Wakuu habarini za muda huu, nimehamia nyumba ambayo kuta zake zimepakwa rangi ya mafuta, bahati mbaya kuta ni nyeusi sana, either ni kutokana aliyekuwepo alikuwa anapikia ndani. Nimesafisha lakini ule uchafu hautoki.
Sasa nauliza je nawezaje kupaka rangi ya maji juu ya huu ukuta wenye rangi ya...