Sasa ni rasmi kuwa Mali, Niger na Burkina Faso si wanachama wa jumuiya ya kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) ikiwa ni takribani mwaka mmoja tangu nchi hizo zitoe taarifa rasmi ya kujitoa kwao. Kwa taratibu za ECOWAS, uanachama hukoma takribani mwaka mmoja baada ya nchi mwanachama...