ramadhan

  1. Zogoo da khama

    Mfungo wa Ramadhan na Kwaresma

    Poleni kwa mfungo wa ramadhan na kwaresma, safari hii swaumu zimeongozana, sasa ndg zangu nina swali naomba tulijadili kwa mapana yake: Ni hivi kila ifikapo mfungo wa ramadhan taasisi mbalimbali za umma na binafsi, mabenki, watu binafsi huandaa futari au kufutulisha makundi mbalimbali kwenye...
  2. Z

    Watanzania wenzangu nawaomba tutumie vyema mfungo wa Ramadhan na Kwaresma, tuombe Mungu atuepushe na ukame na njaa

    Kila mmoja anashuhudia jua lilivyo kali, mvua zimechelewa kwa mikoa ya pwani, maeneo mengine ya nchi mvua ni chache, jua kali mazao yanakauka. Kuna kila dalili ya upungufu wa chakula/njaa. Tunawaomba viongozi wetu wa Makanisa na Misikiti kuonga sala za toba.
  3. Eli Cohen

    Huu mwezi mbona umeanza na nyuzi nyingi kuhusu waislamu. Wapumzisheni hawa ndugu zenu

    Yani wanaanza mfungo, mara ttiiii, nyuzi karibia laki 😂😂 Mishe mishe zao mwezi huu mnaona kama zinawakera? Anyway maisha yaendelee, mwanadamu ni zaidi ya dini ndio maana imemshinda.
  4. S

    Ahsante Dk Mwinyi mwenye kuelewa na aelewe

    Dkt. Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi amewataka waislamu wote kuendelea kuutimiza wajibu wa kuuheshimu mwezi wa Ramadhani na kuachana na mambo yote yanayokwenda kinyume na mwezi mtukufu.
  5. T

    Israel yaridhia kuongezwa muda wa usitishwaji vita hadi Ramadhan na kwaresma itakapokwisha

    Israel imekubali kuongeza muda wa usitishwaji wa mapigano huko Gaza ambao utadumu kwa muda wa Ramadhani na Pasaka ya Kiyahudi. Hamas hapo awali ilikataa wazo la kuongeza muda huo, badala yake inapendelea utekelezaji wa awamu ya pili ya usitishwaji wa mapigano. Israel ilikubali pendekezo...
  6. Dhul Qarnainn

    Kutamka Niyyah Katika ‘Ibaadah Ni Upungufu Katika Akili Na Dini

    Maana ya Niyyah na Mahali Pake Sahihi Niyyah ni kusudio la  ibada ambalo hutokea ndani ya moyo. Haihitaji kutamkwa kwa ulimi kwa sababu ni jambo la ndani ya nafsi. Mtume ﷺ na Maswahaba wake hawakuwahi kutamka niyyah kwa ibada yoyote, iwe ni Swalah, Saum, Hajj, au ibada nyingine. Dalili: Mtume...
  7. JanguKamaJangu

    Refa wa Mechi ya Simba Vs Yanga ni Ramadhan Kayoko

    KARIAKOO DERBY | Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imemtangaza mwamuzi Ramadhan Kayoko kutoka Dar es Salaam kuwa ndiye refa atakayesimamia Sheria 17 za mchezo wa soka, kesho Oktoba 18, 2024 kwenye #KariakooDerby Kayoko atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga na Kassim Mpanga kutoka Dar es...
  8. Mpekuzi Tanzania

    Ramadhan imekwisha, tuendelee na ujenzi wa taifa

    Pasaka imeenda Ramadhan imekwisha Sasa turudi kwenye ujenzi wa Taifa. Kuna waliokuwa wanafanya mashindano kulisha iftar, iftar ilikuwa sio Ibada Tena bali mashindano. Uvaaji wa Baragashia na kanzu ukawa fasheni kwa haraka haraka ungeingia tanzania kama huijui ungesema upo kwenye Taifa la ki...
  9. Erythrocyte

    Futari ni nini? Kwanini watu wengi wanafuturisha Wasiofunga Ramadhan?

    Naomba kujua siri ya Jambo hili , Katika watu wasiofunga wanaoshiriki kila futari zinazoandaliwa ni STEVE NYERERE Sasa swali langu ni hili, kwanini wanafuturu hizi futari ilizoandaliwa na kurekodiwa si wale wanaihitaji ? Je kuna siri yoyote ya Utajiri au miujiza ?
  10. Erythrocyte

    Ramadhan Cup yaanza kutumiwa na CCM. Ally Bananga apewa nafasi, amshukuru Rais Samia kwa Ramadhan Cup

    Michuano ya soka iliyochukuliwa kama burudani kwa wale waliofunga Ramadhan, huku wakisubiri daku. Sasa ni Rasmi imegeuka na kuwa mipango ya kampeni ya CCM, bado hatujajua kama jambo hili ni Bahati mbaya au ni kitu kilichopangwa na waandaaji, na bado hatujajua kama timu zote zinazoshiriki...
  11. sonofobia

    Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani. Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja...
  12. Trainee

    Baada ya Ramadhan idd ni moja tu, hakuna kitu inaitwa idd pili! Kwenye idd ya kuchinja ndipo penye siku tatu za baada ya idd

    Salaam wandugu, Niliwahi kuandika jambo hili kuiomba serikali na kuishauri na leo narudia tena kwa nia ya kukujuza wewe usiyejua ujue kabisa utaratibu ulivyo. Mwishoni kama ada sitaacha kuishauri na kuiomba Serikali itekeleze jambo Ni kwamba wengi wetu tumezoea tangu mashuleni mwezi wa...
  13. Mhaya

    Polisi wa Zanzibar kuwakamata watu kisa kuwakuta wakila mchana kipindi cha Ramadhan ni uvunjifu wa sheria za Nchi

    Zanzibar sio Nchi inayoongozwa na Sheria za Kiislamu, Zanzibar ni nchi inayoongozwa na katiba huru. Inakuwaje unamkamata mtu kwa sababu ya kutokufunga Ramadhan, ni wapi kwenye katiba wamesema kwamba usipofunga inapaswa kuswekwa Ndani. Mkianza kutuletea sheria za kiarabu Kwenye ardhi za Tanzania...
  14. G

    Tukisema mfungo wa Ramadhan ni mwepesi na ni kubadili ratiba ya kula tunakosea?

    tujadiliane sio conclusive statement, Well kwangu navyoona and i am open to be criticised / kuelimishwa ni kwamba : Huwa nashangaa sana nikiona baadhi (sio wote) waliofunga ramadan wakilalamika swaumu imetaiti (njaa), nina uhakika hawa wanaolalamika (baadhi) hawawezi kutoboa mfungo wa kikristo...
  15. R

    Wanaoiba kura tukiwa katikati ya mfungo wa Ramadhan na Kwaresma ni akina nani?

    Salaam, Shalom!! DINI kubwa mbili duniani, zimejikuta zikiwa katika mfungo Kwa pamoja, waislamu na wakatoliki, Mtwara katika uchaguzi wa madiwani, limetokea tukio la kukamatwa kura fake, Swali LANGU, Hawa wanaoiba kura kipindi hiki wanazo dini? Au wana dini ila Hawajafunga? Nauliza tena...
  16. Erythrocyte

    Freeman Mbowe awatakia Waislam wote Ramadhan Kareem

    Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , amejitokeza hadharani kuwatakia Waislam wote Baraka tele za mwezi Mtukufu wa Ramadhan Ujumbe wake Muruwa huu hapa
  17. S

    Mwezi mtukufu wa Ramadhan ndio maisha ya kuishi kila siku

    Kila inapofika mwezi wa Tisa kwenye karenda ya Kiislam (hijria), Waislam ulimwengu mzima uingia kwenye mfungo wa Ramadhani. Huu ni mwezi ambao, tumefaradhishiwa Swaum na MwenyeziMungu kama tunavyosoma kwenye aya hii: "Enyi mlioamini mmelazimishwa kufunga (swaumu) kama walivyolazimishwa...
  18. Chumchang Changchum

    Ramadhan kareem 2024

    Mwezi wa Ramadhan ni moja kati ya nguzo kuu za Uislamu. Kama ilivyo idhinishwa katika Kitabu kiukufu {QUR-AN 2 : 185}cha Waislamu. Siku za kufumga kati ya 29 mpaka 30 pia inategemea muandamo wa Mwezi. AFYA NA FAIDA YA SWAUMU 1. Ni kutekeleza mojawapo ya amri za Mwenyezi Mungu alizotuteremshia...
  19. G

    Kwanini Kwaresma inaonekana haina uzito kuliko Ramadhani?

    Kwaresma ni kwa baadhi ya wakristo sio wote, wakristo wa makanisa kibao hawana habari nayo, Ramadhan ni kwa waislam wote. Ramadhani huwa inapewa uzito hata na serikali, huwa kuna hafla kibao za iftar zinaandaliwa na viongozi wa serikali hata walio wakristo Ramadhan inakutanisha waislam wengi...
  20. Replica

    Ramadhani Brothers kukutana na rungu kodi zaidi ya 180M kwenye 600M waliyoshinda

    Wale wana walioshinda kule Marekani TRA Tanzania inawasubiri kwa hamu, hela walizoshinda zitakatwa kodi ya 30%, yaani mtu ambae hajaruka sarakasi hata moja anakinga mkono apewe 30%. Akishaichukua wenyewe ndio wagawane 50% each kwenye kilichobaki. 600m-180m inabaki 420m, wakishapata hiyo...
Back
Top Bottom