Bendera ya Chadema ina rangi nyekundu, kila mtu anajua maana ya nyekundu ni nini, lakini pia ukisoma Katiba ya Chadema unaona kabisa kuwa kwa namna ilivyoandikwa inaashiria kuwa wao ni watu wa vita tu, nchi hii imepata uhuru wake kwa amani kabisa bila kumwaga damu, nyie mna bendera yenye rangi...
Sijui rangi nyekundu hawa jamaa sijui waliipata wapi, nani alishauri na nini chimbuko lake. Ni rangi ya kikoloni zaidi kuliko Tanzania.
Rangi nyekundu haimo kwenye bendera na alama za taifa; iko karibu sana na rangi za chadema na CUF, UK, US na kule uarabuni kwenye damudamu. Ni timu mbili tu...
Wakuu nimefatilia na kuona mageti ya uwanja wa Taifa kuwa na rangi nyekundu nawaza kwa utulivu, hii sio kwamba TFF na wizara kuongozwa na Wana Simba imechangia hali hiyo?
Kama MZALENDO wa nchi nataka kuona yale mageti yanapewa rangi neutral ili kuepusha mgongano
USHINDI KWA YANGA LEO LAZIMA.
Salaam, shalom,
Mheshimiwa Mnyika amewahi kuhojiwa na kusema kuwa, Mh Mbowe ndiye aliyeshauri RANGI nyekundu iongezwe katika RANGI za Bendera ya CHADEMA, kwamba RANGI nyekundu inaashiria Upendo.
Mara kadhaa, viongozi wa CHADEMA wamewahi kunukuliwa wakidai, RANGI nyekundu katika bendera Yao, ni...
Akiongea kwenye kipindi cha Good Morning cha Wasafi FM, leo January 25, 2023, Koplo Donansia Nkwai kutoka Jeshi la Zima Moto na Uokoaji (Iringa) amesema hakuna uhusiano wowote uliopo kati ya radi na nguo nyekundu.
Aidha, ikiwa utakuwa kwenye eneo la wazi wakati radi inapiga, unashauriwa...
Ni saa 22:09 nimeangalia juu nimekuta mwezi upo spidi kuelekea chini ukiwa na rangi nyekundu tii.
Upo spidi kiasi cha kushindwa hata kwenda ndani kuchukua simu yangu na kuurekodi.
Mikoa ya nyanda za juu jalibuni kuuangalia muda huu.
Update
Story iko hivi,.
Nimetoka rod kuja...
Wakati wa shamrashamra za kubeba ubingwa, kocha wa Yanga, Nasredine Nabi alionekana akipiga picha huku akishikilia bendera ya nchi yake yenye rangi nyekundu na nyeupe.
Rangi hizo zilikwishapigwa marufuku kuonekana katika hadhira ya Yanga, na msimamo huo umeshatolewa mara kadhaa na uongozi wa...
Hii imevuka mipaka!! Balozi wa Urusi nchini Poland alimwagiwa kimiminika cha rangi nyekundu wakati akiwa katika harakati za kuadhimisha ushindi wa Jeshi la Urusi dhidi ya majeshi ya kinazi ya Hitler.
Alimwagiwa na waandamanaji wa kike wanaopinga vita nchini ukraine. Hili tukio lilitukia jana...
Mapema leo, NBC Bank na TFF zimeingia ubia wa udhamini wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara, NBC wakiweka mezani bilioni 7.5 kwa kipindi cha miaka 3.
Moja kati ya faida anazotarajiwa kupata NBC Bank kama mdhamini ni uwepo wa nembo/chapa yake (Logo Placement), katika jezi za timu shiriki katika Ligi...
Habari wakuu?
Nina changamoto ya nywele zangu kila zinapokuwa na kufikisha urefu wa karibia sentimita 2 hivi huwa zinabadilika rangi na kuanza kuwa nyekundu au pengine ule weusi wa nywele kufifia.
Sasa wakuu ni vipi naweza kuzifanya nywele zangu zikaendelea kuwa na rangi yake nyeusi ya asili...