range rover

The Land Rover Range Rover (generally known simply as the Range Rover) is a 4x4 motor car produced by Land Rover, a marque and sub-brand of Jaguar Land Rover. The Range Rover line was launched in 1970 by British Leyland and is now in its fifth generation.
Additional models have been launched under the Range Rover name, including the Range Rover Sport, Range Rover Evoque, and Range Rover Velar.

View More On Wikipedia.org
  1. Magari ya milioni Tano (5M) kushuka chini

    Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001. Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa. Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena. WhatsApp 0712 148001.
  2. Nauza 2015 Range Rover sports kali sana

    PANORAMIC SUNROOF ELECTRIC SEATS CC2990 ⛽️DIESEL PUSHTOSTART KEYLESS ENTRY LEATHER SEATS WHITE AUTOMATIC BLACK COLOR RIMSPORT FOG LIGHTS PRICE: 145,000,000 + REGISTRATION.
  3. B

    Rafiki yetu! Alipopata Range rover! akaanza kutudharau mimi ni jamaa yangu!

    Basi bwana katika kujitafuta tafuta mwanetu tumuite Jina "machimu" Tuliishi kwa upendo sana wote tukiwa level moja hali ya chini Siku zinakwenda "machimu" akapata deal chunya akaenda kupiganisha makarashani/maduara(migodi midogo) mchizi kapiga Bingo Mara ghafla kanununua range rover, anapanga...
  4. Car4Sale Land Rover Range Rover Vogue 2015

    Price: 150M Land Rover Range Rover Vogue 🔥 Year : 2015 Cc : 3.0 Diesel TDV6 Colour : Santorini Black Cream Leather Interior 🔥 Mileage 31,000miles 📌Electric Side Steps 📌Winker Mirrors 📌Panoramic Sunroof 📌Cream Interior 📌Auto Boot ☎+255626682228
  5. Guiness World Records wagoma kutambua rekodi ya Land Rover Festival ya Tanzania

    Kwa jinsi wachuganistan walivyojiandaa na Land Rover Festival, na jinsi Media zilivyosapoti tukio hili zito, ni jambo la kushangaza kwamba Guiness World Records wameshindwa kutambua rekodi hii iliyovunjwa na watu wa Arusha, ya msafara wa magari zaidi ya 1000. Mpaka hivi sasa hawajazungumza...
  6. B

    Range Rover 13 anazomiliki Mchungaji Geordavie

    Hapo zipo kumi na tatu, Bado makorokoro mengine hajaonyesha. Duh! Mzigo wote huu Nisher afe kwa depression? Aisee..
  7. Kuna Range Rover Evoque kutoka China huku

    Cherry kutoka china wametangaza SUV yao iitwayo Tiggo 7 ambayo itaingia sokoni kuanzia mwakani 2025. Kinachovutia zaidi sio SUV, bali ni jinsi ilivyofanana na Range Rover Evoque. Inakuja na option ya petrol au plugin hybrid. Version ya petrol itakuja na The turbocharged 1.6-litre...
  8. Yaani Tajiri mwenye Range Rover 'anamuovateki' Masikini mwenye Vitz kwenye Mteremko, halafu anajisifu bila Aibu kabisa

    "Kupitia mashindano ya CAF, hatua hizi za awali, kuna ujumbe tunataka kuupeleka kwa wale ambao wanapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa AFRIKA. Tutatuma ujumbe ndani ya Uwanja na nje ya Uwanja. Nje ya Uwanja tulituma ujumbe msimu uliopita kwa kujaza Uwanja wa ugenini" Ally Kamwe Chanzo: Young...
  9. Range Rover Velar VS Land Cruiser Prado

    Habari, mimi sio mwandishi mzuri hivyo naomba penye makosa nivumiliwe. Rafiki yangu anataka kununua gari ila yupo njia panda hajui achukue ipi kati ya gari hizi mbili. 1. Range Rover Velar 2. Toyota Land Cruiser TX Kuhusu spare parts sijui mafuta sio shida kwake. Ila sio mpenzi wa kukaa na...
  10. Range rover na land cruiser 300 za bei rahisi

    Unavuta hizi alafu unavimba nazo mjini.
  11. Car4Sale Range Rover for sale

    Make: RANGE ROVER Sajali wa namba E Model: VOGUE LWB Year of manufacture : 2015 Fuel: Diesel Color: Brown Leather seat Panoramic Sunroof Rear entertainment Full Option New registration Massage seats Soft close doors Heads up display LONG WHEEL BASE Contact 0714787795 Price: 149,000,000
  12. Ikitokea Umepata Mil 180 leo, Haitoshi kulipa Ushuru wa Range Rover ya 2024

    Tuache bei ya chuma yenyewe, ila TRA wanataka Mil 185 ukileta hii kitu tena ya 2024. Sasa sijui ikiwa 0 kilometa kuna excuse? Kusema kweli kuna magari mazuri ila ushuru kichomi. Tukipishana nayo njiani tuwe tunaacha space. Tusije pasua taa.
  13. Harmonize aandika jina la Mama yake range rover anayoimiliki

    Tunaweza kusema kuwa Harmonize ni moja kati ya wasanii wanaomuenzi mchezaji machachari wa PSG Achraf Hakimi kwenye harakati za kukwepa kuibiwa mali na Wanawake wa mjini. Range Rover ya Msanii Harmonize kwenye Registration number jina linasoma Habiba Chivalavala, hilo jina sio la mtu mwengine...
  14. A

    Discovery, Range zaanza kutelekezwa gereji

    Hizi gari watu wamezishobokea kindezi. Lilikua ni suala la muda tu kuanza kutelekezwa kwenye gereji zetu uswazi.
  15. Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wanakwisha Kwa ajali - video

    Maafisa Waandamizi wa Usafirishaji wamepata ajali Kwa kugonga gari Aina ya Range Rover Kondoa, tuchukue tahadhari kuwalinda maafisa hawa muhimu Kwa Uchumi wetu.
  16. Specialist wa Range Rover anawezaje kuzungmza kauli kama hii?

    Mwaka 2021 niliwahi kuleta story ya Range Rover fulani ya mzungu mmoja kule Zanzibar. Nadhani baadhi ya member watakuwa wanakumbuka. Ila short story ya hiyo gari mpaka inawaka, Unaweza kuangalia hii video. 👇🏾 Sasa ilipokuja kuwaka kukawa na challenge moja. Oxygen sensor zote 4 zilikuwa...
  17. Shilole: 'V8 ndio gari ya Heshima sio Range Rover gari ya Kitoto hiyo'

    Staa wa Muziki wa Bongo Fleva na Mjasiriamali Shilole ameiweka wazi Gari ya ndoto yake anayotamani kumiliki. Wakati akizungumza na waandishi wa habari @officialshilole ameitaja “v8 new model” ndio gari ya heshima kwake na akiongeza kwa sema Gari aina ya Range Rover ni za kitoto. DOZEN SELECTION
  18. Diamond kamchapa kijembe Harmonize kuhusu kumiliki Range Rover?

    Baada ya Harmonize kutoka hadharani na kutamba kwamba, hataongea na Msanii yeyote wa Afrika Mashariki ambaye hamiliki gari aina ya Range Rover! Leo Diamond Platnumz ni kama amerusha kijembe kwa Kondeboy kupitia insta story yake. Chibu ameweka video ya Zuchu ambaye amejinunulia gari aina ya...
  19. Car4Sale Nauza magari aina mbalimbali

    1998 model, 1500cc, Petrol, First registered in Tz 09/03/07with reg T...AQV. The car in condition. Price Tshs 4.5mil Contact 0784225000.
  20. Range Rover liheshimiwe

    Guys poleni na majukumu Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range 🤗🤗🤗 my dream car
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…