raisi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kwa matamshi haya kuhusiana na uchaguzi mdogo huko Zanzibar, Makamu wa Raisi Zanzibar kutoka ACT-Wazalenido kujiuzulu wakati wowote?

    Haya kumekucha huko Zanzibar
  2. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumkosanisha Rais Samia na Watanzania na kumfanya achukiwe: Tozo za Serikali, Katiba Mpya, Uonevu wa Polisi, Mambo ya Muungano

    Unapokuwa kiongozi, hasa wa siasa, unapaswa kuwa makini sana hasa na viongozi ambao watajifanya ni rafiki zako kumbe wanatafuta tu namna ya kukuchonganisha na wananchi. Na hili namwambia wazi Raisi Samia ajihahdari sana. Sifikiri kwamba viongozi wote, na hasa wateule wake, wapo pamoja naye siku...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Katiba ya Tanzania sio ya Rais, wala CCM, wala Upinzani, ni ya Watanzania wote na huna mamlaka nayo. Kuapa kuilinda sivyo unavyofikiria

    Nimeshangazwa sana na habari iliyopo kwamba Rais Samia alimuagiza Mkuu wa Polisi Mwanza kuzuia watu kufanya kongamano juu ya Katiba ya Jamhuri ya Tanzania; kwa malaka gani aliyo nayo Samia juu ya Katiba? Je Rais Samia haelewi kwamba japo ana mamlaka ya Uraisi wa Tanzania, uraisi wa Tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Inawezekana Rais wa Haiti aliuawa na walinzi wake mwenyewe

    Maswali mengi yameibuka juu ya madai ya serikali ya Haiti kuhusu waliotekelezwa mauaji ya raisi Moise, ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi katika hekalu lake liliko Port-au-Prince, Halhamis iliyopita. Jeshi la polisi na wanasiasa wa Haiti ambao wameingilia ombweila uongozi wa kiasiasa kutokana na...
  5. JamiiForums Tanzania Sakata la Mauaji ya Rais wa Haiti lachukua sura mpya

    Kukamatwa kwa mfanyabiashara mwenye uraia wa Haiti ambaye anaishi Florida ambaye vyombo vya usalama vinadai kwamba ni mhusika mkuu wa mauaji ya aliyekuwa raisi wa Haiti, kunazidi kuongeza maswali kwenye hili sakata ambalo tayari limeacha mawasli mengi. Vyombo vya usalama vya Haiti vinadai...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

    Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler! Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kauli ya "tusiwabugudhi wawekezaji" itumike kiumakini

    Hongera/pole kwa majukumu, Rais Samia hongera kwa jitihada ulizoanza kuzionyesha kwa kipindi hiki ulichoshika madaraka vitu kama mahusiano ya kimataifa, uhuru wa vyombo vya habari, haki za binadamu na demokrasia ni baadhi tu ya mambo ambayo umeelekeza nguvu na kiukweli nikupe hongera katika...
  8. JamiiForums Tanzania Marais Wastaafu, Mawaziri Wakuu wastaafu watembelea Bwawa la Nyerere la mto Rufiji

    Kwa kutambua umuhimu wa mradi wa kufua umeme wa Mto rufiji Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu wametembelea bwawa la kuzalisha umeme la NYERERE Hii ni hatua kubwa za kuenzi legacy ya JPM Ndio maana tunasema JPM rest in power === Viongozi wakuu wastaafu Rais Ali Hassan Mwinyi na Jakaya...
  9. JamiiForums Tanzania Wapinzani chezeni karata zenu kwa umakini sana kutokana na Rais tuliyenaye sasa hivi

    Katika nyakati ambazo Wapinzani wanatakiwa wawe makini basi ni nyakati hii. Ni nyakati ya wapinzani kaucha jazba na kuwa wastaarabu sana na wenye kujenga hoja bila MIHEMKO. Kwa sababu sasa hivi sio kwamba CCM ni saafi saaaaaana laa hasha, sababu ni kuwa mama anacheza karata zake kwa utulivu na...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa sasa Katiba mpya ni hisani ya Rais, akitaka atatekeleza

    Mama samia akiamua mchakato wa katiba mpya kwa sasa itakuwa kafanya hisani tu na wala isisemwe ni takwa la wananchi. Ilani ya chama cha mapinduzi hawakuahidi katiba mpya hivyo haipo katika mambo ambayo wanatakiwa wayatekeleze. Kama ambavyo watu wanawaponda wana CCM kwamba kuna mambo katika...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana kuwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya kupigiwa kura badala ya kuchaguliwa na Raisi?

    Nime towa wazo hilo ili utendaji una weza kuwa mzuri. Kwanza nataka kujuwa hawa wakuu wamikowa na wakuu wawilaya wana ingia wapi katika serikali Kuna madiwani ambawo huchaguliwa na watu hawa huingia wapi? Kuna mayor ambaye huchaguliwa na wajumbe lakini ( bora ingekuwa mayor anachaguliwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Iran wachagua Ibrahim Raisi ambaye ameshaua watu elfu 30

    Masikitiko Wairan kuchagua Raisi ambeye ni jaji wa mahakama ambaye ashatoa hukumu za hovyo za kunyonga watu zaidi ya elfu 30 alilalamikiwa sana na raia hadi jumuiya za kimataifa ila alikingiwa mikono na Ayatollah. Marekani washamuwekea vikwazo kama vyote, sasa tutegemee uovu kama wote kutoka...
  13. JamiiForums Tanzania Raisi wa Marekani Ametia Saini Sheria mpya ya kuwa na Siku ya kusherehekea Kumalizika kwa Utumwa Marekani

    Juneteenth National Independence Day itakuwa inaadhimishwa Juni 19 ya kila mwaka. Ni siku katika mwaka 1865 wakati wanajeshi wa muungano walipoliarifu kundi la watumwa weusi kwenye jimbo la Texas juu ya uhuru wao miaka miwili na nusu baada ya Rais Abraham Lincoln kutia saini tangazo la ukombozi...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia komesha unadishaji wa mizigo bandarini

    Mama samia raisi wetu mpendwa mama yetu msikivu naomba tondole hii kero ya muda mrefu sana wazuie TRA na TPA wasiuze mizigo ya Watanzania bandarini kwakisingizio cha kukosa pesa za kulipia kodi mizigo. umewatia watu wengi umasikini mtu anaagiza mzigo kutoka nje ya nchi mzigo unafika...
  15. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Rais wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan na Vijana, Uwanja wa Nyamagana Mwanza

    Huu ni uzi huru (sio rasmi) Kumulika Ziara ya Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan mkoani Mwanza ambapo ataongea na vijana wa Kanda ya ziwa kwa niaba ya vijana watanzania yote. Huu ni muendelezo wa Rais Samia kukutana na kuongea na Makundi Mbali mbali katika jamii. Ikumbukwa...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini utendaji kazi wa Raisi unapimwa kwa kipimo cha siku 100 na sivinginevyo?

    Habari wanajukwaa. Imekuwa ni kawaida kwa Kiongozi Mkuu wa nchi hasa nchi zinzotumia title ya Raisi, kama hii ya kwetu, kutumia kigezo cha siku 100 za kwanza za Raisi kuwa Ikulu kufanyiwa tathimi ya utendaji kazi wake. Wachambuzi wa mambo ya siasa, wasomi, wanazuoni na Wananchi wa kawaida...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kweli naamini Rais anapitia hapa JF

    Tokea nilipotoa ilani asiwe anapokea mic na kuzungumza wakati wa ziara ili kuepuka vituko vilivyotokea alipotembelea Hospitali, maana vile ni vituko vya mwaka, alimaka alipoambiwa hapa panazalishwa watoto mia nane kwa mwezi na alipowaita walinzi watoke ndani ya chumba cha wagonjwa wenye...
  18. JamiiForums Tanzania Raisi wetu Mama Samia Mtumbue Ally Hapi kabla hujamuapisha

    Mama Samia Mtumbue A, Hapi atakuharibia na kutoa imani kwa Watanzania waliyonayo kwako. Alionyesha dhalau kubwa Sana kwa wazee wetu ambao ni Maraisi wasitafu, kumbuka hata wewe ni msitafu mtalajiwa. Ukimwacha hata wewe ukimaliza muda wako atakuja kukutukana. Kwani A.Hapi yeye ni nani kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Ni mapema sana kumlaumu Rais Samia Suluhu Hassani

    Mama bado yupo kwenye hatua ya awali ya kuweka mambo sawa, hivyo ni mapema kuanza mpa lawama kwa hili na lile. Kwa namna ratiba ya Mhe. Madam President ilivyo tight isingewezekana mtu akiomba kukutana nae kwa tarehe anayooitaka ndio iwe. Muda wa kuwa Mhe. Raisi ameahidi kukaa na watu wa vyama...
  20. JamiiForums Tanzania Nawejaze kuonana na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI?

    Wakuu naomba mrejeeTitle ya uzi Wangu huu mfupi sana. Binafsi nahitaji kuonana Na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa muda muafaka na kwa uhakika zaidi juu ya ratiba zake za kikazi kabla sijafika . Naogopa usumbufu wa kufika Ofisini kwake na kupewa jibu la kutokuwepo kwake. Nia yangu ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…