuangusha. lengo la barua hii...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Mtanganyika ukibahatika ukawa Rais wa Zanzibar utakuwa mzalendo?

    Ikitokea ukahabatika ukibahatika ukawa Rais wa visiwani Zanzibar Je, utasimamia nchi kizalendo au utafanya kupiga deal uwe bilionea tu Au ukiacha kuwa Rais Zanzibar Ukibahatika kwenda somalia ukaingia kwenye mfumo wa siasa ukibahatika kuwa waziri Je, utakuwa mzalendo?
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Hoja ya Rais Mwinyi kuongezewa miaka ya Urais haipo

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (#CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla amesema hoja ya kuongeza muda wa Urais kwa Rais wa #Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi kutoka Miaka Mitano hadi Saba, haipo. Akihojiwa na Clouds FM, Makalla amesema “Hilo jambo halipo, halijafika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…