Yaani hii ishu ya mtu kafariki unaletewa daftari nyumbani au mtaani au unatengenezwa mkeka wa michango ya rambirambi ni wa nchini mwetu tu au pia nchi nyingine kufutana machozi kwa njia ya pesa kupo?
..Kwanini Raisi hajatoa mchango wa rambirambi kwa wanachadema waliofariki Dsm, Singida, na Songwe?
..Kwanini Katibu Mkuu wa CCM hajatuma salamu za rambirambi kwa Katibu Mkuu mwenzake, au washindani wao?
https://www.youtube.com/watch?v=FI4sAGtsqNY
Kwa mujibu wa post ys Tundu Lissu kwenye mtandao wa X, aliekuwa mgombea wa CHADEMA kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa huko Manyoni mkoani Singida, bwana George Juma Mohamed aliepigwa risasi na kufarika, anatarajiwa kuzikwa leo.
Witio: Tusiruhusu watesi wetu wafike msibani kwa lolote na wala...
TAMKO LA OYA KUHUSU TUKIO LA MLANDIZI
OYA Microfinance imehuzunishwa sana na ripoti za tukio la kusikitisha lililotokea Mlandizi, Kibaha, linalodaiwa kuhusisha wafanyakazi wanne wa kampuni yetu, ambalo limesababisha kupoteza maisha. Tunatoa rambirambi zetu za dhati kwa familia iliyoathirika na...
Familia ya aliyekuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Marehemu Ali Mohamed Kibao aliyezikwa jijini Tanga wameiomba Serikali kuharakisha uchunguzi wa kifo cha baba yao ambae mwili wake ulipatikana maeneo ya Ununio, Dar es Salaam akiwa ameuawa baada ya kutekwa...
Nimeona kwenye vyombo vya habari nchini Rais akitoa rambirambi kwa familia ambazo zimepoteza ndugu zao kwa ajali za gari ya daladala na ajali ya watoto waliozama kwenye bwawa na kufariki. Ametoa kwa kila familia kiasicha Tsh.5,000,000.
Hii ni nia nzuri na yenye kuoneaha upendo na kuwajali...
Rais wa Shirikisho la Kimataifa ya Soka (FIFA), Gianni Infantino ametuma salamu za rambirambi kwa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kutokana na kifo cha aliyekuwa Rais wa shirikiho hilo la Afrika, Issa Hayatou.
Hayatou alifariki dunia jana Alhamisi akiwa na umri wa miaka 77, huku akikumbukwa...
Ukiwa member wa makundi ya Whassap, ya kifamilia, ukoo, mliosoma wote primary, O-Level, High School, Chuo, Kazini, Mtaani Kuna mzigo mzito sana wa michango ya rambirambi inakungoja.
Kila kundi unakuta lina wastani wa watu 20 mpaka 50 na mengine yanafika watu 100. Katika makundi haya, ndani ya...
Chadema Tanzania , kimekuwa Chama cha kwanza cha Kisiasa nchini Tanzania kutoa salamu za Rambirambi kwa waliopata ajali huko Ngaramtoni , Arusha .
Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba Watu 25 wamefariki , huku kukiwa na majeruhi kadhaa
23 February 2024
SALAMU ZA RAMBIRAMBI
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Hussein Ali Mwinyi amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha baba mzazi wa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, mbunge wz jimbo la Kikwajuni Mh. Hamad Yusuf Masauni kilichotokea leo katika...
Mkuu wangu kwanza nakupongeza kwa unavyokuwa karibu na watu wako
Pili nisisahau niombe tu najua umefika Mto Kawe maeneo ya makazi mapya umeona yale mateso ya Watuu na maafa yake
Mkuu wangu wa wilaya mchanga umejaa maji yanasimama yanasomba nyumba za watu
Maji yanahitaji njia, tukuombe watu...
Samia alipoingia madarakani, kama kawaida , wapambe walishabikia ubora wake kwa hotuba mbili au tatu alizotoa. BIla kufahamu kwamba hata bwege akipewa kusoma haotuba, itapendeza tu! Mwenztu mmopja hapa JF aliandika sentensi moja tu, ........ hatuna rais, ni suala la muda. Muda umefika sasa...
Imeandikwa katika kurasa za mitandao za Mhe Rais Samia Suluhu Hassan
"Nimesikitishwa na kifo cha Ndugu Joseph Sebastian Pande, aliyekuwa akitumikia nchi yetu katika nafasi ya Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka. Nawapa pole Mkurugenzi wa Mashtaka, Ndugu Sylvester Mwakitalu, familia, wakuu wa divisheni...
Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko
---
Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
aibu
chadema
dharau
hanang
kisingizio
kubwa
kuelekea
kuona
kutembelea
kutoa
kutoka
maafa
maeneo
manyara
mateso
mbele
mbowe
mchafu
mchezo
mkuu
mkuu wa nchi
nchi
nonsense
polisi
rambirambi
safari
sana
ubaguzi
uchaguzi
uchaguzi 2025
wagonjwa
wazuiwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt. Batilda Salha Burian kufuatia vifo vya watu 18 vilivyotokea katika ajali ya gari.
Ajali hiyo imetokea leo saa 5 asubuhi katika kata ya Uchama, tarafa ya Nyasa...
Akizungumza katika Televisheni ya Taifa, Rais Vladimir Putin ameitaja ajali ya Ndege hiyo kuwa mbaya na imeua Watu 10 ambao ni Wafanyakazi wa Jeshi Binafsi la Wagner akiwemo Kiongozi wake, Yevgeny Prigozhin ambaye ametoa mchango mkubwa kwa Taifa hilo.
Pia, amesema Kamati ya Uchunguzi imeanza...
Raisi wa Urusi Vladimir Putin jioni ya jana ametoa salamu za pole kwa familia ya Yevgevy Prigozhin ambae alifariki katika ajali ya ndege ndogo binafsi akiwa na abiria wengine 9.
Raisi Putin amesema alimfahamu Prigozhin kwa tangu miaka ya 90 na kwamba kiongozi huyo wa Kundi la askari wa kukodi...
Warusi wa Kwamtongole humu JF wanakuja na nadharia mpya kila siku za kujaribu kufuta aibu ya kilichotendeka juzi, kunao wanasema hakukua na maafa yoyote, sasa Putin hizi rambirambi anatuma za nini....
Ndege zake zilipigwa chini, marubani wakauawa....huu ulikua uasi wa kumuondoa madarakani sema...
Taharuki yatanda kwa wananchi wa kijiji na kata ya Nanganga mkoani Mtwara, baada ya kupata taarifa ya kifo cha Simon Mchekura maarufu ‘Samora’ ambaye mwili wake ulidaiwa kuokotwa na Jeshi la Polisi katika kijiji cha Nyengedi, mkoani Lindi, na kuhifadhi kwenye Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Lindi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.