rais

  1. JamiiForums Tanzania Ushauri: Uwanja mpya wa Mashujaa uongezwe hadhi

    Mama wa Taifa Samia, Hongera kwa wazo Mulua la kujenga sehemu ya mashujaa makao makuu Dodoma, nikuombe, naamini unao uwezo wa kuliomba Taifa lione umuhimu wa jambo hili, ujenzi huo ujumuishe sehemu muhimu ya kuwahifadhi mashujaa wetu ambao kwa kuwa Dodoma sasa ni makao makuu yetu rasmi, viongozi...
  2. JamiiForums Tanzania Boss wa Rais ni Wananchi......Tuache woga.....TANZANIA tumepigwa.

    TUCHUKUE HATUA
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Rais atayekuja 2030, atakuwa na raha sana, Samia kasafisha njia

    Miradi mikubwa yote kama Madaraja makubwa, Fly overs DSM, Mwendo kasi, SGR, Bwawa la umeme- Nyerere, miradi ya Kilimo Dodoma, Mahusiano na nchi za nje, wawekezaji kibao, Royal Tours, Bandari n.k itaisha mwaka 2028. Hii inamaanisha kwamba yule Rais ajaye 2030 kazi yake ni kukusanya kodi tu toka...
  4. JamiiForums Tanzania Wakili Mgongolwa: Katiba inamruhusu Rais kumuongezea muda Jaji Mkuu

    Kupitia kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa kupitia Clouds FM, Mwanasheria wa kujitegemea Alex Mgongolwa ameeleza kuwa Rais anayo Mamlaka na hajavunja Katiba kwa kumuongezea muda wa kuhudumu Jaji Mkuu wa Tanzania Msikilize hapa, kisha tujadili nini maoni yako? Pia soma > Profesa Ibrahim...
  5. JamiiForums Tanzania Rais usiusahau Mwenge wa Uhuru

    Mh. Rais Samia wiki mbili hivi zimepita ulitamka kuwa umetuma kikosi kazi kutathmini hali ya mashirika ya Umma ili kupata jibu lipi lifutwe, lipi libinafsishwe na lipi liboreshwe. Good. Ni kweli tumekuwa na mashirika ya Umma ambayo ni kichaka cha uhujumu uchumi, hayana tija. Na kuna mashirika...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wanaotetea Sakata la mkataba wa bandari hawana tofauti na waliokanusha kifo cha Rais enzi zile ilikuwa hivi hivi

    Wanaotetea Sakata la mkataba wa bandari hawana tofauti na waliokanusha kifo cha rais enzi zile ilikuwa hivi hivi! Wengine walikwenda mbali zaidi wakidai wameongea nae kwa simu asubuhi kawaambia wachape kazi yuko mzima! Watu walizidi kuhoji rais wetu yuko wapi walijibiwa yupo chato anawageni...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia amewakumbatia matapeli na wanafiki?

    Waingereza husema ndege wa bawa moja huruka pamoja. Sijui nimuelezee Rais Samia. Nikiona watu waliomzunguka wakimpumbaza kwa mapambio napata taabu kidogo. Kwani, ni hawa hawa waliokuwa wakimfanyia aliyemtegeneza kisiasa yaani mwendazake ambao sasa wanamponda kama vile akina Mwigulu, Makamba...
  8. JamiiForums Tanzania Hofu yangu ni kwa Rais ajaye!

    Je, ni kweli ataweza kuvumilia aendelee kukifuga kifungu cha kutoshtakiwa watangulizi wake?! Je, ni kweli wanaopitisha vipengere vya hovyo kwenye MIKATABA ajaye anaweza kuwavumilia na kuwatangazia msamaha?! Mwenzenu ninayo hofu kuu iliyo wazi kuhusu ajaye kutokuyavumilia hayo hapo juu...
  9. JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnauliza kazi ya Rostam Aziz kwenye ziara ya Rais Samia ya Marekani, hili ndio jibu lenu!

    Intelejensia ya Dunia katika karne ya 21 imebadilika sana! Nchi nyingi duniani sasa zinafanya kazi kutengeneza nguvu na ushawishi kwenye uchumi! Kupata nguvu na ushawishi kwenye Uchumi kunahusisha kutengeneza matajiri wakubwa wenye pesa wanaoweza kuwekeza, kushawishi uwekezaji, kuongeza ajira...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia hababaishwi wala kupotoshwa na wasaidizi wake, bali anajua anachokifanya kwa 100%

    Kumekuwa na dhana ya uongo na upotoshwaji mkubwa dhidi ya utendaji wa rais wetu Mama Samia Suluhu. Kumekuwa na maneno ya mara kwa mara, tena yakurudiwa rudiwa ya kusema wasaidizi wa karibu wa mheshimiwa Rais Samia wanampotosha kwenye mipango na maamuzi ya serikali. Hii dhana sio tu inamkosea...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Ongea ya Rais Samia imebadilika tangu sakata la bandari lianze

    Kwa anayefuatilia hotuba za Rais Samia atagundua kuwa namna yake ya kuzungumza na hulka yake vimebadilika kwa kiasi flani tangu sakata la bandari lianze. Ile sauti yake ya kurelax na kujiamini imetetereka kidogo. Sina uhakika kama ni hali ya hewa na kibaridi hiki. Lakini hii yaweza kumaanisha...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia atumie kete yake ya mwisho kumaliza utata wa bandari

    Mpaka sasa tumeachwa gizani hatujui mustakabali wa nchi yetu swala la mkataba wa bandari upande wa utetezi ukimsikiliza Mheshimiwa waziri mkuu ,waziri wa ujenzi na uchukuzi,na msemaji wa serikali hawa wote nimewasikiliza kauli zao kila mtu kila mtu anasema lake lakini bado hawakati kiu ya...
  13. JamiiForums Tanzania Wakishakaa huko Ikulu wanaambizana hakuna mtu ana hatimiliki ya hii nchi

    Hawa watu wakishakaa huko Ikulu wanaambizana hakuna mtu ana hati miliki ya hii nchi, ndiyo wanaona inawapa uhalali wa kuingia katika mikataba yoyote wanayotaka. Kwa maana kwamba hakuna mtu yeyote anayeweza kuwaita wezi, kwa vile hawajaiba kitu cha mtu yoyote. Lakini ukitazama maandiko ya...
  14. JamiiForums Tanzania Yevgeny Prigozhin: Hatukuwa na lengo la kumpindua Rais Putin

    Kiongozi wa Wagner, Yevgeny Prigozhin ameweka wazi kuwa hakumlenga Putin alipotangaza kuwa wanajeshi wake wangeandamana mjini Moscow akisema: "Hatukuandamana kuupindua uongozi wa Urusi." Katika ujumbe wake wa video wa dakika 11, anasema: "Lengo la maandamano hayo lilikuwa kuepusha uharibifu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Mwigulu akomalia shs 100 kwenye mafuta, adai yakipanda bei Rais Samia ataweka ruzuku

    Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba amesema tozo ya Tshs 100 kwenye mafuta ni jambo jema kwani inataka kutunisha mifuko ya Serikali katika kutekeleza miradi ya kimkakati. Mwigulu amesema miradi ya maendeleo ambayo Tanzania inatekeleza hakuna nchini yeyote ukanda wa Afrika wanaotekeleza kwa mara...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu barua ya kurejeshwa upya kazini

    Habarini, Nina barua yenye check namba, niliyoambiwa kwamba nionapo tangazo mamlaka yoyote ya ajira nchini ikiwemo sekretarieti ya ajira niombe ili niweze kupangiwa kituo kulingana na uhitaji uliopo. Sasa kuona tangazo ni ishu ukiliona leo mpaka baada ya miezi au mwaka pia nafasi ni chache...
  17. JamiiForums Tanzania Wizi wa Masega Watua Kwa Rais Samia, Aeleza Mafundi Gereji Wanavyopasua Exhaust

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani Jijini Arusha leo June 25,2023 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba siku hizi kuna mtindo mpya wa Watu kupasua bomba linalotoa moshi wenye sumu...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia Atunukiwa Tuzo Mapambano Dhidi ya Dawa za Kulevya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametunikuwa tuzo ya Kutambua mchango wake kwenye mapambano dhidi ya dawa za Kulevya nchini. Tuzo hiyo imekabidhiwa kwake na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyeiwasilisha kwa niaba ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na wabunge wetu, mnataka wananchi wafanye nini msikilize maoni yao na kufanyia kazi?

    Ni swali tu kwenu viongozi wetu hasa kuhusu hili la DP world kupewa Bandari zote za Tanzania Bara. Wananchi hamtaki waandamane maana wakifanya hivyo mnawaona ni kama wanyama wasiostahili kuishi, mtahakikisha wanapigwa ikiwezekana kumiminiwa risasi za moto! Wamekubali hilo, sasa wanatoa maoni...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa angalizo kwa NGO's, ataka Masharti ya wafadhili yaendane na Maadili, Utamaduni wa Tanzania

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa tahadhari kwa wamiliki wa taasisi zisizo za kiserikali na asasi za kiraia zinazotoa misaada nchini kuhakikisha wanazingatia mila, tamaduni na maadili ya Watanzania. Samia ameyasema hayo leo Jumapili Juni 25, 2023 katika kilele...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…