ramovic

Ramović is a Bosnian surname. Notable people with the surname include:

Demir Ramović (born 1982), retired Montenegrin footballer
Džejla Ramović (born 2002), Bosnian singer, winner of Zvezde Granda
Sead Ramović (born 1979), retired Bosnian footballer
Sinan Ramović (born 1992), Bosnian footballer

View More On Wikipedia.org
  1. Saed Ramovic: Ligi ya Algeria ina Ushindani mkali kuliko Tanzania, ambapo kuna timu Tatu tu!

    Saed Ramovic, kocha wa zamani wa Yanga, alitoa maoni kuhusu tofauti ya ushindani kati ya ligi za Algeria na Tanzania baada ya mechi yake ya kwanza na CR Belouzdad dhidi ya MC Alger katika fainali ya Algerian Super Cup. Alisema, "Hapa Algeria, unacheza na wapinzani wagumu kila wiki, na hiki...
  2. Msipotoshe: Aliyevunja Mkataba Siyo Yanga SC Wala Ramovic!

    Hii habari ni kama watu wanatafuta engagement tu kwenye social medias mbalimbali ila ukweli siyo huo wanaoandika huko na hapa JF. Yule kocha Romavic kuna timu imefika dau hivyo imemtongoza akakubali ndipo hiyo timu ilivunja mkataba na Yanga African SC kwa kuilipa kiasi cha pesa kutokana na...
  3. Tetesi: Kocha Saed Ramovic aaga wachezaji rasmi

    Katika hali ya kushangaza coach Saed Ramovic ameaga rasmi na kuwa mechi ya kesho vs ya Ken Gold ndo mechi ya mwisho kuwa Yanga Club ya CR Beilouzdad imempa offer ya mshahara wa dollar 40,000 na Yanga alikuwa akilipwa dollar 15,000, Kwa huu mkwanja na ubinadamu laZima ushawishike Inasemekana...
  4. Coach Ramovic haustahili pongezi zozote kwenye ushindi wa Leo Yanga vs Kagera sugar

    Coach Ramovic nitakukupopoa hadi utakapobadilika. Mimi kama mtaalam wa football na mwanachama wa Yanga bado Ramovic hajanishawishi Kwa mbinu zake Leo ameanza na mabeki 5 nyuma Bacca, Job, Boka, Kibwana na Israh, Hii mbinu imenishangaza, kocha aliamua kujilinda sana dhidi ya Kagera sugar...
  5. Saed Ramovic hawezi kuleta kikombe hata kimoja Yanga

    Mimi kama mwanachama wa Yanga. Siridhishwi na kiwango na mbinu za coach Saed Ramovic Huyu alitakiwa awe coach msaidizi apate uzoefu Sijui Eng Hersi ulimchukua Kwa wasifu gani Mapungufu yake 1. Hana mbinu nzuri Saed Ramovic ana mbinu butu mno, Unaona hata timu inavocheza ni kama haina coach...
  6. Wilson Oruma amshukia Kocha Yanga Saed Ramovic aache unafiki na kuficha Makosa yake

  7. Kuna kitu waafrika kusini wamenishangaza kuhusu Saed Ramovic

    Kuna kitu waafrika kusini wamenishangaza kuhusu Saed Ramovic, najua humu kuna watu washawahi kuishi au kufatilia any news kutoka South Africa. Nimeshangazwa na baadhi ya waafrika kusini kumtambua kocha huyo kama Plumber. Yeyote mwenye exposure na hili suala naomba ufafanuzi
  8. Tunapolipa team ziikazie Simba. Tunawasadia Simba zaidi kujinoa na Wachezaji wetu kulegea. Saed Ramovic ameongea

    Nliwahi waambia wenzangu kwenye group letu la Wa Kimataifa kuwa sawa tunatoa bakshishi wapinzani wa Tz wawabanie sana Simba. Simba wapate ugumu. Hii inawanoa Simba sana. Simba wanapata ushindi kwa mbinde kila match kwao ngumu. Hapo wanajifunza mbinu mbalimbali. Sisi kuna matches tukicheza...
  9. Makocha Saed Ramovic na Fadlu Davis, walalamikia wingi wa mechi.

    Misimu kadhaa iliyopita kuna wakati aliyekuwa kocha wa Simba Robert Oliveira "Robertinho" na kocha wa Yanga Nasridine Nabi walilalamikia wingi wa mechi na umbali ambao wachezaji husafiri baada ya kucheza mechi na kabla ya mechi inayofuata. Wote wawili walisema umbali na ukaribu wa kati ya...
  10. Yanga waongeza Kocha wa Viungo kwenye benchi, Behlulović ni chaguo la Kocha Ramovic

    Young Africans SC imetangaza Adnan Behlulović kuwa kocha mpya wa mazoezi ya viungo pamoja na Taibi Lagrouni! Soma, Pia: Kocha wa viungo wa Yanga SC, Taibi Lagrouni hajasafiri na timu baada ya kutokubaliani na baadhi ya mazoezi na program na kocha mpya Sead Ramovic Huyu ni chaguo la Saed...
  11. Tetesi: Kocha wa viungo wa Yanga SC, Taibi Lagrouni hajasafiri na timu baada ya kutokubaliani na baadhi ya mazoezi na program na kocha mpya Sead Ramovic

    Kocha wa viungo wa Yanga SC, Taibi Lagrouni, inaelezwa hakusafiri na kikosi cha timu hiyo kuelekea Algeria kwa mchezo wa pili wa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya MC Alger. Inadaiwa kuwa Lagrouni hajasafiri kutokana na kutokubaliana na baadhi ya mazoezi na programu za kocha mpya...
  12. Sead Ramovic aibua mpya,adai hakujua kama Yanga ni timu kubwa mpaka alipokuja nchini, adai jina lake linatamkwa Saidi''

    Kuelekea mechina Namungo,kocha mpya wa Yanga akiongea na waandishi wa habari amedai hakujua kama Yanga ni timu kubwa kivile mpaka alipotua nchini,dunia hii ya mitandao anafeli wapi kuifuatiliatimu mtanaoni. Pia amedai jina lake linatamkwa saidi sio sead kama lInavyoandikwa
  13. Kocha mpya wa Yanga Sead Ramovic ni hatari zaidi kuliko Gamond baada ya mechi tano zijazo mtamsahau Gamond

    Naomba niwe mtu wa kwanza kutofautiana na wengi wanaomponda kocha RAMOVIC. Ni kawaida kwa kocha yeyote mpya kupoteza mechi ya kwanza japokuwa sio makocha wote. Uchebe mwanzoni mwa pre season alikuwa anafungwa mpaka na Dodoma jiji kwenye friend match, pia Al Hilal ilimkanda kwenye CECAFA, Kocha...
  14. Tetesi: Yanga wajutia kuwapa mkataba Sead Ramovic na Moallin,waanza mazungumzo na Patrick Aussems aliyetimuliwa Singida Big Stars

    Wameyatimba, Walimpa mkataba usiku usiku Moalin wa KMC na kuwa mkurugenzi wa ufundi, wakampa mkataba Said Ramo kuwakocha mkuu ,ndani ya muda mfupi Auasems au Uchebe anatimuliwa Singida Big Stars. Waneanza mazungumzo nae,si ajabu mmoja wao akavunjiwa mkataba as soon as possible kumpisha uchebe
  15. Kocha wa Yanga, Ramovic aingia ubaridi, asema ni mara yake ya kwanza ligi ya Mabingwa

    Kuelekea katika mechi za kimataifa katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Kocha Mkuu wa Yanga Sc, Sead Ramovic, amezungumza na waandishi wa Habari, akisema! "Hii ni mara yangu ya kwanza kwenye ligi ya mabingwa. Ni jambo la kheri sana kwangu kushiriki mashindano haya makubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…