rais

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Zelensky wa Ukraine anapoomba NATO waweke "No fly zone" nchini Ukraine, je anajua athari yake kwa nchi yake? achilia mbali athari kwa NATO

    Kama kuna kichaa duniani leo ambaye anaweza kuitumbukiza dunia kwenye vita kuu ya tatu ni Rais na msanii wa kuchekesha Zelensky wa Ukraine. Kila kukicha anazililia nchi wanachama wa NATO waweke zuio la ndege yoyote kuruka nchini Ukraine. Hivi anaelewa matokeo yake? Kwa mawazo yake anadhani...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa mkao huu Mbowe kamkosea heshima Rais

  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuna mteule wako anapiga simu kuzuia habari ya wananchi Kigamboni isisambae, kuna kitu hapo si bure

    Wadau nina jambo hapa tuweke siasa kando tujadili maendeleo Baada ya huu uzi hapa chini kutolewa Rais Samia wasaidie wananchi hawa wa Kigamboni kuna wakubwa ‘wanawapiga’ katika ardhi yao Inaelezwa kuwa kuna kigogo mmoja pande za kule kwenye kuvuka maji kule, Kigamboni anahaha kupiga simu...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa Waziri Bashungwa na Rais; Ajira za Tamisemi zimejaa Urasimu na viashiria vya rushwa

    Ajira za Serikali ya awamu ya sita chini ya TAMISEMi zimejaa urasimu wa kutisha, ninapowaambia hapa kuna watu wa kada za uwalimu na Afya wanaendelea kuripoti kwenye vituo vya kazi kimya kimya bila ajira kutangazwa kwa , huu ni ufisadi na mianya ya rushwa bora niongee tu ijulikane. Mimi nina...
  5. JamiiForums Tanzania Sheikh Alhadi amshukuru Rais Samia na vyombo vyake kumuachilia Mbowe na wenzake

    Leo sheikh wa Dar es Salaam, Mussa Alhadi kabla hajaomba dua kwenye hafla iliyomjumuisha Rais Samia, alitoa salamu za kamati ya amani kumshukuru kwa kutimiza maombi yao ya kumuachilia huru Mbowe na wenzake kutoka kwenye kesi ya ugaidi. Sheikh Alhadi: Napenda nitoe salam za kamati kukushkuru...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia wasaidie wananchi hawa wa Kigamboni kuna wakubwa ‘wanawapiga’ katika ardhi yao

    Inadaiwa kuwa huu mchongo unawahusisha vigogo wa kwenye mamlaka za juu na ndiyo maana kuna danadana zinaendelea. Taarifa za uhakika kutoka wa watu ambao wamekuwa sehemu ya waathirika wa mradi huo kwa ardhi yao kutaka kuuzwa kwa bei ya chini amedai kuwa wameshafanya vikao vingi lakini hakuna...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani: Serikali ya Rais Samia ukiibipu kwenye maendeleo inakupigia, tutekeleze majukumu yetu na kutoa taarifa

    RIDHIWANI: SERIKALI YA RAIS SAMIA UKIIBIPU KWENYE MAENDELEO INAKUPIGIA, TUTEKELEZE MAJUKUMU YETU NA KUTOA TAARIFA. Mbunge wa Chalinze na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Serikali ya Rais Samia ukiiambia unataka madarasa mawili au matatu yote...
  8. JamiiForums Tanzania Mbowe: Nimemwambia Rais Samia Mambo Mazito Sana, vijana wetu wana mihemko, nina deni sijui nitalipaje

    "Nilikuwa na mambo mazito sana ya kumwambia mama (Rais Samia Suluhu Hassan) na ninashukuru aliyapokea, sasa kama aliyapokea kwa nia njema basi ni muda ndiyo utaongea, tumezungumza kwa muda wa kutosha, kwa sasa itoshee hapo. “...Vijana wetu wana mihemuko...’mwenyekiti katuuza nini? Harakaharaka...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Naiona Tanzania Mpya chini ya Rais Samia ni ya kuigwa. Vijana tujiandae kwa mabadiliko

    Mabadiliko yanapotokea ni ngumu sana kuyapokea. Bahati nzuri ni kwamba hata yawe magumu kivipi lakini huwa inawezekana. Siasa za Ulaya na Marekani zilikuwa na sura sawa na hizi za Tanzania na Afrika miaka 200 iliyopita. Sasa Mh Rais Samia ameamua baada ya kutafakari na kugundua kuwa siasa za...
  10. JamiiForums Tanzania Ameanza Tundu Lissu nchini Ubelgiji kisha impact yake ikawa Freeman Mbowe kufutiwa mashitaka na kisha straight Ikulu kuzungumza na Rais....

    This is absolutely strange indeed. Ni wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ameona mwezi, macho ya kuuona ukweli yamefumbuka. Hebu jaribu kufikiri vizuri kidogo. Kwamba, Rais Samia Suluhu all the way kutoka Brussels - Belgium kuonana na kuzungumza na National CHADEMA Vice Chairpersnon, ndugu...
  11. JamiiForums Tanzania Mnaolalamika na kubeza Mbowe kwenda kuonana na Rais, Mlitaka afanye nini?

    Amani Itawale kwenu Nyote! Jana nahisi ilikua moja ya siku atakazozikumbuka Mwamba FAM kwenye Maisha yake hasa juu ya kesi iliyokua inamkabili yeye na wenzake ambapo DPP jana Aliamua kuifuta kesi hio au aliamua kutokuendelea nayo. Baada ya taarifa ile shangwe nyingi zilikuepo niseme hata Mimi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka atuma neno kwa Freeman Mbowe amsifu Rais Samia

    "Ibara ya 118 ya ilani ya uchaguzi ya CCM inaeleza Katika kipindi cha miaka mitano ijayo, Chama Cha Mapinduzi kitaendelea kuheshimu na kulinda misingi ya demokrasia na haki za binadamu kwa ajili ya kudumisha umoja, amani na ustawi wa Taifa kwa kuzingatia Katiba ya Nchi" "Namshkuru Mhe Freeman...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia amkumbuka Juma Nature, hii ni heshima kubwa kwa mkongwe huyu wa Bongo Fleva

    Nukuu ya Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa jingo la benki, Machi 5, 2022 amemtaja staa mkongwe wa Bongo Fleva kwa kunukuu moja ya mstari wake aliowahi kuuimba kwenye kazi zake za muziki. Hii hapa nukuu ya mama Samia: "Mwanangu Juma Nature alisema, kwani wao...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine aliamini kabisa kuwa NATO wangemsaidia endapo angevamiwa na Urusi

    Rais wa Ukraine aliamini kabisa kuwa NATO wangemsaidia endapo angevamiwa na URUSI. Mabeberu walimvimbisha kichwa, hata hakuweza kabisa kuheshimu makucha marefu ya URUSI. Malengo ya MAREKANI na NATO kwa ujumla ilikuwa ni kuitumia UKRAINE katika kujaribu kuidhoofisha URUSI. Ili kufanikisha...
  15. JamiiForums Tanzania Nina uhakika kwa hili la 'Freeman' hivi sasa wana CHADEMA wote wanampenda 'Mama' na 2025 wote watampigia 'Kura' zao aendelee kuwa Rais wa Kusamehe TZ

    Kweli nimeamini unaweza Kuchukiwa na Watu ( hasa Maadui zako ) kwa 75% ila ukaja kufanya Jambo moja na hao hao Maadui zako kwa 100% wakabadilika na kuanza Kukupenda. Kwa Furaha kubwa niliyoiona kwa wana CHADEMA wengi baada ya 'Freeman' kuachiwa na kwa Upendo wa ghafla waliouonyesha kwa 'Mama'...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine kumbe ni myahudi?

    Inapendeza sana kutambua na kujua Rais Hodari (Brave heart) ana damu ya uteule inayosambaa kwenye Mishipa yake. Ndo maana ana vinasaba kama vya mfalme Daudi. Baada ya kutambua Volodymyr Oleksandrovych Zelenskyy Rais wa Ukraine ni myahudi nimezidisha kumuunga mkono pamoja na taifa lake mibaraka...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ukiitwa na Rais Ikulu Kwa mazungumzo rasmi ukakataa utafanywa nini?

    Endapo Rais WA nchi akakuita Ikulu Kwa mazungumzo ukakataa kwenda kumsikiliza Kuna madhara yoyote unayoweza kuyapata? Ukitii unaweza ukamsikiliza na baada ya kumsikiliza ukaona anataka kukutoa Kwenye msimamo wako unaweza kumkatalia? Ukimkatalia ukabaki na msimamo wako vyombo vya usalama vya...
  18. JamiiForums Tanzania Polisi, hili mnalolifanya linamuaibisha Rais Samia Suluhu

    Mtaani mama Samia Suluhu Hassan anaonekana kama viatu vinampwaya, lakini sababu watendaji wake wako usingizini na wameshindwa kusimamia sheria kikamilifu. Hili ni gari ya wahuni wa Mwananyamala, wanajulika na shughuli haramu zinajulikana. Limewekewa namba nyeusi, zisizosomeka kirahisi na...
  19. JamiiForums Tanzania Shilingi Bilioni 891.5 za Rais Samia zilivyotumika mtaa kwa mtaa

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amezungumzia mafanikio ya mwaka mmoja wa Serikali ya Awamu ya Sita, amezungumza akiwa katika Ofisi za Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), leo Machi 4, 2022. Haya hapa ni baadhi ya mambo muhimu ambayo ameyazungumza ambayo yamekuwa na faida...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Bila Rais Samia Suluhu, Freeman Mbowe angeozea jela. Upinzani fuateni sheria

    Kaka yangu Freeman Mbowe Pole na hongera kwa kuachiwa huru kwa amri ya amiri jeshi mkuu wa majeshi yote Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, Karibu tena uraiani,Sisi Watanzania kwa sasa ni wamoja pengine kuliko wakati wowote wa historia ya Taifa hili. Pole pia tumetaarifiwa unatatizo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…