Habari zenu ndugu jamaa na marafiki, Me naitwa Gerald Anthony Lyapega naishi Kinyerezi ni muhangaikaji wa kawaida tu kwa jina langu la mitaa wananiitaga GYGA.
Pointi yangu ni kupata mshirika wa biashara, mimi nina eneo hapa stendi Kinyerezi nilikuwa na dhumuni la kufungua chips na nyamachoma ya...