rais

  1. JamiiForums Tanzania Si vyema kumuita Rais wetu Tour Guide. Na hii picha kweli huyu Mzungu anaonesha dharau kubwa kwetu

    Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania

    Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania, "Hakuna kama Samia" Nchi yetu imetajwa kwenye orodha ya nchi kumi zenye gharama ndogo kwenye kununua GB1 ya internet barani Africa kwa tathmini iliyofanywa mwezi uliopita. Bei ya juu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Nashauri serikali imfungulie mashtaka Wakili Msomi Tundu LISSU kwa kutoa taarifa za uongo na kusababisha taharuki kuwa Rais ametekwa/amewekwa mateka na Waziri Mkuu ndiye anaongoza nchi. Hata Kama yupo nje ya nchi anapaswa kuheshimu uhuru wa maoni. Mara nyingi akihojiwa na vyombo vya habari...
  4. JamiiForums Tanzania Tangu tupate Uhuru, Tanzania haijawahi kupata Rais mnyenyekevu, Mpole, Msikivu, Mtulivu na mwenye hofu ya Mungu

    ==== Tangu tupate Uhuru, Tanzania haijawahi kupata :- 1. Rais Mnyenyekevu kama huyu, 2. Rais Mpole kama huyu, 3. Rais Msikivu kama huyu, 3. Rais Mtulivu kama huyu 4. Rais Mwenye hofu ya Mungu kama huyu 5. Rais Mkarimu kama huyu 6. Rais Mzalendo kama huyu 7. Rais Jasiri...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Pesa za serikali zilizoongezwa kwenye bajeti ya kununua Mahindi zinaitwa pesa za Rais?

    Amesikika Mh Waziri Mkuu bungeni akimpongeza Rais Samia kwa kuongeza pesa ya kununua Mahindi ya Wakulima zilizofikia Bilioni hamsini. Kwa kadri ya ufahamu wangu Mh Rais hakuitoa hela hii kutoka kwenye Mshahara wake bali ametoa hela hii kutoka kwenye Mfuko wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
  6. JamiiForums Tanzania mh Rais samia chukua hatua ajali zimezidi kipindi

    Habari wakuu!!!! Kipindi cha miezi ya hivyi karibuni kumekuepo na ajali nyingi sana, mpaka imefikia hatua sasa kila siku lazima ajali itokee mahali! Tunawapoteza ndugu zetu! Yamkini ni uzembe wa madereva, traffic kujisahau nk! Kipindi cha magufuli haya mambo aliyakomesha na kiukweli ajali...
  7. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Mwinyi afanya uteuzi katika ngazi mbalimbali za Serikali

  8. JamiiForums Tanzania Walimu kuajiriwa na TSC badala ya Wizara kunaenda kutengeneza rushwa, undugu na kujuana kwenye ajira. Rais litazame hili linaenda kukuharibia

    Waziri wa nchi, ofisi ya Rais-Tamisemi ameiagiza tume ya utumishi wa walimu 'TSC' kuandaa utaratibu wa kuanza kuajiri walimu kupitia halmashauri kwa niaba ya wizara ya ofisi ya Rais-Tamisemi. Japo utaratibu wa kuomba hizo ajira bado haujafahamika lakini nadhani maombi yatakuwa yanatumwa moja...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi wa Mbunge wa Bunge

    Ni yule aliyekuwa Katibu Mkuu wa SADC.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo Jijini Dodoma

    Leo Kamati Kuu ya CCM kukutana Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan.
  11. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 John Pombe Magufuli, Rais aliyeacha alama kwenye mioyo ya wanyonge na kuacha kovu kwenye kidonda cha Katiba

    Na Elivius Athanas. Ni takribani miezi mitano na siku ishirini na nne (24) sasa, tangu hotuba ya dharura ya Rais Samia Suluhu Hassan itutoe machozi Watanzania, alipokuwa akitangaza kifo cha Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli aliyefariki Jumatano jioni tarehe 17.03.2021 kwa tatizo la...
  12. JamiiForums Tanzania Library video: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alipokutana na kina Freeman Mbowe, Tundu Lissu na wengine

    Kwani kuna ubaya gani kukutana kama hivi na kuongea pamoja?
  13. J

    JamiiForums Tanzania CCM yampongeza Rais Samia kutunukiwa Uchifu

    CCM yampongeza Rais Samia kutunukiwa Uchifu "Chama Cha Mapinduzi kitaendekea kupiga vita sera za udini, ukanda na ukabila lakini hakitaacha kutowatambua machifu na watemi. Hivyo kinawapongeza umoja wa machifu Tanzania kwa kumsimika@ Rais Samia Suluhu Hassan uchifu mkuu wa machifu wote...
  14. JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Samia, Tanzania moja ya nchi Afrika zinazovutia kwa uwekezaji 2020/21

    Wanasalimu kwa Jina la JMT, Siku njema huonekana asubuhi, Hatimaye Rais Samia Suluhu Hasaan ameiingiza nchi yetu kwenye nchi Tano zenye mazingira mazuri ya Uwekezaji barani Africa. Sasa Tanzania tutashuhudia wawekezaji wakimiminika nchini kwetu na kwahakika Vijana wetu watapata ajira na...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Mama samia Rais wetu mpendwa jaribu kuangali bei za vitu Arusha

    Kwa sasa anaye jua hizi bei na uhaba wa baadhi ya bidhaa atuambie tunaelekea wapi gesi Arusha ni pasua kichwa mtungi mdogo 25000, cement haipo na ukipata ni 18000, chumvi imepanda, mafuta ya kula lita 5 ni 30k, petrol na dieasel uko hatusemi, nondo nazo zimepanda bati ndio kasheshe kabisa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Makala ya Tanzania itaongeza utalii

    Nimeshiriki kuandaa makala ya Tanzania itakayorushwa katika kipindi maarufu Duniani cha Royal Tour. Ni matarajio yangu kuwa makala hii itasaidia kuitangaza vizuri nchi yetu, kuinua utalii, kuvutia wafanyabiashara na wawekezaji na kuondoa upotoshaji wa makusudi kuhusu Tanzania.
  17. JamiiForums Tanzania Afghanistan: Rais wa zamani Ashraf Ghani aomba msamaha kwa kukimbia nchi

    Rais wa zamani wa Afghanistan Ashraf Ghani ameomba msamaha kwa watu wa Afghanistan baada ya kukimbilia katika nchi za Falme za Kiarabu. "Kuondoka Kabul ulikuwa uamuzi mgumu zaidi maishani mwangu," amesema, akiongeza kuwa anajuta kwamba "hakuweza kumaliza hilo kwa njia tofauti." Bwana Ghani...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyokuwa kwa Living With Michael Jackson Royal Tour ya Rais Samia yaweza kuwa na lengo baya kwa Tanzania

    Kwa mliofuatilia uandaaji na hatimaye kuoneshwa kwa makala maarufu ya Living With Michael Jackson mtakubaliana nami namna mwandishi mashuhuri Martin Bashiri alivyomrubuni, Mfalme wa Pop Duniani, Hayati Michael Jackson, kushiriki kwenye uandaaji wa makala kwa kumhakikishia kuwa makala hiyo...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Juhudi za Rais Xi kuhusu ushirikiano kwenye mapambano dhidi ya COVID-19 zazaa matunda

    Wiki chache zilizopita zimeshuhudia ongezeko la usambazaji wa chanjo za covid-19, hasa kwa nchi zinazoendelea. Foleni ndefu za watu wanaojipanga kupewa chanjo zinaendelea katika vituo vingi vya afya. Nchi za kipato cha chini, hasa kutoka barani Afrika, kwa miezi kadhaa zimekuwa katika hali ya...
  20. JamiiForums Tanzania Wimbo wa kumkashifu Rais Biden unavuma mno Marekani

    Wamarekani washamchoka huyu mzee 😂 😂 atafutiwe tu kitanda alale wimbo huu umebanwa sana kutojulikana ila kwa jinsi biden alivyochokwa, video inaenda views milioni licha ya kuimbwa na msanii mchanga Hapa ni baadhi ya wamarekani wakiimba kwa hisia kali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…