BREAKING NEWS 🚨
Tunayofuraha kuwataarifu kuwa tumefikia makubaliano na klabu ya @RCAofficiel, ya kumnunua kiungo wao mshambuliaji, Gibril Sillah.
Nyota huyo wa Gambia, anatarajia kutua nchini muda wowote kuanzia sasa kumalizia taratibu za mwisho za usajili. 👇