Habarini wadau,
Samahani nilikuwa naomba kujua jinsi ya kuwa wakala wa rangi za majumbani, je ni vigezo gani mtu anatakiwa kuwa navyo, na kiasi gani mtu anatakiwa kuwa nayo ili awe wakala wa rangi za majumbani.
Nipo mkoani Dodoma nawasilisha hoja hii kwenu wadau.🙏🙏🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.