rais

  1. JamiiForums Tanzania Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi akiwa na Rais wa FIFA

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi, akiwaongoza Rais wa FIFA, Gianni Infantino na wa Caf Patrice Motsepe kuelekea na kisha kushiriki zoezi la kupanda miti ya matunda katika eneo la Shule ya St. Constantino, Arusha, kabla ya mechi ya kirafiki ya viongozi...
  2. JamiiForums Tanzania Agizo la Rais Samia kuondoa Mwenge kwenye daraja la Tanzanite limepuuzwa?

    Wakati anazindua daraja la Tanzanite alisema kuwa ule Mwenge utolewe iwekwe Tanzanite ili kusadifu maana ya daraja ila mpaka sasa kimya. Je, TANROADS wamepuuza? Ama ni dharau kwa mamlaka?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu afanya makubwa sekta ya usafiri wa anga

    Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imetenga Sh. 86.1bn/- kwa ajili ya ujenzi na marekebisho ya viwanja vya ndege mbalimbali nchi nzima. Lengo ni kuboresha sekta ya usafiri wa anga na pia kuimarisha sekta ya utalii ambayo imekuwa ikichangia kiasi kikubwa sana cha fedha...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga msituaibishe mbele ya Rais wa FIFA

    HaABARI WAKUU. Leo kwenye mkutano mkuu wa CAF uliofanyika jijini Arusha. Na kuudhuliwa na kiongozi mkuu wa Fifa Giant El Fantinho. Viongozi wa CAF Motsepe nk. Waziri mkuuu amemkaribisha RAIS WA FIFA kushuhudia Mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba na Yanga utakaochezwa August 13 jijini Dar es...
  5. JamiiForums Tanzania Njombe: Rais Samia Awahutubia Wananchi Katika Mkutano wa Hadhara, Asema Serikali Imezuia Kupandisha Hadhi na Kukata Maeneo ya Utawala

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Njombe katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Sabasaba Njombe Mjini, leo tarehe 10 Agosti, 2022. DKT. PINDI CHANA – WAZIRI, MALIASILI NA UTALII Kwa niaba ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwakweli...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu anafanya makubwa sekta ya usafiri wa anga

    Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imetenga Sh. 86.1bn/- kwa ajili ya ujenzi na marekebisho ya viwanja vya ndege mbalimbali nchi nzima. Lengo ni kuboresha sekta ya usafiri wa anga na pia kuimarisha sekta ya utalii ambayo imekuwa ikichangia kiasi kikubwa sana cha fedha...
  7. JamiiForums Tanzania Alichokifanya Rais Samia baada ya kuombwa na familia hii Manyara

    Urais ni utumishi wa Umma, shuhudia alichokifanya Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa mama na mtoto wa familia hii kutoka Mkoa wa Manyara
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia, fufua kiwanda cha mbolea Tanga (Tanga Fertilizer Company)

    Mwalimu Nyerere aliona mbali sana baada ya kujua kuwa nchi hii ya Tanzania ni ya Wakulima na Wafanya kazi. Kati ya viwanda vingi alijenga ni kile cha Tanga Fertirlizer Company iliyokuwa inatengeneza mbolea ya NPK na nyingine kama sikosei. Wajanja wakakiuza na hata ukigoogle leo hakipo kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia ataka wananchi wasibugudhiwe

    Katika Ziara ya kikazi inayoendelea Mkoani Njombe, Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Makete kutowachangisha wananchi fedha kwa nguvu badala yake watumie utaratibu mzuri.
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia akosa imani na Waziri Mashimba Ndaki

    Rais Samia Suluhu Hassan amenukuliwa na magazeti mengi ya leo akitoa onyo la mwisho kwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki kutokana na usimamizi mbovu wa Wizara yake na kudaiwa huku fedha nyingi zikidaiwa kupotelea kwenye mifuko ya watu. Naungana na Rais Samia, Mashimba ameonyesha...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Makamba kwenye nishati atakufelisha! Umeme unakatika mno!

    Kama unapenda aendelee kuwa waziri sasa unaweza kumbadilisha vizara ila kwa wizara ya nishati kusema kweli ni changamoto kubwa: Watu wanalia kila kukicha lakini wewe kuna uwezekano hupati taarifa sahihi,ila naomba ujue hali sio nzuri! Gharama za maisha zimepanda watu wa ofisi ndogondogo kama...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia mkoani Mbeya imeibua shangwe na nderemo Nyanda za Juu Kusini

    Ndugu zangu ukizungumzia suala la kilimo kwa mikoa ya nyanda za juu kusini ndio pumzi ya wananchi wote, Ndio tegemeo la wote, Ndio uti wa mgongo kwetu, Ndio shine yetu, Ndio mkombozi wetu, Ndio tumaini letu, Ndio maisha yetu, Ndio uhai wetu, hivyo Hali yoyote ikipita na kukwamisha juhudi za...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Mh Mama Samia Suluhu

    Mapokezi makubwa na ya kipekeee aliyoyapata mkoani Mbeya yameonesha namna watu walivyo na Imani na uongozi wa mama Samia, kazi kubwa na utumishi wa kutukuka unaofanywa na mh Rais imekuwa Chachu na sababu ya kupendwa kwake na watanzania wazalendo. kuchipuka kwa miradi ya maendeleo kila mkoa bila...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Vijana limeni; masoko, mashamba ya uhakika yapo

    Akizungumza katika maadhimisho ya siku ya Wakulima (Nanenane) yaliyofanyika Jijini Mbeya, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amewataka vijana kujishughulisha na kilimo kwani Serikali imetenga mashamba na imeshatafuta masoko kwa ajili ya mazao yatakayozalishwa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Serikali imejipanga kwenye sekta ya kilimo

    Natumia nafasi hii, kumshukuru kwa dhati, Rais Samia Suluhu kwa nia aliyoionyesha ya kusaidia na kuwekeza zaidi katika Sekta za Uzalishaji, ulipozindua Agenda 1030, wengi walidhani hayatotokea lakini umehakikisha mambo haya yanatokea" Rais Samia Suluhu umezindua Mfumo wa Utoaji wa Ruzuku ya...
  16. JamiiForums Tanzania Hatimaye David Kafulila akabidhi ofisi, aendelea kusisitiza Rais Samia hakamatiki utekelezaji wa Ilani, amtaja kuvunja rekodi ya miaka 20 kwenye maji

    Mhe. David Kafulila akimkabidhi Katiba ya JMT Mkuu Mpya wa Mkoa Mh. Dkt Yahya Mawanda kama nyenzo yake ya kufanyia maamuzi Aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Mh. David Kafulila amesema kwamba Rais Samia Suluhu Hassan amevunja rekodi ya utekelezaji wa bajeti ya maji ya miaka ishirini (20)...
  17. JamiiForums Tanzania Somalia: Mabomu yarushwa karibu na Ikulu ya Rais

    Vitongoji vya makaazi karibu na Ikulu ya Rais wa Somalia mjini Mogadishu vimeshambuliwa kwa mabomu leo, muda mfupi baada ya Bunge la nchi hiyo kuidhinisha Baraza la Mawaziri lenye wajumbe 75 lililoteuliwa hivi karibuni chini ya Waziri Mkuu Hamza Abdi Barre. Mamlaka zimesema hakuna majuruhi...
  18. JamiiForums Tanzania Mbeya: Rais Samia azindua mpango wa ruzuku kukabiliana na bei ya mbolea kwa wakulima

    Rais Samia Suluhu Hassani amezindua rasmi mpango wa ruzuku ili kukabiliana na bei ya mbolea nchini ambao baada ya ruzuku hiyo, mkulima atanunua kwa bei ya chini kama inavyoonekana ktk jedwali.✊🏿 Tangu aingie madarakani, Rais Samia amefanya jitihada kadhaa kwa ajili ya kuhakikisha kuwa sekta ya...
  19. JamiiForums Tanzania Nanenane - Mbeya: Rais Samia asema watatoa ruzuku za mbolea lakini sio kwa miaka yote

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima (Nanenane)uwanja wa John Mwakangale Mkoani Mbeya leo tarehe 08 Agosti, 2022 Aliyoyasema waziri wa kilimo Hussein Bashe Waziri Bashe asema Serikali itaanza kutoa zawadi kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Rais wa CAF, Dk.Patrice Motsepe awasili Tanzania, leo Agosti 8, 2022

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dk.Patrice Motsepe amewasili leo Jijini Arusha, Tanzania na kupokelewa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia (kulia) na Katibu Mkuu wa CAF Veron Mosengo-Omba (kushoto).
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…