rais

  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli azungumza na wananchi viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam

    Rais Magufuli anazungumza na watanzania kupitia mkutano wake na wananchi wa Dar es salaam. Tukio liko mubashara katika runinga zote Updates; Waziri Bashungwa: Nimesimama hapa mheshimiwa Rais kukushukuru sana kabla ya mkutano huu wa hadhara umetupa heshima ya kuzindua Magic FM Radio pamoja na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mlio karibu na Rais Magufuli, naomba muulizeni swali hili na awape majibu

    Wadau amani kwenu... Kuna jambo linanitatiza na kunisumbua sana kichwa. Nimedokezwa humu JF kuna watu al-maarufu kama "vipenyo" yaani watu kutoka Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ambao wana access ya kumfikia mzee baba. Ninaomba wanisaidie kumuuliza nini faida na manufaa yaliyopatikana...
  3. JamiiForums Tanzania Rais, subiri kidogo kutia saini kulivunja jiji la Dar es Salaam

    Mji wa Dar es Salaam ulikuwa ni sehemu tu ya mkoa wa Pwani, kutokana na idadi yake kubwa ya watu wanasiasa waliamua ujitenge ili uwe mkoa unaojitegemea. Ilala, Kinondoni, Temeke na Ubungo ilikuwa ni mitaa tu ya mji wa Dar es salaam ambayo baadae wanasiasa waliigeuza kuwa wilaya/halmashauri ili...
  4. JamiiForums Tanzania Dhamiri yamlazimisha Rais Magufuli kukiri uharibifu katika uchaguzi wa Oktoba 2020

    DHAMIRI YAMLAZIMISHA RAIS MAGUFULI KUKIRI UHARIBIFU KATIKA UCHAGUZI WA OKTOBA 2020! Nilipokuwa nahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wiki iliyopita, nililazimika kumueleza mmoja wa maofisa waliokuwa wananihoji nikasema kuwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020 haukuwa Huru na wala haukuwa wa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Maelekezo aliyotoa Rais Magufuli Mbezi Louis ni porojo za siasa, nashusha hoja

    Sikubaliani asilani na maelekezo aliyoyatoa kwa watendaji wake akizindua kituo cha mabasi huko nyumbani, Mbezi Louis lililopewa jina lake. Kwanza Magufuli amesema Stendi hiyo ni ya Kimataifa (International Bus Stop) ambapo mabasi yatafika hapo na abiria kutoka mataifa mbalimbali. Magufuli...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aivunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala

    Rais Magufuli ameivunja Halmashauri hiyo na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala kuwa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuanzia leo Februari 24, 2021 Ameipandisha hadhi Halmashauri hiyo kwa Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 5(1) cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais kuitwa mtukufu na kuabudiwa hadharani bila kukemea inaashiria nini?

    Hili jambo limenistua na kunipa hisia hasi. Sikuamini macho na masikio yangu kwa Rais huyu huyu wa wanyonge na mcha Mungu. Akitoa maelezo ya kutaka Maendeleo jimboni kwake Kibamba, Mbunge Issa Mtemvu alimwita Rais Magufuli MTUKUFU tena akimsujudu hadi ardhini. Nilijua Rais atakapoamka kutoa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge wangu wa Kibamba, changamkia fursa ya mheshimiwa Rais haraka iwezekanavyo kabla ya bajeti

    Leo Mh. Rais wakati akizindua stand ya mabasi ya mbezi luis amepokea maombi murua kutoka kwa mwakilishi wa wananchi ambaye ni mbunge, nitapenda kuongelea ombi moja kati ya mengi aliyoyaomba kwa maana yote yamepata majibu safi sana. Ombi lenyewe ni barabara za jimbo la Kibamba. Nakupongeza sana...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Rais, nawasikitikia sana waliochukua fremu za biashara kwenye ya stendi kuu ya mabasi Mbezi

    KWA KAULI YA JPM, Nawaskitikia sana Waliochukua fremu za biashara ndani ya stend kwa gharama kubwa IMEKULA KWAO. Machinga na Mama lishe watauza bidhaa ile Ile kwenye kibaraza cha fremu uliolipia mwenyewe kwa pesa zako, Wateja hawataona umuhimu wa kuingia ndani ya frem lako,Na watauziwa...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kuvunja Jiji la Dar es Salaam

    Akiwa katika uzinduzi wa daraja la juu Ubungo amesema atalivunja jiji na kuipa Ilala hadhi ya jiji na wilaya zingine zibaki kuwa Manispaa. ---- Rais Magufuli ameyasema haya Nategemea Jiji la Dar es Salaam kulivunja na hii nawaambia hapa ili tutengeneze jiji la eneo fulani, tunaweza...
  11. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Mwinyi: Wakumbuke Masheikh wa Uamsho ambao wanateseka huku familia zao zikiishi kwa shida

    Namshukuru M/Mungu , kwa kutupa utulivu na amani, mhe ris mwinyi , uchaguzi umekwisha na umefanikiwa kuanzisha furaha na upendo uliokuwa umeanza kutoweka hususani mara baada ya uchaguzi mkuu kuisha. Ombi langu kwako (Mungu amrehemu Maalim Seif) na viongozi wengine...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Niliwahi kuwa dereva wa teksi bubu

    Rais Magufuli ametoa siri hiyo leo wakati akizindua daraja la la Ubungo lililopewa jina la Kijazi Interchange. Rais Magufuli amedai kuwa alipokuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam alikuwa akipiga kibarua cha kuendesha teksi bubu ili ajipatie chochote kitu. Na kituo alichokuwa anapaki...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Kibamba mmejicheleweshea wenyewe maendeleo kwa kukosa mbunge sahihi huko nyuma ila sasa Mtemvu atawavusha!

    Rais Magufuli leo amewashukuru wananchi wa Kibamba kwa kumpa kura nyingi wakati wa uchaguzi mkuu na pia kuchagua mbunge na madiwani wote wa CCM. Rais Magufuli amesema Kibamba wamejicheweshea wenyewe maendeleo kwa kushindwa kuchagua mbunge sahihi huko nyuma ambaye kwa muda wote amefanikisha...
  14. J

    JamiiForums Tanzania MBEZI: Rais Magufuli azindua kituo kikuu cha Mabasi ya Mikoani

    Baada ya kufungua daraja la juu la Kijazi sasa Rais Magufuli amewasili Kituo kikuu kipya cha mabasi ya mikoani tayari kabisa kwa kukifungua rasmi. Watu ni wengi sana. Up dates; ==== WAZIRI JAFO AAGIZA MKURUGENZI WA JIJI KUANDAA BANGO LA STENDI YA MAGUFULI Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI...
  15. JamiiForums Tanzania Wazungu wanajua kuwa Tanzania sasa inae Rais sahihi

    Rais Nyerere RIP alishasemaga kuwa kama mtu mwenye akili nyingi akikupa ushauri wa kijinga na wewe ukaufuata ushauri huo kama ulivyo atakudharau sana. Viongozi wengi wa Afrika walishindwa kusema NO kwa ushauri wa kijinga wenye haara nyingi kwao waliokuwa wakipewa wa wazungu. Walishindwa kusema...
  16. J

    JamiiForums Tanzania UBUNGO: Rais Magufuli afungua daraja la juu la Kijazi (Kijazi Interchange)

    Rais Magufuli leo anaanza ziara ya siku tatu mkoani Dar es Salaam ambapo atafungua miradi mbalimbali. Kituo kikuu kipya cha mabasi ya mikoani Mbezi ni moja ya miradi itakayofunguliwa leo. === MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJIRI: Rais Magufuli amewasili Ubungo tayari kabisa kufungua barabara za...
  17. JamiiForums Tanzania Tunatekeleza maelekezo ya Rais kwa vitendo, barakoa za mabeberu zina mapandikizi ya COVID19

  18. JamiiForums Tanzania Ujasiri wa Rais Magufuli juu ya janga la korona katika ulimwengu wa roho

    Awali ya yote napenda kutoa salamu za dhati kabisa kutoka katika kina cha nia yangu kwenu nyote nikiwa na uhakika salamu hii itapokelewa na kila mtu atakayesoma andiko hili na kuruhusu kuelewa zaidi ya uelewa ulivyo. Natamani sana andiko langu niliweke katika lugha ambayo itamfanya kila mmoja...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Nyagori: Rais Magufuli yuko sahihi kulinda raia wake, barakoa zinaweza kutumiwa na magaidi kusambaza virusi vya corona

    Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona. Akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC Prof Nyagori amesema kiongozi yoyote duniani mwenye nia ya dhati ya...
  20. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo au Rais wa Zanzibar ndio mwenye mamlaka ya kuteua Makamo wa Kwanza wa Rais?

    Hebu twende kikatiba zaidi tuone Dhana nzima ya uteuzi ,je ni ACT WAZALENDO au RAIS WA ZANZIBAR ndio mwenye mamlaka ya kuteua Makamo wa Kwanza wa Rais? Twende kikatiba zaidi, Ibara ya 39(1)(2)inasema. 39.(1) Kutakuwa na Makamo Wawili wa Rais ambao watajuilikanakama Makamo wa Kwanza wa Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…