rais

  1. F

    JamiiForums Tanzania Nape anaendelea vipi kuwa Waziri baada ya kupatikana ushahidi wa kitendo dhalili cha kuwakanyaga wanawake migongoni jimboni Mtama?

    Mheshimiwa rais Samia inashangaza kwamba unakuwa na waziri katika baraza lako mtu ambaye imedhihirika wazi kwa ushahidi wa kutosha kuwa mwaka 2015 aliona fahari kuwakanyaga akina mama waliojilaza chini huku akipita juu yao mithili ya mtu atembeaye juu ya carpet! Itashangaza mno kama wewe...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya amewakaribisha na kuwaahidi kuwapa wafanyakazi million moja Saudi Arabia, kinyume kabisa na Tanzania

    Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya. Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Dharau ilianza pale Hayati Magufuli alipokejeliwa ni Uchwara na Mshamba na CCM kukaa kimya

    Ni vema tukaangalia tulijikwaa wapi na wala siyo tulipoangukia. Siasa za matusi na dharau hazijaanza leo na hata kumkejeli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna awamu aliitwa Dhaifu tena bungeni na watu wakakaa kimya. Shujaa Magufuli aliitwa Dikteta Uchwara na huyu huyu ni yeye CCM...
  4. JamiiForums Tanzania TANZIA Jecha Salim Jecha afariki dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Jeshi Lugalo

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) aliyefuta uchaguzi 2015 na kupata umaarufu mkubwa, Jecha Salim Jecha leo amefariki Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam na mwili wake utapelekwa Zanzibar kwa maziko. Jecha Salim Jecha alipata umaarufu mwaka 2015 baada ya kufuta matokeo...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa Milioni 2 kwa anayekumbatia Watoto hospitali ya Amana

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pongezi kwa Mariam Mwakabungu (25) anayejitolea kukumbatia watoto njiti waliotelekezwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Amana jijini Dar es Salaam. Ujumbe huu umetumwa siku moja tangu mitandao ya Mwananchi Julai 18, 2023 iliporipoti habari...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kayataka mwenyewe, alikuwa ameanza vizuri tu

    Siasa za mivutano ‘Confrontational Politics’ aliziweza Mwendazake, sidhani kama Rais Samia ataziweza. Samia alikuja na hoja ya ‘Maridhiano’, hoja ambayo ilipokelewa vizuri na pande zote ingawa kwa shingo upande, baadhi hawakufurahishwa. Kwa kiasi kikubwa siasa za vyama vya Upinzani hasa...
  7. JamiiForums Tanzania Mayele akiuzwa Yanga SC itaambulia 30% tu ya Pesa na 70% atachukua anayemmiliki huko Congo DR

    Mtangazaji wa Michezo wa Redio Kubwa na inayokubalika nchini Congo DR ya ( iitwayo ) Top Congo FM Mwanadada Sylivia Meya kasema Mayele akiuzwa Kokote kule Yanga SC waliopewa kwa Mkopo wataambulia 30% tu na Tajiri anayemmiliki Mayele na Wachezaji wengine 24 wa Congo DR atachukua 70% yake. Chanzo...
  8. JamiiForums Tanzania Kikwete: Rais Samia ni kiongozi asiye na papara na ni mtulivu

    --- Hivi Ndivyo Kikwete Anavyomfahamu Rais Samia, 'Anaongoza Nchi Vizuri, Ana UtulivuWakati wa kuahirisha kikao cha demokrasia kilichofanyika jijini Arusha, Rais Kikwete ameweza kukumbushia historia ya safari uongozi wa Rais Samia baada ya swali aliloulizwa na mwandishi wa habari wa The Chanzo...
  9. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Katavi Wamshukuru Rais Samia kwa Huduma ya Maji

    MHE. MARTHA MARIKI - WANANCHI WA KATAVI WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA HUDUMA YA MAJI Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ameishukuru serikali kwa kuwaletea Huduma ya Maji safi na Salama wa kazi wa Kata ya Mwamkulu Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi. Mhe. Martha Mariki Akiwa katika...
  10. JamiiForums Tanzania Lissu: Kauli ikiwa haina maana hata kama aliyesema ni Rais haitabadilika kuwa na mantiki

    Nina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:- (1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo: (2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia ampokea Rais wa Hungary, Katalin Novak katika Ikulu ya Dar es Salaam, leo Julai 18, 2023

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mwenyeji wa Rais wa Hungary, Katalin Novak katika Ikulu ya Dar es Salaam, leo Julai 18, 2023. Rais Katalin Novak yupo katika ziara ya siku nne Nchini Tanzania kuanzia Julai 17 hadi Julai 20, 2023, updates ya kinachoendelea Ikulu ya Magogoni...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Maridhiano ya serikali na CHADEMA mustakabali wake ukoje kwa hali ya sasa ya utendaji wa polisi?

    Kulikuwa na nuru kuwa serikali, polisi, mahakama, bunge to mention but a few, for that matter, watatenda kazi zao bila kuonea upinzania (hasa chadema) na kufuata sheria zilizopo ingawa ni mbovu, kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli. Sasa, jana na juzi yameanza kujirudia yale yale ya kutesa...
  13. JamiiForums Tanzania Kuhani Musa: Aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu

    Kuhani Musa Richard Mwacha anasema aliyemuweka Rais Samia kwenye kiti cha urais ni Mungu, kama mnaona kuna mambo ambayo anapaswa kuyafanya ili kuwafurahisha muombeni Mungu aliyemuweka pale, ili atamtereshia maarifa na ufahamu wa kuyafanya mambo mazuri yatakayokufanya ufurahie. Sasa wewe huna...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Rais kama Mtumishi wa Umma ana haki ya kupata mapumziko. Miaka miwili mfululizo bila likizo ni kawaida?

    Jamani kama sikosei kisheria Mh. Rais kama mtumishi wa umma, anayo haki na stahiki ya kwenda likizo ya mwezi kila mwaka kama ilivyo kwa watumishi wote wa umma. Hata kwa wenzake waliomtangulia walienda likizo mara kwa mara na sote tulifahamu hili. Kwa jinsi mambo yalivyo mengi sasa hivi nchini...
  15. JamiiForums Tanzania Hayati Rais Magufuli alijuaje hali halisi ya maisha ya Wananchi katika uongozi wake?

    Hayati Rais Magufuli kila alipofika kwenye ziara zake hakuangalia wale aliokaa nao karibu mezani mbele,aliangalia wananchi waliosimama kusubiria hotuba yake,aliwaangalia sura zao, na wakati mwingine alienda kuwasalimia. Hiyo ilitosha kumpa ufahamu kuwa ana jukumu kubwa la kufanya ili maisha ya...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Uanaharakati, vikundi vya kigaidi na maandamano ni mfumo wa vurugu kuwasilisha sauti ya watu

    Rais Samia leo July 17, 2023 amefungua mkutano wa wadau wa demokrasia barani Afrika unaowahusisha viongozi wakuu wastaafu mjini Arusha. Sehemu ya hotuba yake ameongelea namna ambazo si nzuri katika kufikisha hisia za wananchi. Rais Samia: Kushindwa kwa Serikali kuhudumia mahitaji ya msingi...
  17. JamiiForums Tanzania Mary Chatanda: Freeman Mbowe amekosa shukrani kwa Rais Samia pamoja na kumtoa gerezani. Huenda ameathirika kisaikolojia

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia mpaka sasa hajaongea na waandishi wa habari kuhusiana na sakata la Bandari?

    Ni zaidi ya mwezi sasa hili suala la bandari limeendelea kuwa gumzo, kinyume na matarajio yangu! Mwanzoni nilidhani lilikuwa ni upepo tu upitao kama yalivyo masuala mengine. La hasha. Haijawa hivyo. Kila kunapokucha, gumzo la bandari zetu ndo linatawala vinywa vya wananchi. Hali hii...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya UVCCM kupongeza Rais Hayataruhusiwa! Maelekezo ya kuyazuia yatatolewa muda wowote kufikia kesho

    Hakuna maandamano yatakayoruhusiwa! Iwe ya kupongeza au kupinga! Maelekezo yameshajadiliwa! Tangazo la marufuku litatolewa muda wowote kuanzia sasa! Maandamano hayapo msipoteze muda kuyajadili! HAYAPO Yakifanyika Mimi dmkali nitafuta akaunti yangu!!
  20. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli: Ni mara kumi nikachunge kule kijijini kuliko kuwa Rais na kuliuza Taifa

    "Unapoona Wananchi wanashangaa shangaa sana, hawakuzoea ninayoyafanya, walijua nitakuwa sehemu ya wezi, NEVER, sio Mimi. Ni mara kumi nikachunge kule kijijini kuliko kuwa Rais na kuliuza Taifa, ninasema hapana" Hayati Rais John Pombe Magufuli.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…