rais

  1. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia anasalitiwa?

    Ukiifikiria vizuri kauli ya bwana Mbowe aliyoitamka eti HATA WATU WA USALAMA WA TAIFA NA VIONGOZI NDANI YA CCM wanamtaka alisemee hilo jambo la BANDARI ni wazi unang'amua pengine upo usaliti wa wazi ndaniye. Binafsi, kama mwana CCM na muumini wa falsafa ya ukweli na uwazi naona upo utata...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia asizibe masikio dhidi ya kelele za watanzania kupinga kifungu cha 23(4) cha Mkataba wa awali wa DP World ambacho ni cha kitumwa

    Waziri Mkuu, Cassim Majaliwa, alitoa hotuba zuri kuwaalika watanzania kutoa mawazo kuhusu mkataba wa DP World ili serikali iyapokee na kuyachambua. Lakini sasa ni kama bosi wake anamkana. Jana, Rais Samia akiwa anazungumza baada ya wananchi waliokuwa wamejitokeza kumpokea katika eneo la...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Lukashenko aingilia Mapambano ya Wagner dhidi ya Urusi

    Rais wa Belarus imebidi aingilie kati kumsadia Putin kuongea na Kiongozi wa Wagner kumsihi asiende kuishambulia Russia. Kiongozi wa Wagner amekutana na Yevegny Prigozhin kumwomba asiwafaidishe Wamagharibu na kumtaka asielekee Moscow kumwondoa Putin. Rais huyu wa Belarus inaonekana ameombwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali Yangu Sio ya Maneno ni ya Vitendo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye amewasili mkoani Arusha kwa ziara ya kikazi ambapo ataongoza maadhimisho siku ya Kimataifa ya kupiga vita dawa za kulevya itakayofanyika kitaifa mkoani humo tarehe Juni 25 mwaka huu kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid...
  5. JamiiForums Tanzania Mohammed Dewji ashinda Tuzo ya Viwanda Afrika, amshukuru Rais Samia

    Mfanyabiashara maarufu Mohammed Dewji ameshinda tuzo ya Afrika ya mzalishaji bora wa bidhaa za viwandani. Mo ambaye ni bilionea namba moja Afrika Mashariki na Kati alitangazwa mshindi jana, nchini Afrika kusini katika kilele cha tuzo za viongozi wa biashara barani Afrika (All Afrika Business...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Dkt Samia Alivyomfuta Machozi Mjane Aliyesaka Haki Yake Kwa Miaka 14

    Serikali mkoani Shinyanga kwa kushirikiana na timu ya msaada wa kisheria ya Mama Samia Legal Aid Campain, wamefanikiwa kutatua mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka 14 kati ya Fatuma Maganga na Said Mkama ambao ni wakazi wa Mtaa wa Ibinzamata. Fatuma ambaye ni miane amefanikiwa kurejeshewa eneo...
  7. JamiiForums Tanzania Uendeshaji wa Bandari: Wabunge Wataka Rais Samia asirudi nyuma

    WABUNGE wameishauri serikali kutosikiliza maneno ya watu wa mtandaoni kuhusu ushirikiano wa Serikali za Tanzania na Dubai katika makubaliano ya uwekezaji kwenye bandari zilizopo nchini (IGA) kwa kuwa wanaofanya hivyo hawaitaki nchi mema. Pia, wameitaka serikali kuharakisha kusaini mikataba...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Samizi amshukuru Rais Samia kufanikisha kuanza kwa ujenzi wa VETA Muhambwe

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuondoa adha ya muda mrefu ya Vijana na Wananchi wa Muhambwe kukosa Chuo cha Ufundi na hivyo kupata shida kupata mafunzo stadi hayo maeneo mengine. Katika kuhakikisha watu wetu...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Hassan ana lake jambo la hila dhidi ya Tanganyika kuhusu hili la Bandari na mengineyo.

    Hello, Naomba ifahamike upumbavu uliopo kwenye huu mkataba wa DP world kuendesha bandari za Tanganyika ni kichaa tu na mkusudi na mwenye hila na Tanganyika ndio anaweza thubutu, na huu ni upofu wa kila kitu. Nadhani kuna dhamira ya kuvunja muungano Kwa kuibua chagizo za kipuuzi kuhusu...
  10. JamiiForums Tanzania CCM itamke wazi kuwa kumsifia Rais ni sera yao mpya

    Wapo watu ambao hufurahi wanaposifiwa kwa kila jema na zuri watendalo. Hili ni jambo zuri tu. Pia, wapo ambao huwa hawapendi sifa hata kama wakifanya mambo makubwa na mazuri. Hawa ni wachache. Kwa wenye busara, unaposifiwa sana lazima ujiulize. Ya kweli haya? Maana, ngoma ikivuma sana hupasuka...
  11. JamiiForums Tanzania Muhtasari: Hotuba ya Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, Kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha Mwaka 2023/24

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA MUHTASARI WA HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA PROF. ADOLF F. MKENDA (MB), KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2023/24 DODOMA MEI, 2023 A. UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Viti Maalum CHADEMA Ammwagia Sifa Rais Samia Bungeni

    Mbunge wa Viti Maalumu, Esther Matiko amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza miradi mbalimbali ya maendeleo aliyoikuta pamoja na kuanzisha miradi mipya huku akipendekeza maslahi ya askari magereza yaboreshwe. Hayo ameyasema leo Alhamis Juni 22, 2023 wakati akichangia mjadala wa...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi ni Mabunge yote duniani Mbunge akisimama badala ya kutumia muda wake vizuri ni lazima aanze kumsifia Rais?

    Hili bunge la bajeti ingawa bunge lenyewe lilishapoteza uhalali lakini nikiwa home huwa nafuatilia michango ya wabunge. Kinachonikwaza Mimi najiuliza inakuwaje kwa dakika chache wanazopewa wabunge kutowa michango muda mwingi wanatumia kumsifu Rais, waziri na serikali? Inawezekana Mimi ndio...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia tunakuomba hutubia taifa, omba radhi, fanya maamuzi magumu ya kuvunja mkataba huu nchi ipone

    Rais umefanya mema na mazuri kupitia uongozi wako. Mungu mtakatifu ana kusudi la kukupa nafasi kuu ktk nchi yetu ktk mazingira uliopewa si Kwa mapenzi ya wanadamu Bali Mungu tu..Si Kwa wewe kutaka Bali neema tu. Wengi sana walijitokeza (Watangaza nia)ili kupewa kijiti cha kupeperusha bendera...
  15. JamiiForums Tanzania Unabii kuhusu Rais mwanamke aliyepo Afrika Mashariki (ulitolewa 2021)

    Mwaka 2021, Mchungaji Ian Ndlovu kutoka Zimbabwe alisema kuwa Roho wa Mungu amemwambia kuwa awaambie kuhusu Raisi mwanamke kutoka Afrika Mashariki. Aliambiwa kuwa, wote wanaompenda Raisi huyu mwanamke wanapaswa wamwombee sana maana aliona atapitia matukio mawili huko miaka ya mbele ambapo...
  16. JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Agizo la Rais kwa TRA kutofungia Biashara liingie kwenye Sheria ya Fedha

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amehoji sababu za Serikali kutoingiza kwenye Muswada wa Sheria ya Fedha maelekezo ya Rais Samia kwa Mamlaka ya Mapato (TRA) ya kutofungia Biashara kwa kigezo cha madeni ya nyuma licha ya Waziri wa Fedha kutaja jambo hilo kama pendekezo kwenye Bajeti Kuu...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Rais Samia atusikie, Mkataba wa Bandari haulindi uhai wa Nchi yetu

    WAKILI MWABUKUSI: Rais Samia atusikie, Mkataba wa Bandari haulindi uhai wa Nchi yetu Katika mahojiano leo na wakili Mwabukusi anaangazia mambo zaidi kamati ya bunge, uwakilishi wa muswada wa mkataba bungeni na jinsi muda finyu waliopewa wabunge kuujadili ... . Wabunge Halima Mdee, Aida...
  18. JamiiForums Tanzania Tuletewe mikataba 15 aliyotia saini Rais Samia mwaka jana nchini China tuijue ina nini ndani yake

    Wakati mjadala mkubwa ukiwa kwenye mojawapo ya mikataba ya ushirikiano kati ya Tanzania na nchi ya Falme za Kiarabu ya DP World tukumbeke pia mwaka jana Novemba Rais Samia alitembelea China na kusaini mikataba 15 ya ushirikiano kati ya serikali ya Tanzania na China. Ni vyema mikataba hiyo 15...
  19. JamiiForums Tanzania Prof. Mbarawa uzembe mliofanya wizara ya uchukuzi unamchonganisha Rais Samia na Wananchi

    Taifa zima tunabishana mambo madogo ambayo yanatokana na kukosa umakini. Ni upuuzi na ujinga. Gwajima alisema watu wa serikalini hawana exposure mtu kama Prof. Mbarawa pamoja na kusoma kuwa Professor anashindwa ku calculate public damage yaani akili za kijinga sana kukosa exposure na maarifa...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko tested kila rais alipitia majaribu na tukavuka salama

    1. JULIUS KAMBARAGE NYERERE. Majaribu ya vita ya Kagera kukoswakoswa mapinduzi na hatimae uchumi kudorora miaka ya 80s. 2. ALI HASSAN MWINYI. Mabucha ya nguruwe wabunge wa G55 na vuguvugu la mabadiliko ya vyama vingi. 3. BENJAMIN WILLIUM MKAPA. Mauwaji ya mwembe chai almanusura vita ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…