rais

  1. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dkt. Hussein Ali Mwinyi katika Uzinduzi wa Baraza la Kumi la Wawakilishi

    TAREHE: 11 NOVEMBA, 2020 Mheshimiwa Zubeir Ali Maulid; Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar, Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdulla; Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Omar Othman Makungu; Jaji Mkuu wa Zanzibar, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Ali...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi: Niko tayari kufanya maridhiano na vyama vingine

    HABARI: Ninaheshimu maridhiano na matakwa ya Katiba ya kushirikiana na vyama vingine vya siasa katika kuendesha Serikali. Niko tayari kuyatekeleza maridhano kama Katiba ya Zanizbar inavyoeleza - Dk. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar #MwanaHALISIDigital. ===================== KUMBUKUMBU...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampongeza Rais Mteule wa Marekani, Joe Biden na Makamu wake kwa ushindi uchaguzi mkuu. Amhakikishia kuendeleza uhusiano

    Namnukuu On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate President-elect @JoeBiden and Vice President-elect @KamalaHarris on your victory in the US General Election. Be assured that Tanzania will continue to cherish the relationship that exist between our countries...
  4. JamiiForums Tanzania Kauli za Sisi 'Wanasiasa' ndiyo muda mwingine zinatufanya 'Wananchi' wasituamini na waendelee kumpa 'Kura' Rais Magufuli na CCM yake tu

    Kauli ya Mwanasiasa GENTAMYCINE wiki Mbili zilizopita.... "Namalizia Kampeni zangu za Kupambana na Magufuli ila Uchaguzi Mkuu ukiisha tu naenda Kijijini Butiama Mkoani Mara Kutibiwa zangu Kienyeji kutokana na Matatizo makubwa sana niliyoyapata ya Kung'atwa na Mbwa Mkali wa Ziwani na Meno yake...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Chondechonde Rais Magufuli, kwa hili la bei ya saruji usifanye nikajutia kura yangu kwako...

    Ndugu mheshimiwa, Kipindi Cha kampeni ulituahidi kuwa utapunguza Bei ya vifaa vya ujenzi ili hata Watanzania wenye kipato Cha chini tuweze kujenga. Tulishawishika na set zako na tukakuchagua kwa kura nyingi Sana kuliko kawaida. Sasa Cha kushangaza, Ni juzi juzi tu umeapishwa, lakini Jana Vifaa...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Joe Biden mara baada ya kuchaguliwa kuwa Rais wa 46 wa Marekani

    Habari za leo wana JamiiForums, Natumai muwazima wa afya njema. Leo nilikua naangalia hotuba ya Rais wa U. S aliyechaguliwa bwana Joe Biden. Kwakweli ukimsikiliza kwa umakini Joe Baden unaweza mfananisha na Obama kwa jinsi anavyo hutubia. Mimi nadhani tutarajie yale aliyoyafanya Obama ndio...
  7. JamiiForums Tanzania Makamu wa kwanza wa Rais ni nani Zanzibar?

    Hii kitu huwa inanisumbua kidogo naomba kusaidiwa. Muda wa Dkt. Mohamed Shein kulikuwa na Makamo wa pili wa Rais Balozi Seif Ally Eid lakini hakukuwa na Makamo wa kwanza wa Rais. Hivyo hivyo Dkt. Mwinyi keshateua na kumuapisha Makamo wa pili wa Rais ndugu Hemed Suleiman Abdulla. Je, Makamo wa...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Tanzania Mama Samia amjulia Hali DC wa Wilaya ya Mlele Rachel Kasanda aliyelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Mkuu huyo wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi alipata ajali ya gari akiteleza majukumu yake ya kikazi. Makamu wa Rais, katika akaunti yake ya mtandao wa Twitter ameandika Nilipita Kumjulia hali Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi Recho Kasanda aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Leo nimetafakari sana kifo cha Rais Benjamin Mkapa

    Ni miezi takriban minne sasa tangu Rais Mstaafu BWM atutoke. Bila ubishi, Rais Mkapa alikuwa na ushawishi mkubwa ndani ya siasa za CCM, na ni ukweli usio na shaka kuwa outcome ya siasa za CCM za uchaguzi wa mwaka 2015 ambazo yeye alishiriki kikamilifu ndizo leo hii tunaishi kwa consequences...
  10. JamiiForums Tanzania Je, ukijitambulisha kuwa wewe ni 'Mkosoaji' Mkuu wa Rais Dkt. Magufuli 'Mtandaoni' lakini 'hufanikiwi' lipi la kufanya kati ya yafuatayo?

    1. Endelea tu na utaratibu wako wa Kimaisha na Familia yako ambayo huenda ikawa inakutegemea kuliko Siasa na Chuki zako? 2. Tambua kuwa unapoteza bure muda wako kwani wapo Manguli kukuzidi walianza na wakamshindwa? 3. Kuna muda utafika utaanza Kuonekana 'Kituko' kwa wale unaowashtakia au...
  11. JamiiForums Tanzania Prof. Adelardus Kilangi aapishwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Rais Magufuli kutofanya mabadiliko watendaji wa Serikali, Mawaziri kubadilishwa

    Prof. Adelardus Lubango Kilangi amekuwa mtu wa kwanza kuteuliwa na Rais John Magufuli kwa kipindi cha muhula wa pili wa Uongozi wa Rias Magufuli. Prof. Kilangi ameteuliwa na kuapishwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, ambapo amesema hii imeonesha Rais ana imani naye kwa hivyo ameahidi...
  12. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais mpya wa Marekani Joe Biden baada ya ushindi kwa Kiingereza na Kiswahili (Biden-Harris)

    HOTUBA YA JOE BIDEN BAADA YA USHINDI My fellow Americans, the people of this nation have spoken. They have delivered us a clear victory. A convincing victory. A victory for “We the People.” We have won with the most votes ever cast for a presidential ticket in the history of this nation -- 74...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wamepinda yani wanatukana msafara wa Rais Trump bila Kuogopa?

    Hapa Trump alikuwa anarudi Whitehouse baada ya kucheza golf Biden alivyotangazwa mshindi.
  14. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Museveni kwenye kuapishwa kwa Rais Magufuli, imenitafarisha mambo 4

    Hotuba ya Rais Museveni kwenye Kuapishwa kwa Rais Magufuli, imenitafarisha mambo 4; karibu tujadili tukiwa na open mind. Naomba ku-declare interest ninamuunga mkono JPM kwa nafasi ya Urasi 2020-25. Kama unaidhika usiendelee kusoma huko chini. Ila kama una imani ya kusifu tu, pia usisome ili...
  15. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi afanya teuzi za Wajumbe Baraza la Wawakilishi

    Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amewateua watu watano kuwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi. Kwa kufuata kifungu 66 cha katiba ya Zanzibar ya mwaka 1964 amewateua Saada Mkuya Salum, Tabia Maulid Mwita, Juma Ali Khatib, Hemed Suleiman Abdalla na Anna Athanas Paul...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Chamwino, Dodoma: Rais Magufuli apokea Sakramenti Takatifu leo Kanisa Katoliki Parokia ya Bikira Maria Imakulata

    Mheshimiwa Rais Dkt. John Magufuli amepokea Sakramenti hiyo takatifu Kutoka kwa Padre Paul Mapalala wakati wa Misa ya Dominika ya 32 Mwaka "A"
  17. E

    JamiiForums Tanzania Kamala Harris akicheza ngoma mara baada ya kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais U.S

    Kamala Harris akicheza ngoma mara baada ya kuchaguliwa kuwa makamu wa Rais U.S. Na ifahamike kwamba Kamala Harris ndiye mwanamke wa kwanza mweusi kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais nchini humo.
  18. JamiiForums Tanzania Ifahamu siku ya uapisho wa Rais nchini Tanzania na maana ya ishara zinazoambatana na matukio wakati wa uapisho

    IFAHAMU SIKU YA UAPISHO WA RAIS. MATUKIO YANAYOFANYIKA. Katika hafla ya uapisho kunakuwa na matukio mbalimbali kama ifuatavyo; ✍🏽Kupigwa kwa mizinga 21. ✍🏽Ukaguzi wa gwaride. ✍🏽Salaamu kutoka katika vikosi vya kijeshi. ✍🏽Burudani. KULA KIAPO. Katika hafla ya uapisho tukio la Rais kula kiapo...
  19. JamiiForums Tanzania Bunge jipya lina hali mbaya! Serikali itafanaje kuliokoa Bunge ili kuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, Bunge letu jipya linalokwenda kuundwa hivi karibuni baada ya uchaguzi Mkuu, lina hali mbaya sana ya kuwa liko kwenye hati hati ya kutokuwepo kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni. Swali ni Jee NEC, Rais Dr. Mwinyi na Rais Dr. Magufuli wataingia huruma na...
  20. JamiiForums Tanzania Ombi la kurejeshewa Internet

    Wanaohusika na Internet tunaomba mturejeshee internet jamani. Kumbukeni wengine wanasoma online, wengine wanafanya biashara online, wengine internet ndio chakula chao. Naombeni sana mturudishie hii kitu inatutesa sana. Issue ya internet mnatuonea hata wale tusiokuwa na mlengo wowote. Wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…