rais

  1. S

    JamiiForums Tanzania Familia ya Gupta iliuweka utawala wa Zuma mfukoni ikawa haigusiki. Je, kuna familia inamsumbua rais Samia?

    Afrika Kusini wakati wa utawala wa Zuma familia ya Gupta ilikuwa na uswahiba usiokuwa na afya na mtoto wa rais huyo. Hii ikapekekea ufisadi mkubwa Sana kufanyika serikalini kupitia tenda zilizokabidhiwa kwa familia hiyo. Hivi Sasa Kuna ufisadi unaowekwa wazi na CAG hapa Tanzania lkn mamlaka...
  2. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa Rais mwovu, Samia Suluhu ni Rais dhaifu. Binafsi heri Rais dhaifu kuliko mwovu

    Kila mwenye akili timamu anajua kuwa Magufuli alikuwa Rais wa hovyo na mwovu. RAIS ambaye alikuwa anakiri hadharani kuwa pesa za serikali ni pesa zake. Alikuwa akisema "pesa zangu". Alikuwa na uhuru wa kuchota mihera ya serikali na kuigawa kwa siri na hadharani ili ajiimarishe kisiasa. RAIS...
  3. JamiiForums Tanzania Tumjuze Rais Samia njia wanazotumia wateule kuiba hela za Umma

    Great thinkers, Tumsaidie Rais Dkt Samia kufahamu mbinu mbali mbali wanazotumia wateule wake kuiba hela za umma na kumhujumu. Mi nitatoa moja ya mbinu hizo kwenye serikali. Mteule anapopata uteuzi kwenye nafasi hasa zile za vitengo fulani vinavyohusiana na mapato au miradi, cha kwanza...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe Rais ndiye huidhinisha malipo ya Serikali

    Jana katika kikao cha Bunge kulikuwa na mtifuano kuwa ni nani anyeidhinisha malipo ya Serikali. Waziri wa Fedha akajibu jibu ambalo halikumridhisha Mhe. Sendeka na Mhe. Spika akaongezea ufafanuzi kwenye majibu ya Waziri wa Fedha. Kama ni kweli Mhe. Rais ndo anaidhinisha malipo ya Serikali...
  5. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Ishara ya Uwazi wa Rais Samia

    Mijadala inaendelea kila mahali sasa hivi watu wakijadili yale yalioandikwa kwenye Ripoti ya CAG. Kwa sehemu kubwa yanayojadiliwa ni madudu yaliyoko kwenye taasisi za umma. Jambo la kufurahisha ni kwamba tayari kuna hatua zimeanza kuchukuliwa kuwawajijibisha waliotafuna pesa za Umma. Wizara...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi, hii kasi ya kuwapa ardhi raia wa kigeni kulikoni? Kelele zimekuwa nyingi, Sasa unataka kunyang'anya familia ya Karume nyumba!

    Rais Mwinyi amekuwa akipigiwa kelele sana kwamba ananyang'anya wananchi ardhi anawapa wageni kwa kisingizio Cha kukodisha. Baadhi wanasema, anachukua ardhi hiyo yeye mwenyewe kwa mlango wa wawekezaji. Anahamisha mashule, maeneo ya shule anawapa wawekezaji, anakodisha visiwa kwa bei ya kutupa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tafadhali soma hapa na ujumbe ukufikie

    Mh. Rais Dkt. Samia, Kwanza naomba unisamehe kwa lugha ngumu nitakayoitumia hapa ili kukufikishia ujumbe huu kwa niaba ya mamilioni ya Watanzania. Nikurejeshe siku uliokula kiapo pale Ikulu ya Dar es Salaam, ukiwa kama Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Tanzania uliapa kuilinda nchi hii...
  8. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Barua kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

    Rais Samia Suluhu Hassan nianze kwa kukupongeza pia kukupa pole na majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa. Tunamshukuri Mungu kwa kutupa Rais ambaye amefanikiwa kuliunganisha Taifa ndani ya kipindi kifupi Mungu akubariki mama yetu. Neno haki halijawahi kuachwa kwenye kinywa chako, ukiamini haki...
  9. JamiiForums Tanzania Kinachomuangusha Rais wetu ni wateule wake!

    Mteule ni nani? Mteule ni mtu fulani aliyeaminiwa na mteua au kiongozi wa mamlaka fulani ili amsaidie kwa uaminifu katika shughuli za uangalizi, utendaji kuwa mkweli kwa mteua, kumshauri kwa kile kilicho chema bila kumwingiza mteua katika aina yoyote ya uwongo ulaghai wizi na maovu yoyote yale...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa Uturuki aipa onyo Israel

    Katika kile kinachoonekana kama kuchoshwa na vitendo vya serikali ya Israel, Rais Erdogan ametoa onyo kali kwa israeli na kuwataka kutokuvuka red line wanapokuwa wanapamabana na wapigania Uhuru wa Palestine. Onyo hili limekuja baada ya askari wa Israeli kuuvamia msikiti mtakatifu wa Alakisa na...
  11. JamiiForums Tanzania Kumbe tusi "stupid" alilotamka Rais lilikuwa linaihusu cycle yake

    Mpaka sasa wezi wa mabilioni ya shilingi za watanzania wapo uraiani wanajipongeza kuibia watanzania. Watu wanaiba mabilioni ya shilingi halafu Rais anatukana, badala achukue hatua za KUWAACHISHA KAZI NA KUFILISIWA. Rais ndo Amiri jeshi mkuu means ndo anatakiwa kuwa mstari wa mbele kupambana...
  12. JamiiForums Tanzania Balozi Karume amkosoa vikali Rais wa Zanzibar kwa sera ya kukodisha kisiwa, amuita ni "Bwana Mdogo"

    Balozi Karume amkosoa vikali Rais wa Zanzibar kwa sera ya kukodisha kisiwa, amuita ni "Bwana Mdogo", asema "Ni maamuzi mabovu kabisa haya" Chanzo: Jambo TV
  13. JamiiForums Tanzania Waliotuibia mabilioni ya shilingi za pesa za Umma, kama wamegona kutupisha, ni kwanini Rais aliyewateua, anashikwa na "kigugumizi" kuwafukuza kazi?

    Hilo ndilo swali kubwa ninalojiuliza, ni kwanini hao watendaji wetu wa Serikali, ambao wanafahamika hata Kwa majina, waliotajwa kwenye ripoti ya CAG, kuwa wamefisadi mabilioni ya shilingi za Umma, ni kwanini Rais Samia Suluhu Hassan, hawatengui kwenye nafasi zao, wakati ni yeye mwenyewe ndiye...
  14. JamiiForums Tanzania Msitumie kivuli cha Rais kuficha udhaifu wenu, Bebeni msalaba wenyewe

    Salaam waungwana wa Jamii forum Baada ya ripoti ya CAG kubainisha madudu kwenye Wizara na taasisi mbalimbali za kiserikali, ikiwemo ubadhirifu wa mabilioni ya walipa Kodi maskini wa nchi hii, sasa ni dhahiri wapigaji wanaanza kutumia neno Rais kama taasisi kuhalalisha uhuni na ufisadi huu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu inatosha kumchonganisha Rais na wananchi

    Mwigulu huyu huyu juzi bungeni amesema mikutano ya hadhara iliyoruhusiwa ni takwa la wafadhili ili tupate mikopo ya MCC na tayari tutaanza kupokea mikopo hiyo...wakati watanzania wote walijua mikutano ya hadhara ni zao la utawala wa Rais na wapinzani kupitia maridhiano. Mwigulu huyu huyu tena...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Wasira baada ya Rais kumtupa nje ya Kamati Kuu CCM ndio unawaita wenzako wanafiki?

    Mwanasiasa mkongwe nchini, Stephen Wasira amesema Taifa limeanza kupoteza watu kusema ukweli, badala yake kumeibuka utaratibu wa kusifiana hata pasipokuwa na sababu za Msingi. Alisema siku za hivi karibuni jamii imeanza kuogopa kusema kusema ukweli kuliko hata kuogopaugonjwa wa Ukimwi. Wasira...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka amtetea bungeni Rais kutohusika na Ufisadi uliotajwa na CAG

    Mbunge wa Simanjiro,. Ole Sendeka leo bungeni amemtetea RAIS Samia Suluhu Hassan kuwa hahusiki na ufisadi wa ripoti ya CAG akipiga kauli ya Waziri Mwigulu aliyejaribu kumhusisha rais na wizi huo kwamba etii Rais ndio anaidhinisha fedha kutoka.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Mwigulu kumtaja Rais kuhusika na ufisadi Ripoti ya CAG ni sahihi?

    Mwigulu Nchemba kwenye utetezi wake bungeni amemtaja Rais kuwa ndiye anayeidhinisha fedha zote za Serikali jambo ambalo limezua utata na hisia kubwa kwa wananchi kuhusiana na ufisadi mkubwa uliotajwa na CAG kwenye maeneo mbalimbali . Ufisadi mkubwa umetajwa kwenye Wizara ya Fedha, Wizara ya...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Qatar inavyozidi kuleta neema kwenye sekta ya mifugo.

    Ziara ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliyoifanya Oktoba, mwaka jana nchini Qatar, imeendelea kuvuta wawekezaii kutaka kuwekeza kwenye sekta; ya mifugo nchini. Katika kikao kati ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Widam Food, Al Noubay Al Marri, wa...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia aache kulalamika, achukue hatua mara moja

    Jumatano ya Machi 29, mwaka huu, Rais Samia Suluhu Hassan alipokea ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru). Pamoia na mambo kadhaa, ripoti ya CAG kwa mwaka fedha wa 2021/22 iliyowasilishwa bungeni leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…