Kama una angalau "F" inakupasa kujua kuwa Yanga SC haitokutana na TP Mazembe, Raja Casablanca wala CR Belouizdad wakifika makundi msimu wa huu 2024/25 kwenye CAF Champions League.
Na mechi za makundi msimu huu zitafanyika kuanzia October mpaka December tofauti na miaka iliyopita ambapo ilikuwa...
BREAKING NEWS 🚨
Tunayofuraha kuwataarifu kuwa tumefikia makubaliano na klabu ya @RCAofficiel, ya kumnunua kiungo wao mshambuliaji, Gibril Sillah.
Nyota huyo wa Gambia, anatarajia kutua nchini muda wowote kuanzia sasa kumalizia taratibu za mwisho za usajili. 👇
Na ndiyo maana wenye Akili kwa Kuujua Ugumu wa Kombe husika ( CAFCL ) na hatua ambayo Simba SC imefikia na kwa Kufa Kiume Juzi kwa Wydad Casablanca FC mpaka Waarabu wanaacha Kushangilia Wanasali na Kulia tunasema hatuna Deni na Wachezaji wa Simba SC hadi Kocha na Benchi lake lote la Ufundi...
Karibuni wadau wote wa michezo kutabiri matokeo ya huu mchezo wa marudiano kati ya hizi timu mbili kubwa kabisa Barani Afrika; Raja Casablanca ya Morocco vs Simba ya Tanzania.
Ikumbukwe timu zote mbili tayari zimeshafuzu hatua inayofuata ya robo fainali, Kombe la Klabu Bingwa Afrika. Na katika...
Wakuu,
Hii ndoto nimeota mtu kapigwa 5 then zikarudi kwenye secons half, Japo sijajua ni mpinzani yupi kati ya Horoya au Raja Casablanca.
NB: Ni ndoto tu, No guarantee.
Akizungumza na kituo cha Clouds FM, Kamanda wa Polisi wa kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Ramadhani Ng'azi amesema wameanza uchunguzi kubaini sababu za dereva wa basi la Simba SC kuendesha basi hilo reverse (Kinyumenyume) wakati akielekea katika dimba la Mkapa kwenye mchezo wa klabu...
Kuna shutuma zimetolewa na MINOCYCLINE zikiwa na lengo la kuichafua Serikali, Waziri Dkt. Pinda Chana na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Serikali kupitia Waziri Dkt. chana imehudhuria michezo yote ya Simba na Yanga na sio mchezo wa Yanga pekee kama ambavyo MINOCYCLINE ameeleza.
MECHI YA...
Baada ya Simba kupoteza kwa magolo 3-0 dhidi ya Raja Casablanca, hivi ndivyo Kocha wa Simba, Roberto Oliveira Robertinho alivyosema:
“Nafikiri timu yangu imecheza vizuri lakini ilitakiw akucheza kwa umakini zaidi ya ilivyokuwa, ndivyo mchezo wa soka ulivyo, Raja wamekuwa wazuri kuliko sisi...
Ama kabla ya Mechi na Azam FC Keshokutwa Jumanne au baada Kocha Mkuu wa Simba SC atafungashiwa Virago ( atafukuzwa ) pamoja na baadhi ya Watendaji wa Benchi la Ufundi na Timu atapewa Kocha Msaidizi Juma Mgunda na Kocha wa Vijana sasa Selemani Matola atarejeshwa Kikosini kumsaidia Mgunda na hawa...
Kwa Mkapa hatoki mtu!!
Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha?
Kikosi cha Simba...
aliyekuwa
baada
benjamin mkapa
bila
caf
caf champions league
champions league
corona
covid 19
dhidi
imeisha
kuanzia
kufungwa
kuisha
kushabikia
kwa mkapa
leo.
mechi
mkapa
mlevi
mlevi mmoja
mmoja
mpira
mshahara
mtu
mwaka
mwamposa
mzima
rajacasablanca
simba
waarabu
Nimeguswa sana na Tangazo la Hamasa la Timu Raja Club Athletic kwenye CAF kuhusu ujio wao Tanzania kucheza ball.
Natamani Tanzania tujifunze na sisi kutengeneza matangazo kama haya, jamaa wanauonyesha Mlima Kilimanjaro, Hiking, Mbuga halafu wanamalizia COMING FOR THE SERENGETI.
Hivi karibuni, Simba wametoa poster moja ya "Kwa Mkapa Hatoki Mtu" ikiambatana na picha ya Moses Phiri akiwa vitani akiwa amezungukwa na moto.
Mimi sijawahi kupenda hizi graphics toka enzi zile zinaanza kutumika ila nilijua kuna mambo ukiyasema nchi hii unaweza kupigwa mawe ingawa unaweza kuwa...
Siku zote Uchawi wa Simba SC (hasa Jini lake la Ushindi) huwa linafanya Kazi vyema kuanzia Saa 1 Kamili Usiku mpaka Saa 5 na dakika 59 Usiku.
Na hakuna Mechi yoyote Ngumu (ya Kimaamuzi) hasa ya CAFCL au CAFCC Simba SC imecheza Saa 1 Kamili Usiku na haijapata Ushindi wowote.
Kilichofanywa na...
Awa Horoya kwakweli ni famba sana aina yao ya uchezaji sijaielewa kabisa, Ni timu ambayo kiwango chake kiko chini sana labda kama wanayo aina nyingine ya uchezaji ambayo awakuitumia leo, lakini kama ndio uchezaji wao uko hivi basi watakuja kukutana na 5 nyingine kutoka kwa Raja casablanca...
Kiufundi na Kiujuzi wametuzidi almost kila Idara hivyo nashauri ili Kupunguza Magoli tukimalizana na Horoya Kesho tukirudi tutafute Waganga wa Kienyeji sehemu mbalimbali ya nchi ili wawapunguze Kasi Raja Casablanca na tujitahidi tufungwe nao Goli chache kwa Mkapa au tutoke nao Sare japo najua...
Ni mtambo wa magoli uitwao Ben Malango uliosemekana umeshashushwa na GSM umesajiliwa kwa bilioni 8 huko kwenye hela za mafuta yaaani ilibaki kidoooogoooooo tu atue utopolo kutoka Raja casablanca.
Timu ya Namungo iko ugenini nchini Morocco kukipiga na Raja Casablanca kwenye michuano ya Shirikisho Afrika hatua ya makundi. Mpira uko mapumziko na mpaka sasa Raja Casablanca na Namungo hakuna alieona nyavu za mwenzake. Kuwa nami kukujuza ngwe ya pili ya mchezo huu.
=======
45' Kipenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.