rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tutanunua sukari kutoka Uganda

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itanunua sukari kutoka Uganda baada ya Rais Museveni kuomba suala hilo. Aidha Rais amesema kauli ya Waziri kusema hatotoa kibali cha kununua sukari nje ya nchi ni 'Nonsense' Ameyasema hayo katika kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda.
  2. JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

    Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani. Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili. Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora. Na hii naanza...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujirani Mwema: Rais Samia akosoa uamuzi uliowahi kufanywa kuchoma vifaranga vya Kenya

    Katika kongamano la biashara lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam ambalo limehusisha viongozi wawili wakubwa ambao ni Rais wa Uganda Yoweri Museveni na Rais wa Tanzania Samia Hassan Suluhu. Rais wa Tanzania Samia Suluhu amesema kwamba hakukuwa na haja ya kuchoma vifaranga waliokamatwa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia anajenga Tanzania ya viwanda kwa vitendo

    Heko wadau.. Rais wa Tanzania mh.Samia Suluhu Hassan anajenga Tanzania ya viwanda kwa vitendo na bila makelele .. Kwa mda mfupi Sana amevutia maelfu ya wawekezaji katika maeneo mbalimbali hususani viwanda . Tulikuwa na Rais ambaye alikuwa anajigamba Sana Kuwa Rais wa viwanda lakini ndani ya...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Ruhusu na saruji kutoka Kenya

    Leo Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa tamko la kuruhusu Uagizaji wa Sukari kutoka Uganda, nampa pongezi sana. Mheshimiwa Rais ujue pia Cement huku kanda ya ziwa imefika bei ya shilingi 24,000 kwa mfuko mmoja wakati jirani zetu Kenya wanauza 12,000 kwa mfuko mmoja. Tungependa kuona...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia karibu tena Mbeya

    Wakati unakuja kuomba kura kwa awamu ya pili ya uongozi wenu 22/09/2020, nakumbuka ahadi nyingi ulizotuahidi, najua kipindi hicho 2020 ulikuwa Makamu wa Rais mtarajiwa, najua ulitoa ahadi kutoka moyoni za nini utatufanyia wana MBEYA tukiwachagua, najua ulijua mtashinda uchaguzi na mulishinda kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Wabunge wa Kagera wapinga Mkoa wao kumegwa na kupelekwa Chato

    Wabunge wa Mkoa wa Kagera, Wamepinga kitendo cha kuendelea kuumega Mkoa wa Kagera. Hii imekuja baada ya Kuanzishwa Mchakato wa kufanya Wilaya ya Chato iliyopo Geita kuwa Mkoa. Mkuu wa Mkoa wa Geita, Rosemary Senyamule, alisema Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Geita (RCC) ilipendekeza wilaya tano...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu aweka rekodi ya kudumu Mikoa ya Kigoma na Katavi

    Wakati Taifa likielekea kupokea Jumla ya Mega Watt 2,115 kutoka kwenye bwawa la JNHPP kwenda kwenye gridi ya Taifa ya Umeme Kigoma na Katavi bado walikuwa wanaongelea habari za umeme wa sola na majenereta, Watu Wakigoma na Katavi ilikuwa ni hadithi ngeni kuwaambia watapokea mwekezaji...
  9. JamiiForums Tanzania Asante kwa Rais Samia kwa kuruhusu binti huyu aote tena

    Kabla nawe hujageuka mchawi, tazama video niliyokuwekea halafu usiwe mgumu wa kuelewa. Aliyeruhusiwa kuota tena ni binti wa Kitanzania, popote pale alipo. Nazungumzia binti yeyote ambaye sasa ameruhusiwa kurudi shule (Kuota tena) kupambania ndoto yake baada ya kukukosea na kupata ujauzito...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Kikwete agomea eneo la ekari 50, ataka ekari 500

    Rais wa awamu ya nne, Dk Jakaya Kikwete ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) amekataa kupokea ekari 50 ambazo Serikali ya Mkoa wa Mbeya imezitoa kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya Chuo Kikuu cha Dar es Saalam kampasi ya Mbeya na kutaka wapewe eneo lenye ukubwa wa ekari...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Museveni ametumia gari lake kwenye ziara yake Tanzania?

    Jana asubuhi hapa Manyoni-Singida ilipita convoy ya Uganda ikiwa escorted na Polisi Tanzania. Miongoni mwa magari hayo, kuna moja lilikua limebeba gari, iliyokuwa imefunikwa gubi gubi, nilivyojaribu kufuatilia nikagundua kuwa Museveni alitakiwa kuwepo Tanzania leo. Swali, je ni sahihi Rais...
  12. JamiiForums Tanzania Video ya Aliyekuwa Rais awamu ya Tano hakikataa utitiri wa Mikoa, Awamu ya Sita anaweza kuipitia kama Funzo

    Wana Jf Kwa mara nyingi Marehemu JPM alisistiza na kukataa utitiri wa Mikoa, akadai wakati wananchi wanateseka na kodi kuzalisha, wao wanazunguka zunguka tu na matumbo. Ona wenyewe
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

    Kama Taifa hebu tutafakari haya: 1. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayeweza kuongeza kwa mkupuo wanafunzi wapya elfu 29 kwenye HESLB,Simnakumbuka mtangulizi wake yeye ilimchukua miaka mitano ili kufikisha wanafunzi wapya elfu 32 kwenye HESLB, 2. Ni lini...
  14. JamiiForums Tanzania Uwazi na ukweli ; Silaha za Rais Samia

    Rais Samia kaingia madarakani watu wakiwa na matarajio ya mabadiliko makubwa. Lakini pia kuna mambo ambayo kwa makusudi au bahatio mbaya, Watanzania wengi waliaminishwa kwamba ni sahihi wakati yanatugharimu. Mfano, Rais Samia liingia madarakani watu wakiwa wameaminishwa kwamba Corona imeondoka...
  15. JamiiForums Tanzania Uchumi wetu unaweza kuanza kuanguka mwishoni mwa 2023: Rais Samia anahitaji "National Security Advisor" aliyebobea sana

    Shikamoo mama. Pole na majukumu. Bado ninaamini kuwa wewe una utu. Endelea kuwa na utu na siyo ulegevu. Majizi ni mengi kuliko idadi za pikipiki zilizoko mkoa wa Katavi. I love you. Naomba nikupe ushauri. Data zinaonyesha mambo yafuatayo: 1. Mwaka 2022 yawezekana kukawa na njaa Kali sana...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aipongeza ATCL kwa kuchanja mbuga, Kenya sasa ni Tshs 770,000 tu

    Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameipongeza ATCL kwa kupanua biashara ya usafiri na usafirishaji ya anga, hasa baada ya ATCL kuongeza safari zake za kibiashara kwa karibu mara tatu. Rais Samia ameipongeza zaidi ATCL kwa kurejesha Safari za Kenya Nairobi tena kwa gharama ndogo ya...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko kazini kuiokoa Sekta ya Utalii baada ya UVIKO 19

    Utalii ni kati ya sekta muhimu kwenye uchumi wa nchi yetu. Sisi hapa Arusha ukiathiri utalii ni kama kuchafua vyombo vyetui vya vyakula, hii sekta ndio inatulisha kwa kiasi kikubwa. lakini pia sehemu kubwa ya fedha za kigeni tunazipata kwenye sekta hiyo. Hata hivyo kati ya sekata zilizoathiriwa...
  18. JamiiForums Tanzania Walimu Arusha watakiwa kwenda uwanjani Sheikh Amri Abeid kesho kwaajili Rais Samia

    Kesho kunafanyika maadhimisho ya wiki ya Usalama barabarani mkoani Arusha ambapo mgeni rasmi ni Rais Samia Suluhu Hassan. Katika kuhakikisha shughuli hiyo inafana, walimu wote wa shule za sekondari na msingi Arusha, wameagizwa kwenda kuhudhuria bila kukosa shughuli hiyo. Walimu pekee ambao...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni nani hata mvua zimtii?

    Mimi ni mkristu safi naomba ifahamike hivyo, Nimeokoka na nampenda sana Mungu Baba, Yesu kristu na Roho Mtakatifu, Mungu wangu ananguvu kuliko nguvu zenyewe, hakuna linaloshindikana katika yeye, Mungu wangu anataka imani tu na kila kitu kwako kitakuwa ni Ushindi na Pepo ni uhakika, Uwepo...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo Profesa Mkenda, unataka Rais Samia akubebeje?

    Binafsi napata wasiwasi na huyu Waziri ambae elimu yake ni Professor, namuuliza kweli ameshindwa ku handle tatizo la bei ya mbolea nchini? Na msaidizi wake Bashe ambaye kimsingi ni mkulima inamana Bashe na wewe kwenye mashamba yako unanunua DAP, KAN, UREA 110,000 kwa mahekari yote hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…