rais

  1. JamiiForums Tanzania Watanzania tumsaidie kumtajia viongozi wasiofaa Rais anapokwenda kuisuka upya Serikali

    Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi mpango wake wa kuisuka upya Serikali yake baada ya kubaini baadhi ya watu hawaendani na kasi wanayoitaka wananchi katika kujiletea maendeleo. Kama watanzania utendaji wa viongozi wetu hasa wateule wa Mh Rais wote tunaufahamu kuanzia Waziri Mkuu...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aiingiza tena Tanzania kwenye Nchi 10 Tajiri zaidi Africa 2022|23

    Top Ten Richest Countries in Africa in 2022/23 by GDP 10. Ghana 🇬🇭 73.8 Billion USD 9. Tanzania 🇹🇿 77.5 Billion USD 8. Ethiopia 🇪🇹 105.3 Billion USD 7. Kenya 🇰🇪 114.6 Billion USD 6. Angola 🇦🇴 124 Billion USD 5. Morocco 🇲🇦 133 Billion USD 4. Algeria 🇩🇿 193 Billion USD 3. South Africa 🇿🇦 426...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Mwenyezi Mungu iliyo ndani ya Rais Samia imemfanya kuwa mkweli na muwazi katika Uendeshaji wa Serikali

    Ndugu zangu, Rais Samia Ni kiongozi wa kipekee Sana, Ni kiongozi mkweli na muwazi Sana. Ni kiongozi mcha Mungu na mwenye hofu ya Mwenyezi MUNGU. Ni kiongozi ambaye Dhamira yake na kifua chake kimetawaliwa na hofu ya Mwenyezi Mungu. Ni kiongozi ambaye ukimsikiliza unaona Hataki kuzungumza...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

    Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu? Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo. Hayati Magufuli kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Tumpatie Rais Samia utulivu amalizie miradi ya kimkakati iliyopo

    Na Thadei Ole Mushi. Watanzania wangeelewa umuhimu wa hii miradi miwili mikubwa SGR na Bwawa la Mwalimu Nyerere linalozinduliwa leo wangeipongeza Serikali kwa kuendelea kuhakikisha inakamilika hata kwa kukopa halafu tuje tulipe. Ni miradi ambayo ni ya kimkakati na itaifungua hii nchi sana hivyo...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba mkumbushe Rais kuwa hata madai ya watumishi yame 'mature'

    Ni habari ya kuhuzunisha kwa watumishi wa umma nchini, kupitia hotuba yake ya kusaini mikataba ya ujenzi wa reli ya mwendo kasi (SGR), Rais Samia Suluhu Hassan akitoa ufafanuzi wa ulipaji wa madeni alisema nchi lazima ilipe madeni ya nje kwasababu yame "Mature", akasisitiza kuwa tukikopa kama...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tutaendelea kukopa kwaajili ya maendeleo ya Tanzania

    Rais Samia Suluhu jana katika uwekaji sahihi katika mradi wa SGR Rais Samia Suluhu alisema kuwa Pale tunapohisi pana faida tutaendelea kukopa. Kwa wanaosema awamu hii imekopa sana, waseme pia ndio awamu imejenga sana na kweli sisi ni mashahidi tumeona awamu hii imekopa sana lakini maendeleo...
  8. JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji afuta Bonus ya mshahara wa mwisho wa mwaka kwa wafanyakazi

    Katika hotuba yake Bungeni, Rais Nyusi amesema hatua hiyo imesababishwa na changamoto za kiuchumi na kuongeza kuwa watakaolipwa Bonus hiyo ni Wafanyakazi wasio na Mikataba pekee. Tangazo hilo linafuta rasmi utaratibu wa kila mwaka ambapo Wafanyakazi wa Serikali wamekuwa wakilipwa marupurupu ya...
  9. JamiiForums Tanzania Nikimwambia Rais jambo hapa atanisikia? Ni muhimu sana

    Ilikuwa kwenye video ikitembea. Ilikuwa kikao nadhani kilifanyika dodoma mwezi huu wa 12, 2022. 1. Walimu waajiliwe wale wenye ufaulu mkubwa tu. 2. Walimu walioko kazini wapewe mafunzo ya mara Kwa mara lakini pia watatazamwa competence Yao kazini.(aliyasema haya Mh mhagama kule manyara kama...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia analivusha mwaka Taifa likiwa na umoja na mshikamano wa hali ya juu

    Ndugu zangu Ni kwa Mara nyingine Tena tukiwa tunaelekea kuumaliza Mwaka tunashuhudia Rais wetu mpendwa mama wa Shoka, Jasiri, shupavu, imara, madhubuti, mwenye msimamo usiyoyumba,mcha Mungu, mzalendo, mpenda nchi yake, na mwenye maono ya Mbali Mama Samia Suluhu Hassan akilibeba Taifa letu katika...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanaopinga mabahewa ni watoto waliozaliwa mwaka 1990

    "Wale wanaopenda tu kufujafuja kila kitu, wafuje lakini warudi nyuma lakini ukute mfujaji mwenyewe kazaliwa miaka ya 90 hajui tulikotoka, anafananisha na Marekani anakokuona na anataka Tanzania ifike kule bila kujua anaojifananisha nao wana miaka 200 ya maendeleo," Suluhu Samia. Tunachojua...
  12. JamiiForums Tanzania Kutana na akili kubwa ya Rais Kagame, one of the best President, the dream of Africa

    Ninachojua ni kwamba Tanzania ingempata Rais Paul Kagame kwa mikakati yake na uwezo wake mkubwa wa akili basi naamini tungekuwa tunashindana na akina Qatar, Uae,Malaysia,South Africa huku tukianza kuwafukuzia akina Uingereza, Marekani, Ufaransa, Urusi, Ujerumani na Sweden ila imekuwa ni Kinyume...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanaosema tunakopa sana, waseme pia tunalipa sana

    Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akishuhudia Sherehe ya Utiaji Saini Mkataba wa SGR LOT 6 (Tabora - Kigoma) katika Ukumbi wa Kikwete Hall - Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 20 Desemba, 2022. Utiaji saini huo utahusisha kati ya Serikali kupitia Shirika la Reli na Kampuni za ubia wa CCECC na...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia: Rais Samia anatekeleza ilani ya CCM kwa kasi

    Spika wa bunge Dr. Tulia Ackson amesema Rais Samia Suluhu anastahili pongezi kwa kutekeleza ilani ya uchaguzi wa CCM 2020-2025 aliongeza kuwa wananchi wa kata ya Iyela- Mbeya ni mashahidi kwa utekelezaji wa ilani kwa kuwa mwaka 2020 waliahidiwa moja ya utekelezaji katika sekta ya afya ni kituo...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji Rais Dikteta mwenye Maono ili iendelee

    Demokrasi was not for African countries. Hasa hizi zetu zilizojaa Uswahili. Angalia nchi ambazo zilipata kukaliwa na waarabu. Zilizoendelea zimeendelea kwa mkono imara wa chuma not Demokrasia. Angalia nchi za Kiarabu ambazo zimeendelea, zinatawaliwa kwa sheria kali sana. Nchi hii imeharibika...
  16. JamiiForums Tanzania Namba ya Hayati Rais Magufuli inayoishia 9999 imejiunga Telegram

    Sijapendezwa na kitendo cha mtu anayetumia namba ya Hayati Rais Magufuli na pia ni aibu kwa jamii yote ya ulinzi na usalama ukianzia TISS na Jeshi la Polisi. Ili kutunza heshima ni vizuri namba ya Hayati Magufuli ifungiwe, tubaki nayo tu kwenye simu zetu kama ukumbusho na siyo iendelee kutumiwa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Rais wa FIFA akiri, ataja sababu ya Argentina kushinda kombe la Dunia

    Kwa Tafsiri ya Kiswahili ni " Ingekuwa sio haki Kama Messi angestaafu bila kushinda kombe la Dunia" Kumbuka na Hawa walishatabiri Argentina itabeba kombe baada ya kuona Mambo yalivyokuwa yakienda
  18. K

    JamiiForums Tanzania Hatukuwahi kuwa na maji ya Bomba, Rais Samia ametuletea

    Wakazi wa Kijiji cha Ilela, Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe waliokuwa wanakabiliwa na kero ya maji safi na salama wameondokana na adha hiyo baada ya serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt. Samia Suluhu kuwapelekea mradi wa maji ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa kampeni ya kumtua mwanamke ndoo...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kombe la dunia lakuza uchumi wa Tanzania

    Kama tunakumbuka vizuri Rais Samia Suluhu alifanya ziara ya kikazi nchini Qatar na akafanikiwa kudumisha mahusiano mazuri ya kibiashara (Diplomasia ya uchumi) baada ya ziara hiyo Tanzania tumenufaika zaidi katika biashara mbalimbali ikiwemo ya uuzaji nyama katika nchi hiyo ya kiarabu...
  20. JamiiForums Tanzania Liberia: Wafanya maandamano kumpinga Rais George Weah

    Zaidi ya watu mia moja wamefanya maandamano hayo katika Mji wa Monrovia, yakiratibiwa na muungano wa vyama vya upinzani wakilalamika kupanda kwa bei ya vitu na uhaba wa mahitaji ya msingi. Waandamanaji wanaamini uamuzi huo utatuma ujumbe katika jumuia za kimataifa kuwa wamechoshwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…