TFF wamekosea sana mechi ya tarehe 8 refa wa kati kuwa Kayoko.
Kayoko ana madhaifu mengi kwanini wasimlete Arajiga kwa mechi kama hii?
Kayoko tangu derby iliyopita kachezesha mechi moja tu wiki zilizopita,mda huo wote aliwekwa benchi na kamati ya marefa baada ya kuona mapungufu yake kwenye...