rais

  1. Rais samia ni msikivu na mvumilivu

    Moja kati ya sifa kubwa aliyonayo Rais wetu ni uwezo wa kusikiliza kila mtu na uwezo wa kuvumilia mambo mengi. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni Msikivu na Mvumilivu. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
  2. Katika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫

    Katika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫 1. Pato la Taifa la Burkina Faso lilikua kutoka takriban $18.8 bilioni hadi $22.1 bilioni. 2. Amekataa mikopo kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na thKatika Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traoré 🇧🇫 1. Pato la Taifa la Burkina Faso lilikua...
  3. Salamu za Rais wa Simba SC, Mohammed Dewji baada ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

    Pokeeni salamu na shukrani
  4. Tumemuona Rais Trump akicheza na Mkewe baada ya Kuapishwa rasmi, hivyo tunaomba na wengine wakiapisha hivi karibuni nao wacheze na Wake / Waume zao

    Na GENTAMYCINE naomba yoyote yule atakayeapishwa huku Afrika (kama kuna Uchaguzi wowote mwaka huu 2025 japo najua hakuna Uchaguzi wowote katika Kumbukumbu zangu) nae akiwa anacheza Muziki na ama Mkewe au Mumewe mara baada Kuapishwa basi atuonyeshe Manjonjo yake ya kujua Kucheza Muziki (hasa wa...
  5. U

    Picha bora kabisa ya mwaka huu mke wa Makamu rais us na wanae wawili

    Tazameni walivyopendeza
  6. U

    Mtoto wa Makamu wa Rais wamarekani J.D Vance awa kivutio kwa mamilioni ya watu duniani ni baada ya kusinzia wakati babake akiapishwa!

    Wadau hamjamboni
  7. K

    Hakuna Rais wa nchi hii atakayekuja kumzidi kikwete.

    Wakati wa JK uhamiaji ulikuwa makini. Kwa sababu tu kikwete mwenyewe mtoto wa mjini. Kwa sasa raia wa mataifa jirani wengi sana wamejaa nchini. Wale wanaojitia wa iq kubwa na yule mkuki wao alikuwa hafukuruti kwa JK sasa hivi wanyaroo wamejaa
  8. Kwanini Rais Samia hajaalikwa kwenye sherehe za kumwapisha Rais Donald Trump?

    Kwanini Marekani haijampa mwaliko kabisa? Ni bora hata ingemwalika akatae kuliko hiki walicho mfanyia. Hawajui kuwa huku tumempa mi5 tena? Kwa taarifa yenu wamarekani nasisi hatumwaliki Trump kwenye sherehe za kumwapisha rais Samia baada ya uchaguzi. Pia nashauri ikulu ya Marekani iombe radhi.
  9. M

    Pre GE2025 Rais Samia kapiga double knockout kwa matukio ya jana (Mkutano Mkuu wa CCM)

    Mkutano mkuu umepiga shut kamati kuu ikakwepa goli hilo. Mama samia akachomoa makamu mpya shwa. Haya Chadema tunawasubiri
  10. Rais Samia athibitisha uwepo wa Ugonjwa Marburg Tanzania

    Rais Samia akitoa taarifa kwa Mkurugenzi mkuu wa WHO jijini Dodoma amesema kuwa mmonjwa mmoja amekutwa na ugonjwa huo kutoka mkoa wa Kagera na wengine 25 waliopimwa baada ya kushukiwa hawakukutwa nao. Amesema serikali inaenelea kufaya uchunguzi zaidi. https://www.youtube.com/watch?v=Atn0fKyOmu4
  11. Naomba kujua hasa Wasifu wa huyu Mtu aitwae 'Waziri' ninayemuona 24/7 akiwa nyuma ya Rais Samia huku akiwa anasikilizwa na hata Kuogopwa pia?

    Je, ndiyo Chief of Protocol kwa Mheshimiwa Rais Samia sasa? Nasikia pia kuwa ndiyo National Intelligence Analyst. Na kwanini anasikilizwa na hata Kuogopwa sana na Timu ya Rais kiasi kwamba ananyenyekewa mpaka na wale Watu wa Msaada Kontena ambao Kiutendaji Yeye ndiyo anatakiwa aongozwe nao na...
  12. Ikitokea Rais wa sasa akashindwa kutimiza majukumu yake, je Makamu aliyejiuzulu anayemalizia muda wake ataapishwa kuwa Rais?

    Naombeni kujua tu wadau, maana ya Mungu mengi. Makamu wa Rais amejiuzulu lakini anamalizia muda wake mpaka mwezi wa 10. Sasa ikitokea Rais akapata dharura na akashindwa kutimiza majukumu ya Urais, huyu makamu aliyejiuzulu anafaa kuapishwa kuwa Rais?
  13. Je wanaojikosha kwa Rais Samia wanafanya hivyo bila kutafakari kwa kina au ni msimamo wa CCM usio rasmi?

    Wanabodi, Jambo lolote jema ambalo limeleta mabadiliko chanya kwenye maisha ya watu, liwe la serikali au mtu binafsi linahitaji pongezi. Pongezi sio tu katika kuonyesha maisha yaliyoguswa na kitendo hiki bali pia kumpa motisha aliyefanya tendo hilo kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa...
  14. Z

    Pongezi kwa Rais dkt Samia kwa kuchaguliwa kugombea Urais kwa tiketi ya CCM 2025/2030.

    Wajumbe wamempitisha kwa 100% kuwa mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi 2025/2030. Hakika naamini atashinda kwa kishindo mwaka huu. Mungu amlinde Rais wetu, wenye wivu wanywe sumu kabla ya October.
  15. Kosa kama lile la Wajumbe ( Chawa) kumtaka JPM aongoze milele, tena linajirudia kwa Rais Samia japo wanajua ni Kinyume cha Katiba yao

    Kwa bahati mbaya sana, Ma Rais wote Hayati, na Sasa Rais Samia, Kwa pamoja na Kila Mmoja Kwa wakati wake anaonekana ni mwenye kulifurahiaaa. Kama ni Rais, una najiona Kwa kazi zangu nilizofanya ni za kutukuka, ningeacha Mchakato ufanyike. Mwenyekiti alitakiwa kua Mfano, alitakiwa kukemea...
  16. D

    Rais Samia ndiyo Rais bora kabisa

    Nimetawaliwa na ma-rais wa awamu zote Rais Samia Suluhu ndiye rais bora zaidi kuliko wote, Mungu amlinde. Kwenye TANU na CCM nilimpigia mbunge mmoja tu nae ni Severino Supa wa Dodoma mjini na nilipata sijampigia kura rais yoyote wa TANU na CCM ila safari hii uchaguzi unaokuja nitampigia kura...
  17. Pre GE2025 Ni dhahiri Lissu ndiye Rais ajaye wa JMT

    Nina hoja Tangu Tundu Antipas Lisu atangaze na kuchukua fomu ya kugombea uenyekiti taifa wa CHADEMA. Watanzania karibia wote wamekuwa wanafuatilia na hususan kuonesha kumuunga mkono CCM imeporomoka umaarufu kwa ghafla mno. Hata mkutano Mkuu unaoandaliwa Dodoma umekosa shamsham zake kama ilivyo...
  18. Daniel Chapo aapishwa kuwa Rais wa Msumbiji

    FRELIMO wamebaka uchaguzi na Daniel Chapo sasa yupo Ikulu. Viva FRELIMO vivaaa
  19. Ni makosa ya kiufundi kuandaa mdahalo katika jengo la TLS ambalo Mwabukusi ni Rais wake, na anamunga mkono Lissu hadharani, haki isingetendeka

    Viongozi wakuu wote wa TLS ni kambi ya Lissu, halafu mdahalo unaandaliwa katika jengo la kambi moja, na wanatarajia haki itendeke. Ni wazi kuna njama, fitna na hata Janja janja ya kumdhuru Mbowe. Hongera Mbowe kwa kukwepa mtego wa mahasidi
  20. WENJE TUSAIDIE: Je, Lissu huyu aliyetaka kumpindua Mbowe akiwa gerezani ni Lissu yule yule aliyemwambia Rais Samia kabla ya maridhiano Mbowe aachiwe?

    Wenje naona Kuna kitu hakiko sawa kwake nadhani ni PRESHA ya Uchaguzi inamzidia, Akiwa Wasifi TV alituambia ni Lissu aliyeasisi Maridhiano na moja ya sharti alilotoa kwa Rais Samia ni kumwachia huru Freeman Mbowe bila masharti, Sasa kama alitaka Freeman Mbowe aachiliwe halafu wakati huo huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…