Kundi la waruka sarakasi kutoka Tanzania liitwalo 'Hakuna Matata Acrobats' wanaendelea kufuata nyayo za 'Ramadhan Brothers', hii ni baada ya kutua kwa kishindo katika hatua inayofuata kwa kupewa Golden Buzzer kutoka kwa jaji Sofia Vergara.
Kupitia ukurasa wao wa Instagram wame-share video...
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa, amewapongeza vijana wanaounda kundi la Ramadhan Brothers baada ya kujinyakulia ushindi kwenye mashindano ya AGT 'America’s Got Talent Fantasy League'.
Msigwa ametoa pongezi hizo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii na ameahidi kuwa...
Kama una moyo mwepesi huwezi kuangalia show yao mpaka mwisho, kama kuna talent za kutisha basi hii talent ya hawa vijana ni ni ya kutisha mno.
Wanaenda kuweka historia Duniani, kama Dunia haitaendekeza ubaguzi Basi Hawa jamaa hawana mpinzani kote duniani, Serikali iangalie upya namna ya...
Habarini ndugu zangu naomba tuwapigie ndugu zetu RAMADHANI BROTHERS wanaoiwakilisha TANZANIA 🇹🇿 kwenye mashindano ya America Got Talent. Tufanye hili jambo haraka iwezekanavyo ili waweze kushinda, ikumbukwe vijana hawa wameingia kwenye Fainali ya mashindano haya.
Upigaji kura inafungwa saa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.