rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Duterte wa Ufilipino asema raia wote wasiochanjwa dhidi ya COVID-19 hawataruhusiwa kutoka majumbani mwao, yupo tayari wafe

    Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte anaonya kuwa Wafilipino ambao wanakataa kupata chanjo dhidi ya coronavirus hawataruhusiwa kuondoka nyumbani kwao kama kinga dhidi ya aina ya kirusi cha delta kinachoenea zaidi. Duterte alisema kwa njia ya televisheni Jumatano usiku kwamba hakuna sheria...
  2. JamiiForums Tanzania UVCCM: CCM imchukulie hatua Askofu Gwajima kwa kuhamasisha Watanzania kukataa chanjo ya Uviko-19

    Dodoma. Umoja wa Vijana wa CCM ( UVCCM) umekitaka chama chao kumchukulia hatua Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima kwa kitendo chake cha kuhamasisha watanzania wakatae chanjo ya Uviko-19. Katibu Mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi ameyasema hayo leo Jumanne Julai 28 2021 mara baada kumalizika kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Chanjo ya COVID-19 na kuchanjwa. Asema hawezi kujipeleka kwenye Kifo

    Mzee wa upako, Athony Lusekelo ameitwa kufungua kwa sala na kabla anatoa maneno machache ikiwemo kutaka watanzania kuiamini chanjo kwani Serikali imejiridhisha. Pia ameongelea kauli ya Magufuli na kusema hakukataa bali alitaka tahadhari, Mwisho amesema wakristo kuna mambo wanakubaliana wote kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Niwaambieni mapema tu nikija kuwa Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Mgombea Binafsi Daraja la 'Tanzanite' nitaamuru libomolewe haraka

    Nimetafuta Mantiki ( Logic ) ya Ujenzi wa Daraja hilo mpaka sasa sijaipata sana sana naona 'Maluweluwe' tupu tu. Nimejaribu Kuzungumza na Wakandarasi na Wahandisi Waandamizi wamesema hilo Daraja ni Kazi bure tu japo 99% walishiriki Kikamilifu katika Mchakato wake mzima mbele ya Hayati Mmoja wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Ufaransa wampe TUZO Rais wetu Mwinyi?

    Sababu walizozitoa za kwanini wamtunuku Rais MWINYI hazitoshi kabisa. Eti Wanampa tunzo kwa kuwa Waziri wa Ulinzi na kushiriki vema katika kazi za kimataifa!!! looh!! tuzo kama hiyo si ingeenda kwa Mkuu wa nchi na Makamu wake walioruhusu nchi ishiriki kazi za kimataifa? Wazungu hawana cha bure...
  6. JamiiForums Tanzania Haonga aombe radhi kwa upotoshaji kodi za Mbolea; Rais amesema Corona ndo chanzo cha kupanda bei ya Mbolea

    Leo wakati wa hotuba yake baada ya kuapisha mabalozi Mh Rais alijaribu kuhusiana na kupanda kwa bei ya mbolea nchini , jambo ambalo linaonekana wazi kuwa litaleta athari sana katika suala letu la chakula hapo mwakani. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa kupanda kwa bei ya mbolea nchini kumetokana...
  7. JamiiForums Tanzania Rais ulifanya makosa makubwa kuifanya chanjo kuwa hiari, ulipaswa kukubaliana na Mbowe kuwa chanjo lazima ili tuweze kupambana na Gwajima

    Wasalaam wana jamvi. Mimi ni mmoja wa watu ambao kusema kweli nilitamani kabisa swala la chanjo liwe kwa lazima kwa kila mtanzania na hili lilipaswa kuwekwa wazi kabisa na Mh Rais pale alipotangaza ujio wa chanjo hiyo kwani ingesaidia sana kupambana na watu wanaopinga chanjo hiyo. Nakumbuka...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Kasi Hii Rais Samia Suluhu Hassan lazima Upinzani upoteane nchini

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Phillip Isdor Mpango leo ameweka jiwe la msingi katika Jengo la Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini - Mtwara lililopo Manispaa ya Mtwara Mikindani eneo la Mitengo Mkoa wa Mtwara. #KaziIendelee Source: Wizara ya Afya
  9. JamiiForums Tanzania Ina maana muda wote huu Rais alikuwa hajachanjwa?

    Keshokutwa tarehe 28, mwezi huu wa Julai, tumeambiwa kuwa Rais Samia atachanjwa hapa Ikulu ya Dar es Salaam. Serikali ndo itakuwa inazindua kampeni yake ya chanjo dhidi ya Corona! Sasa nimewaza tu: ina maana muda wote huu tokea Rais Magufuli afariki, huyu Rais wetu mpya alikuwa hajachanjwa...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzindua na kupata Chanjo ya COVID-19 Julai 28, 2021

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Chanjo ya COVID19 Ikulu Dar, Saa tatu asubuhi Julai 28, 2021 Tanzania ilijiunga na Mpango wa COVAX Juni 15, 2021 na imepokea shehena ya Chanjo Julai 24, 2021 Wizara ya Afya imesema Chanjo ni nyongeza ya njia za kupambana na Corona...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kenya: Rais na Makamu wanakinzana wanavumiliana, Tanzania Rais ni Bunge, Mahakama na Serikali

    Tutazidi kusindikiza kwenye uchumi na kutengeneza wanafiki wa Taifa kupitia mfumo wa serikali tulioasisi awamu ya Tano. Yupo kiongozi wa Dini amediriki kutamka adharani kwamba tunakosa viongozi wenye maono, naomba niseme siyo wenye maono tu Bali wenye nguvu yakupanbana kwa hoja. Kenya awapo...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Kati ya Hawa wafuatao ni nani Rais ajaye wa Tanzania?

    Naamini hapa jf pana watu wenye uelewa na upeo mkubwa sana wa kuchanganua mambo. Mawazo yanayotolewa hapa yanaweza kuvifungua macho vyama vya siasa juu ya nani wamsimamishe kama mgombea kutokana na kuonwa na macho ya wachambuzi wa mambo. Ifuatayo ni orodha ya majina ya watu ambao wanafaa...
  13. JamiiForums Tanzania Huyu dereva wa gari sio Rais Samia kweli?

    Tafasiri yangu inasema huyu ni Rais Samia. Amechonga barabara inayompeleka shimoni. Naye katika kuendesha gari lake anataka kulitumbukiza gari shimoni.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Philip Mpango pole na hongera kwa hisia za Wanamtwara. Umeonesha uongozi bora

    Dkt.Mpango wewe nikiongozi uliyeonyesha UONGOZI BORA NA SI UTAWALA WA MABAVU. Hakika mbele za Mungu nakupongeza sana. Leo 26/7/2021 umehutubia wananchi wa Mtwara waliokusanyika katika kuweka jiwe la msingi hospitali ya kanda ya kusini.Katika kufuatilia waliopewa nafasi ya kuhutubia miongoni...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanamume anayeshutumiwa kwa kumshambulia Rais wa Mali afariki dunia

    Mwanamume anayetuhumiwa kujaribu kumdunga kisu rais wa mpito wa Mali, Assimi Goïta, wiki iliyopita amekufa hospitalini akiwa chini ya ulinzi, serikali inasema. Mshambuliaji huyo, ambaye hajatambuliwa, alikamatwa baada ya kushindwa kutekeleza jaribio lake, ambalo lilifanyika wakati Bwana Goïta...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia Suluhu na timu ya Corona fanyeni haya kuboresha mapambano dhidi ya COVID19

    Mheshimiwa Rais, naomba nikupongeze kwa nia yako nzuri ya kuleta mbadiliko chanya katika ustawi wa taifa. Ama nikupongeze kwa juhudi kubwa unazofanya katika kuendeleza juhudi na upekee wa aliyekuwa rais wa JMT wa awamu ya 5 Rais John Pombe Magufuli. Muendelezo huu ni pamoja na kuboresha pale...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba anajipenyeza kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa Urais

    Bila kuficha Mwigulu anapenyeza kila njia kwa wananchi ili jina lake ling'ae kwa urais. Magari ya Polisi kwenye msafara na polisi wanaomlinda alipokuwa ziarani Tunduma. Chakushangaza amegeuka njiani kuwa na misafara ya magari mengi kama naye ni Rais, haya sio matumizi mabaya ya muda kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais na DPP ni matarajio ya wengi kuwa Mbowe atafikishwa Mahakamani au kuachiwa huru

    Mh Rais mashitaka dhidi ya Mbowe na wenzake yanashitusha sana watu wengi na hata wale ambao kwa vyovyote si mashabiki wa Mbowe au CHADEMA na ni mashitaka ya juu sana mtu kutuhumiwa nayo hasa mtu wa karba ya Mbowe kwa hiyo matarajio yetu ni kuwa serikali na DPP walishajipanga kumpeleka Mh Mbowe...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ile ahadi ya Mbunge wa Kibamba kutoka kwa Mh Rais ndo imeyeyuka?

    Nakumbuka wakati Mh Hayati Rais JPM (R.I.P) kipindi hicho anafungua stand ya Mbezi Lous alimuahidi Mh Mbunge wa Kibamba kuwa kutoka na sababu ya kwamba jimbo hili ndo linaongoza kwa kuwa na kiwango kidogo cha lami yaani chi ya 5%., basi aliagiza timu iundwe na Tanroads pamoja na mbunge wapitie...
  20. JamiiForums Tanzania Rais hakuwatuma Polisi wamkamate Mbowe na kumpa kesi ya ugaidi

    Friends and Enemies, Miez kadhaa iliyopita enz za uongoz wa Magufuli,the so called constitution reform heroes walipewa jibu MOJA tuh na mwendazake,nalo ni siyo kipaombele chake, Walikaaa kimya,na wengine walikimbilia Dubai na wengine Canada wengine wakahama chama na kumfuata kwenda kuunga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…