rais

  1. JamiiForums Tanzania Zitto: Wanachama ACT Wazalendo wanataka kubadili katiba ya chama ili niendelee kuongoza. Nimewaambia naheshimu katiba

    "Sisi katiba yetu ipo wazi ina vipindi viwili na mimi ni muumini wa katiba na ukatiba kwahiyo nimeamua kuheshimu katiba, kumekuwa na shinikizo ndani ya chama kuwa tubadilishe katiba ili uweze kuendelea nimekataa kwasababu nisipo heshimu katiba naweka precedent mbaya kwa watu wengine watakao kuja...
  2. JamiiForums Tanzania Wananchi Kata ya Makame (Jimbo la Kiteto) Wamshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Miradi Mingi ikiwemo ya Umeme

    Wananchi wa Kata ya Makame Wamemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa miradi mbalimbali mingi ya Maendeleo huku wakimuomba Mbunge wao, Mhe. Edward Ole Lekaita kumfikishia Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Salamu za Pongezi na shukurani nyingi kutoka kwa Wananchi. Mhe. Edward Ole Lekaita...
  3. JamiiForums Tanzania Rais TLS atoa msimamo Wakili Mpoki kufungiwa miezi 6

    Chama cha Mawakili (TLS) chatoa TAMKO KALI kuhusu kitendo cha Mwenyekiti (Jaji Ntemi) wa Kamati ya Maadili ya Mawakili kumsimamisha uwakili kwa miezi 6 Wakili Mkongwe Mpale Mpoki. Kwamba, amesimamishwa kiholela, Jaji kama Mwenyekiti wa Kamati hana Mamlaka ya kufanya hivyo, amemsimamisha bila...
  4. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia Amteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Bw. Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB). Bw. Mihayo ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Afrika Tanzania. Uteuzi huu umeanza tarehe 19 Novemba, 2023
  5. JamiiForums Tanzania Mikakati ya Rais Samia kuinua makandarasi wazawa nchini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anataka kuona ushiriki mkubwa zaidi wa Makandarasi wazawa katika kazi za utekelezaji wa ujenzi wa miradi nchini. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa leo tarehe 21 Novemba, 2023 katika Mkutano wa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usiruhusu haya ya Mwabukusi na kesi ya kubumba ya uwakili, sifa mbaya yote inabebwa na wewe na si Jaji Feleshi wala Jaji Ntemi

    Ni uonevu mtupu unaoendelea kwenye kesi ya Mwabukusi ya uwakili wake. Wanakujengea sifa ya utawala mbaya kwenye legacy ya urais wako. Tafakari matendo ya wateule wako!
  7. JamiiForums Tanzania Nashauri kuwa na Passport iwe ni sharti la lazima mtu kuanza chuo au kufungua biashara. Hili ni dogo sana kwa Rais wetu

    Passport ni kitu muhimu sana. Lakini ukisikiliza ni malalamiko ya watu wengi kuwa upatikanaji wake ni mgumu. Kutokuwa na passport ni moja ya sababu watanzania wengi kukoswa grobal mentality. Wengi mambo yakiwa magumu wanafikilia kurudi vijijini badala ya kutafuta fursa nje ya nchi. Kigezo eti...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Taifa stars haiwezi kushinda dhidi ya Morroco kwa kukata viuno uwanjani. Hata kama rais anununue tiketi zote leo ni kichapo tu. Hakuna siasa njaa

  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia ameongeza Bilioni 654 bajeti Mikopo Elimu ya Juu

    "Mikopo ni fedha. Tangu shughuli ya kukopesha fedha imeanza miaka 19-20 takriban Tril.7. 3 zimewekezwa. Huu unaitwa ni uwekezaji wa Serikali katika rasilimali watu. Na wanufaika Laki Saba wamepata mikopo. "Katika miaka Mitano au Sita kuanzia 2020-21 kiasi cha bajeti kilichopitishwa ni Bil. 464...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto ashusha gharama za Bima ya Afya

    Rais #WilliamRuto amesema Serikali itafanya mabadiliko kwenye gharama za matibabu kwa Wananchi wa kipato cha chini wanaotumia Bima ya Mfuko wa Bima wa Taifa (NHIF) ambapo waliokuwa wanalipa Tsh. 8,201 kwa mwezi wataanza kulipa Tsh. 4,921. Ruto ameongeza kuwa Wananchi ambao hawana uwezo wa...
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Dugange Amshukuru Rais Samia kwa Kutatua Changamoto ya Zahanati Masaulwa

    DKT. DUGANGE AMSHUKURU RAIS KWA KUTATUA CHANGAMOTO YA ZAHANATI YA MASAULWA NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mhe Dkt Festo Dugange amemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kumaliza changamoto ya muda mrefu ya Zahanati katika Kijiji cha Masaulwa Kata ya Imalinyi Wilaya ya...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awe makini asije akatuletea "Sabaya" mwingine. Je, ni kwanini CCM wanamtumia Makonda hata baada ya kupigwa ban na Marekani?

    Mpaka sasa wenye uelewa wa kawaida tu wanafahamu ni nini mama Samia anakiandaa kwa siku zijazo hususani 2025. Mama na CCM wanajua fika kuwa bila rafu mambo yatakuwa magumu sana 2025. Kila wakati historia imeonesha kuwa pamoja na CCM kuwa madarakani na kujinasibu kama chama makini na kujiuza kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia amuaga rais wa Romania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amemuaga Rais wa Romania, Mheshimiwa Klaus Iohannis baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi nchini leo tarehe 19 Novemba 2023 Ikulu jijini Dar es salaam. Pamoja na Rais Samia viongozi mbalimbali waandamizi wa Serikali...
  14. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba Amshukuru Rais Samia Kwa Kuridhia kuwapatia Wachimbaji Wadogo Leseni

    Waziri wa Fedha, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuridhia ombi na kuwapatia leseni 28 wachimbaji wadogo wanaofanya shughuli zao katika mgodi wa dhahabu wa Sekenke One...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Dugange Amshukuru Rais Samia Kurudisha Tabasamu Masaulwa

    Naibu Waziri Ofisi wa Tamisemi, Dk Festo Dugange amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumaliza changamoto ya muda mrefu ya zahanati katika Kijiji cha Masaulwa Kata ya Imalinyi Wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe. Dk Dugange ametoa shukrani hizo wakati alipokuwa akiweka jiwe la msingi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Nani anatoa fedha za miradi, Rais au Serikali kutokana na bajeti yake?

    Mara nyingi nimewasikia viongozi mba;i mbali mfano Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa wilaya, Wakurugenzi Watendaji na wengine wengi wakisema tunamshukuru Mhe. Rais kwa kutoa mabilioni kadhaa katika mradi fulani. Naomba mnielemishe. Je, ni Mhe. Rais ndiye anayetoa fedha za miradi yote kutoka...
  17. JamiiForums Tanzania Mabango yote nchi nzima, sifa zote mitandaoni za Rais Samia, hata kwenye 10 bora kuwa na GDP kubwa hatumo?

    Business Insider Africa presents 10 African countries with the lowest GDP projection for 2023 as the year rounds off. This is according to the International Monetary Fund’s World Economic Output report for October. The IMF's basic case assumes that inflation keeps declining. GDP projections...
  18. JamiiForums Tanzania Mnyeti: Rais Samia Amedhamiria Kufanya Mapinduzi Sekta ya Uvuvi

    Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti amebainisha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepania kuifanya sekta ya Uvuvi kuwa moja ya sekta vinara katika kukuza uchumi wa nchi. Mhe. Mnyeti amesema hayo wakati wa hafla ya kukabidhi boti 2 za...
  19. JamiiForums Tanzania Paul Makonda awataka Viongozi wanaosubiri ziara ya Rais ndio watatue matatizo ya wananchi wajitafakari kama wanapaswa kuendelea kuwa viongozi

    Katibu wa Itikadi naUenezi chama cha Mapinduzi (Paul Makonda) amewataka viongozi wa Umma na wa siasa kuacha mara moja tabia ya kusubiri ziara ya Viongozi wakuu wa Umma ndio waje kueleza mazuri na mipango au kutoa ufafanuzi wa mambo muhimu yanayo husu miradi ya jamii na utekelezwaji wake! Paul...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Mwinyi Wapokea kwa Shangwe Ushindi wa Karume Boys, Waipongeza kwa Kutwaa Ubingwa wa CECAFA U-15

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi wameipongeza timu ya Taifa ya Zanzibar chini ya miaka 15 (Karume Boys) kwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya CECAFA-U15 yaliyofanyika nchini Uganda. Karume Boys...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…